Natumia Biblia kutatua changamoto

Natumia Biblia kutatua changamoto

### moja ya sababu ya baadhi ya wanawake kutokuolewa ###

Bible code number 167:- PERESI PESI PERESI MENE
Kazi yake;- kuvunja ndoa za kipepo zilizofungwa kwenye ulimwengu wa roho
(Ezra 10:1-44)​
UNATUMIAJE
  1. Unataja eneo-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakaposikia sauti za damu zinazolilia kisasi sehemu husika
(Unataja jina la mwanamke/mwanaume- unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
BIBLE CODE HAZINA ISHARA YEYOTE KATIKA ULIMWENGU WA MWILI
Bible code hazina ishara yeyote ile kwenye ulimwengu wa mwili kama kukutemesha, kisulisuli, nguromo, mshindo, kukufedhehesha n.k sababu zinatumia sheria ya agano jipya, ila katika ulimwengu wa roho zina-nguvu sana
 
### kama upo kwenye uvuli wa bonde la mauti ###

Bible code number 02:- ELOI ELOI LAMA SABAKTHANI
Kazi yake;- kukupa nguvu ukiwa katika nyakati ngumu sana unapopita katika bonde la uvuli wa mauti
(Mathayo 27:46, Zaburi 23)
  • Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, unakua na uchungu wa moyo, pia unajikuta ukitaman kulia lakini machozi hayatoki kutoka..but we have to be strong; sababu ni mpaka kusudi la Mungu litimie ndo ugumu unaopitia utaondoka usitumie nguvu kubwa sana kuondoa hio changamoto sababu italeta negative impact kubwa sana kwako.
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu utakapomaliza kulivuka bonde la uvuli wa mauti.
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu utakapomaliza kulivuka bonde la uvuli wa mauti.
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
### kufungua soko/biashara iliyofungwa ###

