Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Ulitumia kodi kutoka injili ipi ??Official nimeku-ignore
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitumia kodi kutoka injili ipi ??Official nimeku-ignore
### ukiwa safarini ####
Bible code number 29:- LESE LESE LESE TEKELI
Kazi yake;- Mungu kukulinda katika safari
(Matendo ya mitume 27:1-44, 28:1-16)
UNATUMIAJE
(Majina yako matatu-na sehemu unayoenda-unatamka mara tatu tu)(unatamka bible code angalau dakika 5 ukiwa kwenye safari na ukiendelea ni vizuri pia)
- Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo-moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 5 ukiwa kwenye safari na ukiendelea ni vizuri pia (kwa siri abiria mwenzako asijue) kwa imani na msisitizo ukiwa safarini
(Majina matatu unayemuombea-sehemu anayoenda-unatamka mara tatu tu)(unatamka bible code angalau dakika 5 akiwa kwenye safari na ukiendelea ni vizuri pia)
- Kumwombea mtu-unatamka jina na code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 5 ukiwa kwenye safari na ukiendelea ni vizuri pia (kwa siri abiria mwenzako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka atakapo-fika
Ila mwamba unajitoa ufahamu ameshakuambua ameku-ignore ila unaendelea kucoment haoni huu upupu unaocomentWacha kumtania Mungu ,yaani , Lese lese Tekeli eti Mungu akulinde na safari, hiyo ni lugha gani ?? Au mnatumia Manzese uwanja wa fisi 😛😛
Unafikiri hasomi, ??? ukweli unamuuma anayejitoa ufahamu ni Bwana wa Makodi Kama vile alishirikiana na waandishi wa Biblia. Anatoa Kodi Kama vile Yesu alimuagiza hayo maneno yake ya uongo ,mara Tesi mara Tuhu huuuu uongo mtupu , inasikitisha na wewe unauamini huu uongo au mnavuta bangi pamoja ?Ila mwamba unajitoa ufahamu ameshakuambua ameku-ignore ila unaendelea kucoment haoni huu upupu unaocoment
Bro muachie Mungu amjaji na mda utaongeaUnafikiri hasomi, ??? ukweli unamuuma anayejitoa ufahamu ni Bwana wa Makodi Kama vile alishirikiana na waandishi wa Biblia. Anatoa Kodi Kama vile Yesu alimuagiza hayo maneno yake ya uongo ,mara Tesi mara Tuhu huuuu uongo mtupu , inasikitisha na wewe unauamini huu uongo au mnavuta bangi pamoja ?
Bangi mbaya kijana
Anachofanya kinaweza kawa ni uongo lakin kwanini unatamtuhumu kwa tuhuma za uongo kama amekufanyia kitu kibaya sana mara tapeli, mvuta bangi yaani una-muattack binafsi kama unamjua sio ustaarabu,Unafikiri hasomi, ??? ukweli unamuuma anayejitoa ufahamu ni Bwana wa Makodi Kama vile alishirikiana na waandishi wa Biblia. Anatoa Kodi Kama vile Yesu alimuagiza hayo maneno yake ya uongo ,mara Tesi mara Tuhu huuuu uongo mtupu , inasikitisha na wewe unauamini huu uongo au mnavuta bangi pamoja ?
