Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Ninachojua kila mtu ana karama yake...
Mwingine ktk Imani, mwingine kutafsiri lugha, mwingine mwombaji, Nabii nk...
Sasa hapa vita vinaanza kwa waliopewa karama maana kuna waliopewa zaidi...
Ndo maana watumishi wa Mungu wanapingana...
Roho Mtakatifu humpa karama yeye yule amtakaye ..
Usimpinge mtumishi ila muombee Roho Mtakatifu akujulishe kuzipima Roho...
Kujua Roho anayotumia ni ya Mungu?