Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #501
Bible code number 159:- TETEPE TETEPE TETEPE TETEPE
Kazi yake;- kusikiliza sauti za damu zinazolilia kisasi sehemu husika
(Mwanzo 4:10)
UNATUMIAJE- Unataja eneo-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakaposikia sauti za damu zinazolilia kisasi sehemu husika