Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #481
### tafsiri ya wewe kungatwa na nyoka ndotoni ###
Bible code number 18:- MENE MENE TEKELI MENE
Kazi yake;- kujua tafsiri ya ndoto ya wewe kung'atwa na nyoka
(Hesabu 21:6-9, Yeremia 8:17)
UNATUMIAJE
Bible code number 18:- MENE MENE TEKELI MENE
Kazi yake;- kujua tafsiri ya ndoto ya wewe kung'atwa na nyoka
(Hesabu 21:6-9, Yeremia 8:17)
UNATUMIAJE
- Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri kwenye fikra zako
- Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri kwenye fikra zako