Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #461
### Mungu afanye ishara zote kwa adui yako alizokusudia###
Bible code number 140:- LESE TEKELI PERESI MENE
Bible code number 140:- LESE TEKELI PERESI MENE
Kazi yake; Kumuomba Mungu afanye ishara zote baada ya kuufanya moyo wa adui wako kuwa mgumu
(Kutoka 4:21, 7:23, 8:15, 8:32, 9:12, 9:35, 10:20, 11:10, Warumi 9:17-18)
Sio kila adui katika maisha yako utamshinda kirahisi rahisi ni mpaka pale Mungu atakapofanya ishara zote kwa adui yako alizokusudia ndo utamshinda.
UNATUMIAJE- Binafsi-Unakua unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakapofanya ishara zote alizokusudia kwa adui yako