Bible code number 64:- PERESI PERESI PERESI PESI
Kazi yake;- Kufungua biashara au soko lililofungwa kwenye ulimwengu wa roho dhidi yako
(Yoshua 6:1-5)
Kuna biashara huku duniani ni za watu fulani wewe ukitaka kuingia kufanya inakua ngumu sana, na hakikisha unaanza na bible code number 03 kwa kuwasha nuru ndani yako
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka soko litakapofunguka kwenye ulimwengu wa roho
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(biashara unayofanya kwenye soko/mahali flani)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumuombea mtu mwingine-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka soko litakapofunguka kwenye ulimwengu wa roho
(Jina la mtu anayemuombea-unatamka mara tatu tu kwa siku)(biashara unayofanya kwenye soko/mahali flani)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 168:- TERE MENE PERESI TEKELI
Kazi yake;- sheria ya agano jipya itawale kazi yako
(Yohana 1:1-5)​
Faida ya sheria ya agano jipya​
  • Limefungwa kwenye roho
  • Halijafungwa kwenye ishara
  • Jambo linalotekelewa kupitia sheria ya agano jipya litadumu kwa sababu msingi wake ni imara sana
  • Jambo lolote linalotekelezwa kupitia sheria ya agano jipya ukuaji wake ni mkubwa
  • Sheria ya agano jipya ni imara sana kwenye kuiwezesha akili kufanya kazi mpaka kiwango chake cha mwisho
  • Sheria ya agano jipya ina-muendelezo mzuri (succession plan)
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhusha fikra za agano jipya kwenye kazi yako.
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhusha fikra za agano jipya kwenye kazi yako.
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 169:- TENE TENE MENE TEKELI
Kazi yake;- sheria ya agano jipya itawale ndoa yako
(Yohana 1:1-5)​
Faida ya sheria ya agano jipya​
  • Limefungwa kwenye roho
  • Halijafungwa kwenye ishara
  • Jambo linalotekelewa kupitia sheria ya agano jipya litadumu kwa sababu msingi wake ni imara sana
  • Jambo lolote linalotekelezwa kupitia sheria ya agano jipya ukuaji wake ni mkubwa
  • Sheria ya agano jipya ni imara sana kwenye kuiwezesha akili kufanya kazi mpaka kiwango chake cha mwisho
  • Sheria ya agano jipya ina muendelezo mzuri (succession plan)
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhusha fikra za agano jipya kwenye ndoa yako.
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhusha fikra za agano jipya kwenye ndoa yako.
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 170:- TENE PERESI MENE TEKELI
Kazi yake;- sheria ya agano jipya itawale uongozi wako
(Yohana 1:1-5)​
Faida ya sheria ya agano jipya​
  • Limefungwa kwenye roho
  • Halijafungwa kwenye ishara
  • Jambo linalotekelewa kupitia sheria ya agano jipya litadumu kwa sababu msingi wake ni imara sana
  • Jambo lolote linalotekelezwa kupitia sheria ya agano jipya ukuaji wake ni mkubwa
  • Sheria ya agano jipya ni imara sana kwenye kuiwezesha akili kufanya kazi mpaka kiwango chake cha mwisho
  • Sheria ya agano jipya ina muendelezo mzuri (succession plan nzuri)
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhusha fikra za agano jipya kwenye uongozi wako.
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhusha fikra za agano jipya kwenye uongozi wako.
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 171:- LENE TEKELI PERESI MENE
Kazi yake;- sheria ya agano jipya itawale biashara yako
(Yohana 1:1-5)​
Faida ya sheria ya agano jipya​
  • Limefungwa kwenye roho
  • Halijafungwa kwenye ishara
  • Jambo linalotekelewa kupitia sheria ya agano jipya litadumu kwa sababu msingi wake ni imara sana
  • Jambo lolote linalotekelezwa kupitia sheria ya agano jipya ukuaji wake ni mkubwa
  • Sheria ya agano jipya ni imara sana kwenye kuiwezesha akili kufanya kazi mpaka kiwango chake cha mwisho
  • Sheria ya agano jipya ina-muendelezo mzuri (succession plan)
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhusha fikra za agano jipya kwenye biashara yako.
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyokwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhusha fikra za agano jipya kwenye biashara yako.
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 172:- PERESI LENE TEKELI LENE
Kazi yake;- sheria ya agano ikuongoze katika malezi ya watoto wako
(Yohana 1:1-5)​
Faida ya sheria ya agano jipya​
  • Limefungwa kwenye roho
  • Halijafungwa kwenye ishara
  • Jambo linalotekelewa kupitia agano jipya litadumu kwa sababu msingi wake ni imara sana
  • Jambo lolote linalotekelezwa kupitia agano jipya ukuaji wake ni mkubwa
  • Sheria ya agano jipya ni imara sana kwenye kuiwezesha akili kufanya kazi mpaka kiwango chake cha mwisho
  • Sheria ya agano jipya ina-muendelezo mzuri (succession plan)
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhusha fikra za agano jipya kwenye malezi yako ya watoto.
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhusha fikra za agano jipya kwenye malezi yako ya watoto.
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
### kupata faida kwenye biashara ngumu###

Bible code number 77:- TEKELI SENE PERESI SENE
Kazi yake;- Mungu kukupa mbinu ya kupata faida kwenye biashara ambayo ni ngumu kupata faida na imewashinda wengi.
(Isaya 48:17, Zaburi 32:8)
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unatamka jina na bible code kimoyo-moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata mbinu
(Majina yako matatu na jina la biashara yako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) imani na msisitizo mpaka utakapopata mbinu
(Majina matatu unayemuombea na Jina la biashara yake-unatamka mara tatu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
### kurudisha miaka yako iliyoliwa na nzige ###

Bible code number 27:- MENE PERESI TEKELI PERESI
Kazi yake;- kurudisha hali yako nzuri ya uchumi ambayo ulikua nayo ila ukaja kufilisika
(Ayubu 42:10)
  • Atarudisha miaka yako iliyoliwa na nzige
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka hali yako nzuri itakaporudi
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka hali yako nzuri itakaporudi
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
### kwa yale magonjwa yaliyoshindikana hospitalini ###

