Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

hahaha eti mwamposa anayemajibu ya shida dah chief ivi unajisikia kweli unayoyaongea kwelii ndo mnavyokaririsha kwamba nabii anayemajibu yaani Yesu aache kuwa na majibu mwamposa awe na majibu wa matatizo
Unamuona huyo paka?amekufa baada ya kumwagiwa maji ya upako
 
Attachments

  • 20221015_153059.jpg
    20221015_153059.jpg
    484 KB · Views: 10
hahaha eti mwamposa anayemajibu ya shida dah chief ivi unajisikia kweli unayoyaongea kwelii ndo mnavyokaririsha kwamba nabii anayemajibu yaani Yesu aache kuwa na majibu mwamposa awe na majibu wa matatizo
Yesu aliagiza wasikilizwe manabii
Mikanisa mingi sasa hivi ina waumini hopeless kabisa kama wewe

Hawana adabu kabisa kwa viongozi wao utasikia ohh mimi namwamwini Mungu tu na Yesu sio binadamu

Na kuna viongozi wasiojua wito wao sababu walifuata ajira tu utakuta wanahubiri huo ujinga.Wanasahau kuwa Mungu kaweka mitume,manabii,walimu ,wachungaji na wainjilisti. Hawakujiweka wamewekwa na Mungu sio chuo cha Theolojia

Wengi humparamia Mwamposya kuwa ohh hajasoma chuo theolojia wakijuacho wao.Mitume 12 wa Yesu walisoma chuo kipi cha Theolojia? Hopeless kabisa

Petro alikuwa hajuikusoma wala kuandika
Sasa hivi wengi wana wito wa dini sio wa Mungu kama Mwamposya. Ndio maana kutwa kutukuza dini zao na Vyuo vyao vya theolojia.Upako hawana.Wamejaa tu mivyeti ya mivyuo yao na theories za Biblia lakini kwenye upako hawana kama wa Mwamposya. Ni walimu tu wa dini zao tu
 
Unamuona huyo paka?amekufa baada ya kumwagiwa maji ya upako
chief km hujui shetani anafanya mazingaumbwe sana tu miujiza matendo 8, kuna mtu mmoja anaitwa simoni mchawi aliyafanya hayo anayoyafanya mwamposa na watu walimwamini kuwa Mungu anamtumia alipo kuja mtumishi wa Mungu petro pepo alimtoka na cha ajabu akaanza kuona uwezo wa petro kumwekea mtu Nguvu za Roho mtakatifu zinamjia akatamani anataka petro ammpe hiyo karama. kwa ufupi pitia matendo ya mitume hivi vitu vinatendeka vilikuepo na kunapokuwa na nguvu za Mungu Roho mtakatifu anatembea kuponya mwenyew huitaji maji wala mwamposa wako na analijua hilo ndo maana hakuna ibada ya Kuomba juu ya nguvu za Roho mtakatifu. anajua akija Roho mtakatifu ataaibika
Utapeli gani?
 
Pumbavu kabisa wewe. Sijawahi kusali kanisani kwake na still ninaamini ni mtumishi wa kweli wa Mungu.

Napenda namna anavyokaa kimya na asimjibu yeyote. Pengine amepata darasa kutoka kwa mwalimu Mwakasege.
Sijaona mtu wa Mungu ana mitusi kama wewe. Nilifikri utageuza shavu la pili, kumbe tukikuambia Mwamposa ni tapeli unakasirika. Basi usingeleta hii mada huku. Usijekutuiambukiza ujinga na sisi tukakubali kutapeliwa. Hata wale wa Kalynda walitumwa kuaminisha watu ule utapeli ilikuwa ukombozi wa umaskini. Kama Mwamposa anazo hizo nguvu, kwa nini analilia sadaka. Si amuombe amshushie $ na Euro kuliko kuwanyang'anya maskini kile kidogo walichonacho kwa kuwadanganya Mungu atawarudishia mara saba! Tapeli na mwizi wa imani huyo nabii wako.
 
