Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
- Thread starter
-
- #381
Unamuona huyo paka?amekufa baada ya kumwagiwa maji ya upakohahaha eti mwamposa anayemajibu ya shida dah chief ivi unajisikia kweli unayoyaongea kwelii ndo mnavyokaririsha kwamba nabii anayemajibu yaani Yesu aache kuwa na majibu mwamposa awe na majibu wa matatizo
aisee toka huko unakoelekea sasa naona mtamwabudu huyo tapeli naona mnampa utukufu sanaUsimwite Tapeli kiongozi wangu Mwamposya
Watu tunaosali kwake tuna akili zetu
Miujiza ya nini?Jaman fungulieni chanel E muone miujiza songea,
Soma Biblia, utaona hata Yesu alishindwa na kumuomba Mungu Baba amuondoe kwenye maumivu ya mateso ya Wayahudi! Huko ni kushindwa!Yesu hajawahi kushindwa
Yesu aliagiza wasikilizwe manabiihahaha eti mwamposa anayemajibu ya shida dah chief ivi unajisikia kweli unayoyaongea kwelii ndo mnavyokaririsha kwamba nabii anayemajibu yaani Yesu aache kuwa na majibu mwamposa awe na majibu wa matatizo
Hatumwabudu tunamheshimu Mwamposya kama Bibilia Ilivyoagiza agano la kale na Yesu alivyoagiza agano jipyaaisee toka huko unakoelekea sasa naona mtamwabudu huyo tapeli naona mnampa utukufu sana
chief km hujui shetani anafanya mazingaumbwe sana tu miujiza matendo 8, kuna mtu mmoja anaitwa simoni mchawi aliyafanya hayo anayoyafanya mwamposa na watu walimwamini kuwa Mungu anamtumia alipo kuja mtumishi wa Mungu petro pepo alimtoka na cha ajabu akaanza kuona uwezo wa petro kumwekea mtu Nguvu za Roho mtakatifu zinamjia akatamani anataka petro ammpe hiyo karama. kwa ufupi pitia matendo ya mitume hivi vitu vinatendeka vilikuepo na kunapokuwa na nguvu za Mungu Roho mtakatifu anatembea kuponya mwenyew huitaji maji wala mwamposa wako na analijua hilo ndo maana hakuna ibada ya Kuomba juu ya nguvu za Roho mtakatifu. anajua akija Roho mtakatifu ataaibikaUnamuona huyo paka?amekufa baada ya kumwagiwa maji ya upako
Utapeli gani?
Sijaona mtu wa Mungu ana mitusi kama wewe. Nilifikri utageuza shavu la pili, kumbe tukikuambia Mwamposa ni tapeli unakasirika. Basi usingeleta hii mada huku. Usijekutuiambukiza ujinga na sisi tukakubali kutapeliwa. Hata wale wa Kalynda walitumwa kuaminisha watu ule utapeli ilikuwa ukombozi wa umaskini. Kama Mwamposa anazo hizo nguvu, kwa nini analilia sadaka. Si amuombe amshushie $ na Euro kuliko kuwanyang'anya maskini kile kidogo walichonacho kwa kuwadanganya Mungu atawarudishia mara saba! Tapeli na mwizi wa imani huyo nabii wako.Pumbavu kabisa wewe. Sijawahi kusali kanisani kwake na still ninaamini ni mtumishi wa kweli wa Mungu.
Napenda namna anavyokaa kimya na asimjibu yeyote. Pengine amepata darasa kutoka kwa mwalimu Mwakasege.
chief ngoja tu nikuelimishe km hujui kwny uponyaji kinachotokea ni Roho mtakatifu anaponya ni ww kupata access tu ya Roho mtakatifu kila kitu. kwisha habrYesu aliagiza wasikilizwe manabii
Mikanisa mingi sasa hivi ina waumini hopeless kabisa kama wewe
Hawana adabu kabisa kwa viongozi wao utasikia ohh mimi namwamwini Mungu tu na Yesu sio binadamu
Na kuna viongozi wasiojua wito wao sababu walifuata ajira tu utakuta wanahubiri huo ujinga.Wanasahau kuwa Mungu kaweka mitume,manabii,walimu ,wachungaji na wainjilisti. Hawakujiweka wamewekwa na Mungu sio chuo cha Theolojia
Wengi humparamia Mwamposya kuwa ohh hajasoma chuo theolojia wakijuacho wao.Mitume 12 wa Yesu walisoma chuo kipi cha Theolojia? Hopeless kabisa
Petro alikuwa hajuikusoma wala kuandika
Sasa hivi wengi wana wito wa dini sio wa Mungu kama Mwamposya. Ndio maana kutwa kutukuza dini zao na Vyuo vyao vya theolojia.Upako hawana.Wamejaa tu mivyeti ya mivyuo yao na theories za Biblia lakini kwenye upako hawana kama wa Mwamposya. Ni walimu tu wa dini zao tu
Haya nyie msio wachawichief km hujui shetani anafanya mazingaumbwe sana tu miujiza matendo 8, kuna mtu mmoja anaitwa simoni mchawi aliyafanya hayo anayoyafanya mwamposa na watu walimwamini kuwa Mungu anamtumia alipo kuja mtumishi wa Mungu petro pepo alimtoka na cha ajabu akaanza kuona uwezo wa petro kumwekea mtu Nguvu za Roho mtakatifu zinamjia akatamani anataka petro ammpe hiyo karama. kwa ufupi pitia matendo ya mitume hivi vitu vinatendeka vilikuepo na kunapokuwa na nguvu za Mungu Roho mtakatifu anatembea kuponya mwenyew huitaji maji wala mwamposa wako na analijua hilo ndo maana hakuna ibada ya Kuomba juu ya nguvu za Roho mtakatifu. anajua akija Roho mtakatifu ataaibika
kumueshimu ndo kumpa utukufu!!. yaani mumtukuze alafu mnasema mnamweshimu 😀😀😀Hatumwabudu tunamheshimu Mwamposya kama Bibilia Ilivyoagiza agano la kale na Yesu alivyoagiza agano jipya
nani amekuambia miujiza haitendeki narudia tena anayefanya miujiza ni Roho mtakatifu. wachungaji wanayoihubiri kwelii wanalijua hilo ndio maana Yesu alisema ajapo yule msaidizi akikaa ndani yenu atawafunulia kweli yoote. angalia mikutano ya mwakasege Watu wanajazwa Roho mtakatifu wanpona bila hata kutumia mazingaumbwe maana anayepona ni Roho wa MunguHaya nyie msio wachawi
Ishara na miujiza yenu iko wapi?