Bible code number 40:- PERESI PETELI PETELI PERESI
Kazi yake;- kugusa upindo wa vazi la Yesu ili kupona magonjwa sugu
(Luka 8:43-48, Luka 5:15)
Magonjwa sugu yaliyoshindikana hospitalini
  • Aggresive cancer
  • Kufeli kwa figo kunakotishia maisha ya mgonjwa
  • Neurodegenerative diseases mfano motor neuron, alzheimers, parkinson n.k
  • Magonjwa ya moyo
  • Na mengine mengi
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ugonjwa utakapoondoka au kuwa irrelevant
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ugonjwa utakapoondoka au kuwa irrelevant
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana namtukuza Mungu wa Bwana wangu Yesu kristo yeye aachiliae maarifa na hekima kwa watumishi wake kwa uweza na nguvu wa Roho wake Mtakatifu..
Naomba nishuhudie hapa tangu uanze kuleta hiz bible code mimi ni mmoja kati ya wale ambao wapepokea majibu kwa namna ya ajabu sana.Nimeitafuta ile code hapa ili ni reply sijaiona ila Mungu ni mwema ametenda kwangu kwa namna tofauti juu ya jambo moja zaidi ya mara mbili.

Nilichokifanya nilichukua ile bible code na andiko lake nikavitafakari kwa muda then nikaanza kutamka kama ulivoagiza aisee .Mwanzo ulisema sometimes unaweza pata majibu hapo kwa hapo au la! Mimi nilipa hapo kwa hapo na namtukuza sana Mungu kwa ishara .Ubarikiwe sana kwa kukubari kutumika.
 
### kwa yale magonjwa yaliyoshindikana hospitalini ###

Bible code number 40:- PERESI PETELI PETELI PERESI
Kazi yake;- kugusa upindo wa vazi la Yesu ili kupona magonjwa sugu
(Luka 8:43-48, Luka 5:15)
Magonjwa sugu yaliyoshindikana hospitalini
  • Aggresive cancer
  • Kufeli kwa figo kunakotishia maisha ya mgonjwa
  • Neurodegenerative diseases mfano motor neuron, alzheimers, parkinson n.k
  • Magonjwa ya moyo
  • Na mengine mengi
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka kimoyo moyo (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ugonjwa utakapoondoka au kuwa irrelevant
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyon (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ugonjwa utakapoondoka au kuwa irrelevant
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)

UTAPELI MTUPU
 
Umetapeliwa sh ngapi ebu weka ushahidi wa utapeli

Utapeli kwani ni wa pesa tu ? Yaani barua ya mtu wa kufirika aliyepewa jina la Luka, kwa rafiki yake Theophilus iwe na code ya dawa ya kutibu magonjwa? 😜😜😜

Kama si wazimu ni kitu gani ? au bangi Za chato zinawaharibu akili😝😝😝
 
Umetoka kwenye utapeli umeamia kwenye wazimu kama mstari wa luka hautibu we shida yako ni nini
Mbona unateseka kwani umelazimishwa kutumia
Majungu sio mtaji
 
Jambo la msingi kuelewa ni kwamba, Biblia kama wakati ule unasoma hautakuwa na usaidizi wa Roho Mtakatifu, au wakati ule unapolitumia Neno/Unapolituma kama hautakuwa umeokoka (kama hauna Mungu moyoni), ni kitabu cha kawaida tu na hakuna matunda yeyote. hii ndio sababu hata leo hii unaweza kumwita padre aliyesoma miaka 7 anaijua Biblia yote, ila ukimwambia kemea hili pepo litoke kwa huyu mtu, hawezi, wakati amesoma mistari Yesu alituagiza "pozeni wagonjwa fufueni wafu takaseni wenye ukoma toeni pepo".

hata Jina la Yesu, kama wewe haujaokoka, manake hauna Mungu moyoni hivyo mamlaka ya Mungu haipo moyoni mwako, halifanyi chochote, hata kama Biblia inasema "kwa Jina langu mtatoa pepo, mtaweka mikono juu ya wagonjwa nao watapata afya".

