Natumia Biblia kutatua changamoto

Natumia Biblia kutatua changamoto

Ninachojua kila mtu ana karama yake...

Mwingine ktk Imani, mwingine kutafsiri lugha, mwingine mwombaji, Nabii nk...

Sasa hapa vita vinaanza kwa waliopewa karama maana kuna waliopewa zaidi...

Ndo maana watumishi wa Mungu wanapingana...

Roho Mtakatifu humpa karama yeye yule amtakaye ..

Usimpinge mtumishi ila muombee Roho Mtakatifu akujulishe kuzipima Roho...

Kujua Roho anayotumia ni ya Mungu?
 
Hakuna ruhusa popote kutumia zaidi ya Jina la YESU.

Na lugha za Mbinguni hazifundishwi darasani au kukaririshwa.

Makinika.
 
Kutafsiri lugha ni karama...

Lugha iliyozungumzwa kibiblia ni ipi na nani anatafsiri?

Ninachoona hapa kwake kwamba huyu ni Mtafsiri wa Lugha...

Ndio karama yake ...
 
Ubarikiwe Sana Mtumishi hili ni wazo bora Sana maana watu wengi tunapitia Magumu Sana ila tatizo lipo kiroho ikiwa utafanya Huduma yako kiroho Mungu atakufungulia zaidi ya hapo.
Ni kweli kuna urasimu mkubwa sana kwenye makanisa yetu haya
Mtu ana-shida akienda pale mara aambiwe unaudhuriaga jumuiya au unatoa sadaka urasimu umekua ni mwingi

Kuna kundi kubwa sana la watu wanakufa na tai zao shingoni sababu makanisa mengi yamekua na urasimu mkubwa sana

Mengine kumuona padre au mchungaji ni shuhuli nzito
 
Ufahamu wako wa biblia ni mdogo sana
Jina la yesu liliachiliwa na damu ya Yesu na linatufanya tusitegemee damu za mahafali kwenye kufanya upatanisho
Haina maana kwamba verse nyingine 31,102 za bible hazina maana zina ujumbe
Jina la Yesu ni Jina lipitalo majina yote na ndio ufunguo wa mambo yote. Yesu asema: Mimi Ndimi Njia, Ukweli na Uzima…

Ukitaka kufungua vifungo vyovyote maishani liitie Jina la Yesu!
 
Bible code number 17:- MENE TEKELI MENE MENE
Kazi yake;- kujua tafsiri ya ndoto ya wewe kukimbizwa na nyoka
(Ufunuo 12:13-16)​
  • Nyoka mkubwa
  • Nyoka mdogo
  • Nyoka wa rangi yeyote
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri na ujumbe
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri na ujumbe
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 18:- MENE MENE TEKELI MENE
Kazi yake;- kujua tafsiri ya ndoto ya wewe kung'atwa na nyoka
(Hesabu 21:6-9, Yeremia 8:17)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri kwenye fikra zako
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri kwenye fikra zako
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 19:- MENE MENE MENE TEKELI
Kazi yake;- kukupa tafsiri ya wewe kuota uko na nyoka ndani ya nyumba
(Ufunuo 12:12)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri kwenye fikra zako
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri kwenye fikra zako
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 20:- TEKELI MENE MENE MENE
Kazi yake;- kukupa tafsiri ya ndoto kwanini umelala na nyoka
(Matendo ya mitume 28:3)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri kwenye fikra zako
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri kwenye fikra zako
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Alafu unavyosema mimi ni tapeli ebu nionyeshe sehemu niliyokutapeli huwezi tu mtuhumu tu hajakufanyia ubaya ni tanzania tu utakutana na hii hali

Mimi natumia biblia kutatua changamoto wala sio aibu au kuogopa chochote sababu hakuna baya nalofanaya
ebu itumie biblia kutatua changamoto ya simba kuifunga al ahly kesho
 
Back
Top Bottom