Yesu alisema ishara na miujiza itafuatana na wote waaminio
Yenu iko wapi? Watu wangefurika huko kwenu
Mko watupu mkubali tu .Mwamposya hana makanisa zaidi ya Dar na Moshi
Lakini popote mkoa wowote akikanyaga ni pata shika nguo kuchanika kwa umati wa watu wenye makanisa yao na dini zao
Hadi maaskofu huweka vikao vya kutishia waumini wasiende mikutano yake kwa hofu kuwa mkienda tutawatenga nk!! Wakati Mwamposya hana hata mpango wa kufungua kanisa eneo hilo .Siku akiamua kusema anafungua kila mkoa makanisa mengi yatakuwa matupu ndani ya wiki.moja tu watahamia kwa Mwamposya Sema anajua wito wake kaitiwa nini ndio maana hahangiiki kutungua matawi
Nafungachief ngoja tu nikuelimishe km hujui kwny uponyaji kinachotokea ni Roho mtakatifu anaponya ni ww kupata access tu ya Roho mtakatifu kila kitu. kwisha habr
si kutegemea mtu wala nabii, wala mafuta elimika mafuta ni uchawi huo
Umeandika ujinga mtupu Yesu aliagiza Ponyeni wagonjwa ,toeni pepo nk aliagiza watu wake wenye wito wake sio wenye wito wa dini kama wewe na wito wa chuo theolojia uliyepata uongozi kwa kulipia hela ya adachief ngoja tu nikuelimishe km hujui kwny uponyaji kinachotokea ni Roho mtakatifu anaponya ni ww kupata access tu ya Roho mtakatifu kila kitu. kwisha habr
si kutegemea mtu wala nabii, wala mafuta elimika mafuta ni uchawi huo
Si kila aliye juu unatakiwa umngoje chinitime will tell kwani gwaji boy yuko wapi si alianza hivi hivi. hawa manabii uchwara ni moto wa kifuu baada ya mda wanapotea km hawakuwepo maana ubaya ukifanya vitu bila nguvu za Roho mtakatifu kuna mwisho wake tu.
note. huwezi ukadanganya watu wote kwa wakati wote
nani anayezungumzia dini hapa kujua theologia sio dini. sikia kuna ethics za kiutumishiNafunga
Umeandika ujinga mtupu Yesu aliagiza Ponyeni wagonjwa ,toeni pepo nk aliagiza watu wake wenye wito wake sio wenye wito wa dini kama wewe na wito wa chuo theolojia uliyepata uongozi kwa kulipia hela ya ada
Ukanunua uchungaji,uinjilisti nk baada ya kulipa ada kama yule Simon Mchawi kwenye Biblia aliyesema chukueni hela mniuzie hicho mlichonacho!!
Wachungaji wengi na mapadri nk walinunua hizo kazi kwa kulipia pesa za.ada kupitia wao wenyewe au wafadhili seminary au Bible school au Vyuo.vya theolojia
Walinunua kazi za kichungaji,kipadri na kiinjilisti
sawa bhana mngetumia nguvu hii mnayomsifia mwamposa kumpa utukufu Mungu na kusifu matendo makuu ya Yesu kiukweli kaz ya kufanya watu kuwa waumini ingekuwa rahisi sanaSi kila aliye juu unatakiwa umngoje chini
Utasubiri sana kwa Mwamposya
Mwamposya ana wito wake na Mwakasege ana wa kwakenani amekuambia miujiza haitendeki narudia tena anayefanya miujiza ni Roho mtakatifu. wachungaji wanayoihubiri kwelii wanalijua hilo ndio maana Yesu alisema ajapo yule msaidizi akikaa ndani yenu atawafunulia kweli yoote. angalia mikutano ya mwakasege Watu wanajazwa Roho mtakatifu wanpona bila hata kutumia mazingaumbwe maana anayepona ni Roho wa Mungu
Hapo chini mi naona maandishi tu tuma kwa mpesa, airtel money, tigo pesa n. k nabaki na maswali mengi sana bila majibu