kwa hiyo, nawaasa, kuna faida katika kuokoka. Okokeni, siku ya wokovu ni sasa, wala sio kesho au baadaye, ni sasa. Neno la Mungu ndiye Mungu mwenyewe, linafanya kazi kwa wale tu wenye Mungu moyoni. hata mahubiri, yakihubiriwa na mtu ambaye hajaokoka, mfano, hao wanaocopy mahubiri ya wengine na kuweka semina na kupiga pesa, hata uhubiri vipi, hayawezi kubadilisha moyo wa mtu kwasababu hakuna Mungu ndani yake, anayeokoa ni Mungu, anayebadilisha ni MUngu anayeponya ni Mungu, kila kitu ni Mungu, sisi tunatumiwa tu kama vyombo, hivyo ukiona MUngu hajakutumia jua wewe sio wake, ukiona unafanya chohchote na hakuna uwepo wa Mungu jua umeenda peke yako na hakuna matunda, hata yakiwepo ujue ni maigizo ya adui wala sio Mungu, Mungu hawezi kuwepo hapo.

kuna kisanga kimoja, MATENDO 19:13 - 16, Imeandikwa:

13 Baadhi ya Wayahudi waliokuwa wakienda huku na huko wakiwatoa watu pepo wachafu wali jaribu nao kutumia jina la Yesu kutoa pepo, wakisema, “Nakuamuru kwa jina la Yesu, anayehubiriwa na Paulo.” 14 Palikuwa na wana saba wa kuhani mkuu aliyeitwa Skeva ambao walikuwa wakifanya hivi. 15 Lakini pepo mchafu akawajibu, “Yesu namfahamu na Paulo pia namfahamu; lakini ninyi ni nani?” 16 Yule mtu aliyekuwa na pepo mchafu akawarukia akawashambulia vikali, wakatoka ndani ya ile nyumba mbio wakiwa uchi na wenye majeraha.

kwanini pepo hakuwatii hawa? kwasababu kinachomtimua shetani sio jina la kawaida hili linaandikwa, ni Mamlaka ya Kimungu ndani ya Jina la Yesu ambayo haipo mdomoni, ipo ndani ya mtu, moyoni. Yesu anasema katika kitabu cha Ufunuo

Ufu 3:20
Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.

ukimpa Yesu maisha yako, hata kaa kwenye makaratasi, katekisimo, liturgia au chochote, anaingia moyoni mwako, atakaa ndani yako, nawe utakuwa chombo tu yote anafanya yeye. miili yetu ni hekalu. tu. hivyo ninyi msiookoka, ni nafasi yenu sasa Mungu ameapa, okokeni leo, mpate sio tu uzima wa milele, bali ili muwe na mamlaka dhidi ya shetani na wafuasi wake wote.
 
Umetoka kwenye utapeli umeamia kwenye wazimu kama mstari wa luka hautibu we shida yako ni nini
Mbona unateseka kwani umelazimishwa kutumia
Majungu sio mtaji

USIDANGANYE WATU

Utambulisho wa Luka kama mwandishi unategemea hasa vifungu vya "sisi" katika Matendo (kuanzia Matendo 16:10), ambavyo vinaonyesha kwamba Luka alihusishwa na Paulo katika huduma yake na aliandika maelezo ya shughuli zake. Amplified Bible, Ukurasa 1153)"

Uthibitisho pekee walio nao kuhusu Luka kuwa mwandishi pekee wa injili hii ni dhana dhaifu juu ya "sisi". Huu ni ujinga hata kidogo! Uvumi huu unaonyesha:

Injili iliwezekana kuwa ilibadilishwa au kuandikwa na wengine kando na Luka.
Mahali pa uhifadhi haijulikani.
Tarehe ya uhifadhi wake pia haijulikani.

Inafaa pia kutaja kwamba mwandishi wa kitabu cha Matendo pia hajulikani kama inavyoonyeshwa hapo juu:

"Ingawa mwandishi hatajitaja mwenyewe, ushahidi nje ya Maandiko na makisio kutoka kwa kitabu chenyewe yanaongoza kwenye hitimisho kwamba mwandishi alikuwa Luka. (Kutoka NIV Bible Commentary [1], ukurasa wa 1643)"
 
Back
Top Bottom