Bangi mbaya kijana
Bro muachie Mungu amjaji na mda utaongea
Mbona kama jambo analofanya linakuumiza sana
unashida mahali
Mihata kama anachofanya ni uongo siwezi umia sababu sinampango wa kutumia na hakuna baya alilonifanyia kwanini nichukie anachofanya
Unachofanya ni personal attack alafu hata humjui kitu ambacho sio tunda la rohoni bali ni uwivu na chuki ndo vinakusumbua
Usiattack personality yake kwa tuhuma za uongo ambazo wewe umeshindwa kuthibitisha hata moja hiyo ni chuki unarushiwa kupinga ila jikite kwenye content anayopost huku na sio personality yakeKwani nimesema mimi nam jaji ?? kwa nini mtu aeleze uongo tumezee tutamwanika tu
Biblia ni moja ila kuna madhehebu zaidi ya elfu moja kwenye ukristo na yanazidi kuongezeka ulishajiulizaga hili swali na kila dhehebu linaamini ni bora kuliko mengine na mengine yanawaponda wengine wamepotoka jibu ni kwamba biblia ni moja ila kila mtu anaelewa kivyake na hii ni moja ya utukufu wa MunguKwani nimesema mimi nam jaji ?? kwa nini mtu aeleze uongo tumezee tutamwanika tu
Biblia ni moja ila kuna madhehebu zaidi ya elfu moja kwenye ukristo na yanazidi kuongezeka ulishajiulizaga hili swali na kila dhehebu linaamini ni bora kuliko mengine na mengine yanawaponda wengine wamepotoka jibu ni kwamba biblia ni moja ila kila mtu anaelewa kivyake na hii ni moja ya utukufu wa Mungu
Huna unachoanika zaidi ya kumtukana binafsi na kudhalilisha utu wake
Kama sio moja kwanini una-muattack personality mleta uzi je kama anatumia biblia yakeBiblia Si moja yaani unaniambia Queen James na King James version na Satanic Bible zote ni sawa??
Kama sio moja kwanini una-muattack personality mleta uzi je kama anatumia biblia yake
Swala sio kuongea na mimi mkuuMIMI NAONGEA NA WEWE
aliyesema biblia zote ni sawa na hujajibu swali jee unakubali biblia za Queen james Version , King James version , Satanic Bible zote ni sawa
anza kujibu hilo swali please
Biblia umesema ni tofauti alafu unamtukana mleta uzi hapo kichwani kwako kuna shida sana
Siwezi jibu ujinga tunabishana kwa sababu ya uzi wa mtu mwingine ndo sababu ya sisi kubishanaNdio umejibu swali ???
Aliyesema biblia zote ni sawa ni wewe , na hujajibu swali,
jee unakubali biblia za Queen james Version , King James version , Satanic Bible zote ni sawa ???
Anza kujibu hilo swali please
Siwezi jibu ujinga tunabishana kwa sababu ya uzi wa mtu mwingine ndo sababu ya sisi kubishana
We endelea kumtukana mleta uzi kwa kumuita mwizi, tapeli na mvuta bangi
Mtu yeyote akisoma hizi coversation kati yangu na wewe anaona kabisa tatizo liko kwako
| AV (King James) | New International | New American Standard | New World Translation | |
| Hos 11:12 | …but Judah yet ruleth with God, and is faithful with the saints. | Judah is unruly against God, even against the faithful Holy One. | Judah is also unruly against God, even against the Holy One who is faithful. | Judah is yet roaming with God, and with the Most Holy One he is trustworthy. |
| Mt 9:13 | for I am not come to call the righteous, but sinners to repentance. | For I have not come to call the righteous, but sinners. | For I did not come to call the righteous, but sinners. | For I came to call, not righteous people, but sinners. |
Mt 18:11 | For the Son of man is come to save that which was lost. | OMITTED | footnote casts doubt | OMITTED |
| Mt 19:17 | Why callest thou me good? | "Why do you ask me about what is good?" | "Why are you asking me about what is good?" | "Wny do you ask me about what is good?" |
| Mt 25:13 | Ye know neither the day nor the hour wherein the Son of man cometh. | You do not know the day or the hour. | You do not know the day nor the hour. | You know neither the day nor the hour, |
| Mk 10:24 | …how hard it is for them that trust in riches to enter into the kingdom of God! | …how hard it is to enter the kingdom of God! | …how hard it is to enter the kingdom of God! | …how difficult a thing it is to enter into the kingdom of God! |
| Lk 2:33 | And Joseph and his mother,,, | The child's father and mother… | His father and mother… | its father and mother… |
