Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Mwambie mama mkwe atumie juisi ya karoti na mbegu za maboga kwa wiki tatu halafu leta mrejesho hapa
 
Wengine wanabisha kwakuwa Ni wachawi au washirikina au hajawai kufuatilia miujiza inavyofanyika

Mwamposa hawezi kuwalipa wote wanao toa ushuhuda na ingekuwa ivyo wanaonunuliwa wangeshasema ukweli kwamba wamenunuliwa ili watoe ushuhuda
Swali kuna unayemjua kapona?
 
Ukichunguza kwa umakini, utagundua hayo magongo yote ni mapya, na yanafanaa! Kwa muktadha huo, unapata majibu sahihi Mwamposa ni tapeli tu kama walivyo akina Masanja Mkandamizaji.
Ukiwaambia wakupe picha ya kiwete mmoja ili watu wafatilie wajue kama kweli alikuwa kiwete then akapona wanaanza kuleta danadana
 
Mkuu naikumbuka sana hii
 
Hakuna hospitali huko akafanye miujiza? Watu wanateseka mawodini na mtumishi yupo maeneo.
 
Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.

Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.

Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.

View attachment 2387081
Umetumwa siyo siri. Ila wajinga ndio waliwao nendeni mkaliwe mpaka mbakiwe na mifupa.

Ujinga upumbavu utapeli wa kiroho na kiimani mnazidi kuupigia debe kwa mafukara.

Mtayalipa hapa hapa duniani
 
Imani ndio dawa kinacchoponya ni iman na sio Mwamposa na inatakowa uwe na imani kweli kweli kuamini yan usi doubt hata dakika moja amini utapona hata ka unasali chumban kwako kikubwa uwe na moyo safi..,

Wengi sala zetu haziendi kwa kuwa tuna doubt na tunasali huku tuna dhambi....

Pamoja na kusema hivi ila naamin Mungu anaponya kupitia sisi binadamu huku dunian na sio muujiza wa Ghafla bin vuu ka enzi za Yesu.

Yaan ka ulikua mgonjwa ukasali kwa iman labda Mungu atakukutanisha na daktari mzuri, au ka ulikua huna kazi Mungu atakuongoza kwny connection, ka hvo ulikua kiwete Mungu atakuongoza kwa dokta mzuri wa mfupa ila mambo ya Ghafla bin vuu hayo aliweza Yesu tu...

TUJITAHD KUSALI KWA IMANI TUKIWA WASAFI BILA DHAMBI MUNGU ATATUONA HATA KA UNASALI CHUMBANI KWAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…