Yesu aliagiza wasikilizwe manabii
Mikanisa mingi sasa hivi ina waumini hopeless kabisa kama wewe

Hawana adabu kabisa kwa viongozi wao utasikia ohh mimi namwamwini Mungu tu na Yesu sio binadamu

Na kuna viongozi wasiojua wito wao sababu walifuata ajira tu utakuta wanahubiri huo ujinga.Wanasahau kuwa Mungu kaweka mitume,manabii,walimu ,wachungaji na wainjilisti. Hawakujiweka wamewekwa na Mungu sio chuo cha Theolojia

Wengi humparamia Mwamposya kuwa ohh hajasoma chuo theolojia wakijuacho wao.Mitume 12 wa Yesu walisoma chuo kipi cha Theolojia? Hopeless kabisa

Petro alikuwa hajuikusoma wala kuandika
Sasa hivi wengi wana wito wa dini sio wa Mungu kama Mwamposya. Ndio maana kutwa kutukuza dini zao na Vyuo vyao vya theolojia.Upako hawana.Wamejaa tu mivyeti ya mivyuo yao na theories za Biblia lakini kwenye upako hawana kama wa Mwamposya. Ni walimu tu wa dini zao tu
chief ngoja tu nikuelimishe km hujui kwny uponyaji kinachotokea ni Roho mtakatifu anaponya ni ww kupata access tu ya Roho mtakatifu kila kitu. kwisha habr
si kutegemea mtu wala nabii, wala mafuta elimika mafuta ni uchawi huo
 
chief km hujui shetani anafanya mazingaumbwe sana tu miujiza matendo 8, kuna mtu mmoja anaitwa simoni mchawi aliyafanya hayo anayoyafanya mwamposa na watu walimwamini kuwa Mungu anamtumia alipo kuja mtumishi wa Mungu petro pepo alimtoka na cha ajabu akaanza kuona uwezo wa petro kumwekea mtu Nguvu za Roho mtakatifu zinamjia akatamani anataka petro ammpe hiyo karama. kwa ufupi pitia matendo ya mitume hivi vitu vinatendeka vilikuepo na kunapokuwa na nguvu za Mungu Roho mtakatifu anatembea kuponya mwenyew huitaji maji wala mwamposa wako na analijua hilo ndo maana hakuna ibada ya Kuomba juu ya nguvu za Roho mtakatifu. anajua akija Roho mtakatifu ataaibika
Haya nyie msio wachawi
Ishara na miujiza yenu iko wapi?

Yesu alisema ishara na miujiza itafuatana na wote waaminio

Yenu iko wapi? Watu wangefurika huko kwenu

Mko watupu mkubali tu .Mwamposya hana makanisa zaidi ya Dar na Moshi

Lakini popote mkoa wowote akikanyaga ni pata shika nguo kuchanika kwa umati wa watu wenye makanisa yao na dini zao

Hadi maaskofu huweka vikao vya kutishia waumini wasiende mikutano yake kwa hofu kuwa mkienda tutawatenga nk!! Wakati Mwamposya hana hata mpango wa kufungua kanisa eneo hilo .Siku akiamua kusema anafungua kila mkoa makanisa mengi yatakuwa matupu ndani ya wiki.moja tu watahamia kwa Mwamposya Sema anajua wito wake kaitiwa nini ndio maana hahangiiki kutungua matawi
 
nani amekuambia miujiza haitendeki narudia tena anayefanya miujiza ni Roho mtakatifu. wachungaji wanayoihubiri kwelii wanalijua hilo ndio maana Yesu alisema ajapo yule msaidizi akikaa ndani yenu atawafunulia kweli yoote. angalia mikutano ya mwakasege Watu wanajazwa Roho mtakatifu wanpona bila hata kutumia mazingaumbwe maana anayepona ni Roho wa Mungu
 
chief ngoja tu nikuelimishe km hujui kwny uponyaji kinachotokea ni Roho mtakatifu anaponya ni ww kupata access tu ya Roho mtakatifu kila kitu. kwisha habr
si kutegemea mtu wala nabii, wala mafuta elimika mafuta ni uchawi huo
Nafunga

Umeandika ujinga mtupu Yesu aliagiza Ponyeni wagonjwa ,toeni pepo nk aliagiza watu wake wenye wito wake sio wenye wito wa dini kama wewe na wito wa chuo theolojia uliyepata uongozi kwa kulipia hela ya ada

Ukanunua uchungaji,uinjilisti nk baada ya kulipa ada kama yule Simon Mchawi kwenye Biblia aliyesema chukueni hela mniuzie hicho mlichonacho!!

