Yesu aliagiza wasikilizwe manabii
Mikanisa mingi sasa hivi ina waumini hopeless kabisa kama wewe
Hawana adabu kabisa kwa viongozi wao utasikia ohh mimi namwamwini Mungu tu na Yesu sio binadamu
Na kuna viongozi wasiojua wito wao sababu walifuata ajira tu utakuta wanahubiri huo ujinga.Wanasahau kuwa Mungu kaweka mitume,manabii,walimu ,wachungaji na wainjilisti. Hawakujiweka wamewekwa na Mungu sio chuo cha Theolojia
Wengi humparamia Mwamposya kuwa ohh hajasoma chuo theolojia wakijuacho wao.Mitume 12 wa Yesu walisoma chuo kipi cha Theolojia? Hopeless kabisa
Petro alikuwa hajuikusoma wala kuandika
Sasa hivi wengi wana wito wa dini sio wa Mungu kama Mwamposya. Ndio maana kutwa kutukuza dini zao na Vyuo vyao vya theolojia.Upako hawana.Wamejaa tu mivyeti ya mivyuo yao na theories za Biblia lakini kwenye upako hawana kama wa Mwamposya. Ni walimu tu wa dini zao tu