| Lk 4:4 | Man shall not live by bread alone, but by every word of God. | Man does not live on bread alone. | Man shall not live on bread alone. | Man must not live by bread alone. |
Lh 4:8 | Get thee behind me, Satan. | OMITTED | OMITTED | OMITTED |
| Jn 6:47 | He that believeth on me hath everlasting life. | He who believes has everlasting life. | He who believes has eternal life. | He that believes has everlasting life. |
Jn 8:9 | And when they heard it, being convicted by their own conscience, went out… | …those who heard began to go away… | …when they heard it, they began to go out one by one… | OMITTED |
| Jn 9:4 | I must work the works of him that sent me. | We must do the work of him who sent me. | We must work the works of Him who sent Me. | We must work the works of him that sent me. |
| Jn 10:30 | I and my Father are one | I and the Father are one. | I and the Father are one. | I and the Father are one. |
| Ac 2:30 | that of the fruit of his loins, according to the flesh, he would raise up Christ to sit on his throne; | …he would place one of his descendants on his throne. | …to seat one of his descendants upon his throne. | …he would seat one from the fruitage of his loins upon his throne. |
Ac 8:37 | If thou believest with all thine heart, thou mayest. And he answered and said, I believe that Jesus Christ is the Son of God. | OMITTED | footnote casts doubt (some editions just omit it) | OMITTED |
Ac 23:9 | Let us not fight against God. | OMITTED | OMITTED | OMITTED |
Rom 13:9 | Thou shalt not bear false witness. | OMITTED | OMITTED | OMITTED |
| Co 1:14 | In whom we have redemption through his blood, even the forgiveness of sins. | In whom we have redemption, the forgiveness of sins. | In whom we have redemption, the forgiveness of sins. | By means of whom we have our release by ransom, the forgiveness of our sins. |
| 1Ti 3:16 | God was manifest in the flesh. | He appeared in a body. | He who was revealed in the flesh. | He was made manifest in the flesh. |
| 1Ti 6:5 | Perverse disputings of men of corrupt minds, and destitute of the truth, supposing that gain is godliness: from such withdraw thyself. | "from such withdraw thyself" is omitted | "from such withdraw thyself" is omitted | "from such withdraw thyself" is omitted |
| 1Pe 1:22 | Ye have purified your souls in obeying the truth through the Spirit… | you have purified yourselves by obeying the truth… | Since you have in obedience to the truth purified your souls… | Now that you have purified your souls by your obedience to the truth… |
| 1Jo 4:3 | And every spirit that confesseth not that Jesus Christ is come in the flesh is not of God. | But every spirit that does not acknowledge Jesus is not from God. | And every spirit that does not confess Jesus is not from God. | But every inspired expression that does not confess Jesus does not originate with God. |
| Re 5:14 | Four and twenty elders fell down and worshipped him that liveth for ever and ever. | …the elders fell down and worshipped. | …the elders fell down and worshipped. | …the elders fell down and worshipped. |
| Re 20:9 | Fire came down from God out of heaven… | Fire came down from heaven… | Fire came down from heaven… | Fire came down out of heaven… |
| Re 21:24 | And the nations of them which are saved shall walk in the light of it. | The nations will walk by its light. | And the nations shall walk by its light. | And the nations will walk by means of its light. |
Kwani neno lako ni sheria mpaka tuliamini we jamaa ni mjinga sanaNajuwa huwezi kujibu unaogopa aibu , maana unajuwa hizo biblia si sawa
Hata hizi unazodanganyia kwa kuleta upuuzi wa kodi nazo haziko sawa ziko tofauti
All versions are not saying the same thing!
This chart is by no means complete.
Most Christians recognize the New World Translation (NWT - Jehovah'sWitness Bible) for the corrupt work it is. What most Christians don't recognize isthe same corruption in their own "Christian" bibles!