Wachungaji wengi na mapadri nk walinunua hizo kazi kwa kulipia pesa za.ada kupitia wao wenyewe au wafadhili seminary au Bible school au Vyuo.vya theolojia

Walinunua kazi za kichungaji,kipadri na kiinjilisti

Ndio maana performance za ishara na miujiza hazipo
 
time will tell kwani gwaji boy yuko wapi si alianza hivi hivi. hawa manabii uchwara ni moto wa kifuu baada ya mda wanapotea km hawakuwepo maana ubaya ukifanya vitu bila nguvu za Roho mtakatifu kuna mwisho wake tu.
note. huwezi ukadanganya watu wote kwa wakati wote
 
Si kila aliye juu unatakiwa umngoje chini

Utasubiri sana kwa Mwamposya
 
Nafunga

Umeandika ujinga mtupu Yesu aliagiza Ponyeni wagonjwa ,toeni pepo nk aliagiza watu wake wenye wito wake sio wenye wito wa dini kama wewe na wito wa chuo theolojia uliyepata uongozi kwa kulipia hela ya ada

Ukanunua uchungaji,uinjilisti nk baada ya kulipa ada kama yule Simon Mchawi kwenye Biblia aliyesema chukueni hela mniuzie hicho mlichonacho!!

Wachungaji wengi na mapadri nk walinunua hizo kazi kwa kulipia pesa za.ada kupitia wao wenyewe au wafadhili seminary au Bible school au Vyuo.vya theolojia

Walinunua kazi za kichungaji,kipadri na kiinjilisti
nani anayezungumzia dini hapa kujua theologia sio dini. sikia kuna ethics za kiutumishi
Si kila aliye juu unatakiwa umngoje chini

Utasubiri sana kwa Mwamposya
sawa bhana mngetumia nguvu hii mnayomsifia mwamposa kumpa utukufu Mungu na kusifu matendo makuu ya Yesu kiukweli kaz ya kufanya watu kuwa waumini ingekuwa rahisi sana
 
nani amekuambia miujiza haitendeki narudia tena anayefanya miujiza ni Roho mtakatifu. wachungaji wanayoihubiri kwelii wanalijua hilo ndio maana Yesu alisema ajapo yule msaidizi akikaa ndani yenu atawafunulia kweli yoote. angalia mikutano ya mwakasege Watu wanajazwa Roho mtakatifu wanpona bila hata kutumia mazingaumbwe maana anayepona ni Roho wa Mungu
Mwamposya ana wito wake na Mwakasege ana wa kwake

Kila mmoja anatakiwa kusimama eneo lake aliloitiwa full stop

Umeitwa kuhubiri neno la Mungu hubiri Neno la Mungu usihubiri Mwamposya

Hukuitwa kuhubiri habari za Mwamposya

Mimi muumini wa Mwamposya. Hajawahi hata siku moja kumsema mtumishi yeyote au kuponda yeyote ndio maana Mungu anamwinua

Kanisani kuna watu toka madhehebu yote wawe ya Kikristo hadi waislamu

Hahangiiki na mtumishi yeyote kasimama kama Paulo anaangalia Mede ya mbele tu aliyoitiwa wito wake

Tatizo watumishi wengi hawana focus ya nini wameitiwa na wengi hawajui sababu hawakusikia sauti ya Mungu

Tatizo la ajira na kutafuta utukufu na heshima sababu walipo wanaona hawaheshimiwi na hela ndio zinakuwa sifa muhimu kwao na vichocheo vya wao kwenda vyuo vya Biblia ,vyuo vya theolojia nk

Lakini hawana sauti ya Mungu iliyowaita !!!
 
Endelea Tu kuamini uponyaji badala ya kustawisha nafsi yako ikae karibu na Muumba wako. Hata shetani anaponya endelea kuhadaika
 
Back
Top Bottom