Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Kuhusu vilema kutembea sina ushahd ila mambo ya ardhi nina ushahidi kbs na wale waliofungwa kichawi kufunguliwa ushahid mi ninao...
Uliposema wachawi nikaelewa. Mbona waganga wapo na wanashughulika na uchawi.
 
Fact ya kwanza, Magongo yote yanafanana na ni mapya.

Fact ya pili, waliobeba Magongo sio wahusika ni wahudumu. Ndio maana mtu mmoja amebeba Magongo mawili au matati.
Hayo yalikusanywa toka kwa vilema ndio mana wameshika wahudumu mkuu,huna fact
 
Huo mbona uganga wa kienyeji .
Huo mbona uganga wa kienyeji.
 
Watasema umetumwa
 
toa hilo stica hapo kweny Screen au ni wale mnanunua vitu ili muuze tena.
 

Tofautisha mafunuo na mafundisho. YESU alimponya kipofu kwa mafunuo, yani hakurudia Hilo Jambo Tena. Ila huyu Mwamposa kila siku anatumia mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…