AV (King James) New International New American Standard New World Translation Hos 11:12 …but Judah yet ruleth with God, and is faithful with the saints. Judah is unruly against God, even against the faithful Holy One. Judah is also unruly against God, even against the Holy One who is faithful. Judah is yet roaming with God, and with the Most Holy One he is trustworthy. Mt 9:13 for I am not come to call the righteous, but sinners to repentance. For I have not come to call the righteous, but sinners. For I did not come to call the righteous, but sinners. For I came to call, not righteous people, but sinners. Mt 18:11 For the Son of man is come to save that which was lost. OMITTED footnote casts doubt OMITTEDMt 19:17 Why callest thou me good? "Why do you ask me about what is good?" "Why are you asking me about what is good?" "Wny do you ask me about what is good?" Mt 25:13 Ye know neither the day nor the hour wherein the Son of man cometh. You do not know the day or the hour. You do not know the day nor the hour. You know neither the day nor the hour, Mk 10:24 …how hard it is for them that trust in riches to enter into the kingdom of God! …how hard it is to enter the kingdom of God! …how hard it is to enter the kingdom of God! …how difficult a thing it is to enter into the kingdom of God! Lk 2:33 And Joseph and his mother,,, The child's father and mother… His father and mother… its father and mother… Lk 4:4 Man shall not live by bread alone, but by every word of God. Man does not live on bread alone. Man shall not live on bread alone. Man must not live by bread alone. Lh 4:8 Get thee behind me, Satan. OMITTED OMITTED OMITTEDJn 6:47 He that believeth on me hath everlasting life. He who believes has everlasting life. He who believes has eternal life. He that believes has everlasting life. Jn 8:9 And when they heard it, being convicted by their own conscience, went out… …those who heard began to go away… …when they heard it, they began to go out one by one… OMITTEDJn 9:4 I must work the works of him that sent me. We must do the work of him who sent me. We must work the works of Him who sent Me. We must work the works of him that sent me. Jn 10:30 I and my Father are one I and the Father are one. I and the Father are one. I and the Father are one. Ac 2:30 that of the fruit of his loins, according to the flesh, he would raise up Christ to sit on his throne; …he would place one of his descendants on his throne. …to seat one of his descendants upon his throne. …he would seat one from the fruitage of his loins upon his throne. Ac 8:37 If thou believest with all thine heart, thou mayest. And he answered and said, I believe that Jesus Christ is the Son of God. OMITTED footnote casts doubt (some editions just omit it) OMITTED Ac 23:9 Let us not fight against God. OMITTED OMITTED OMITTED Rom 13:9 Thou shalt not bear false witness. OMITTED OMITTED OMITTEDCo 1:14 In whom we have redemption through his blood, even the forgiveness of sins. In whom we have redemption, the forgiveness of sins. In whom we have redemption, the forgiveness of sins. By means of whom we have our release by ransom, the forgiveness of our sins. 1Ti 3:16 God was manifest in the flesh. He appeared in a body. He who was revealed in the flesh. He was made manifest in the flesh. 1Ti 6:5 Perverse disputings of men of corrupt minds, and destitute of the truth, supposing that gain is godliness: from such withdraw thyself. "from such withdraw thyself" is omitted "from such withdraw thyself" is omitted "from such withdraw thyself" is omitted 1Pe 1:22 Ye have purified your souls in obeying the truth through the Spirit… you have purified yourselves by obeying the truth… Since you have in obedience to the truth purified your souls… Now that you have purified your souls by your obedience to the truth… 1Jo 4:3 And every spirit that confesseth not that Jesus Christ is come in the flesh is not of God. But every spirit that does not acknowledge Jesus is not from God. And every spirit that does not confess Jesus is not from God. But every inspired expression that does not confess Jesus does not originate with God. Re 5:14 Four and twenty elders fell down and worshipped him that liveth for ever and ever. …the elders fell down and worshipped. …the elders fell down and worshipped. …the elders fell down and worshipped. Re 20:9 Fire came down from God out of heaven… Fire came down from heaven… Fire came down from heaven… Fire came down out of heaven… Re 21:24 And the nations of them which are saved shall walk in the light of it. The nations will walk by its light. And the nations shall walk by its light. And the nations will walk by means of its light.
Kwani neno lako ni sheria mpaka tuliamini we jamaa ni mjinga sana
Umezaliwa umeikuta biblia na utakufa utaiacha huna hatimiliki nayo na huwez pangia watu watumie watumie kama unavyotaka wewe
Point yangu biblia kila mtu anatumia anavyojua huwezi wapangia jinsi ya kutumiaKwani wapi nimetia neno langu kwenye biblia ? Mbona unachanganyikiwa au Kodi zako zinakuchanganya😝😝😝