Toa ZAKA kamili, utapata pesa.Vipi kuhusu code za kuondoa roho za umasikini na ufukura.Maana kuna watu pamoja na kufanya kazi kwa bidii lakini mambo bado hayafunguki.
Hakuna ruhusa popote kutumia zaidi ya Jina la YESU.Ninachojua kila mtu ana karama yake...
Mwingine ktk Imani, mwingine kutafsiri lugha, mwingine mwombaji, Nabii nk...
Sasa hapa vita vinaanza kwa waliopewa karama maana kuna waliopewa zaidi...
Ndo maana watumishi wa Mungu wanapingana...
Roho Mtakatifu humpa karama yeye yule amtakaye ..
Usimpinge mtumishi ila muombee Roho Mtakatifu akujulishe kuzipima Roho...
Kujua Roho anayotumia ni ya Mungu?
Kutafsiri lugha ni karama...Hakuna ruhusa popote kutumia zaidi ya Jina la YESU.
Na lugha za Mbinguni hazifundishwi darasani au kukaririshwa.
Makinika.
Ni kweli kuna urasimu mkubwa sana kwenye makanisa yetu hayaUbarikiwe Sana Mtumishi hili ni wazo bora Sana maana watu wengi tunapitia Magumu Sana ila tatizo lipo kiroho ikiwa utafanya Huduma yako kiroho Mungu atakufungulia zaidi ya hapo.
Unabii unapimwa kupitia BIBLIA Si vinginevyo.Kutafsiri lugha ni karama...
Lugha iliyozungumzwa kibiblia ni ipi na nani anatafsiri?
Ninachoona hapa kwake kwamba huyu ni Mtafsiri wa Lugha...
Ndio karama yake ...
Biblia ina karama nyingi sana sio unabii tuUnabii unapimwa kupitia BIBLIA Si vinginevyo.
Waliobuni na kuingia matumizi ya kusali Kwa kutumia rozali walianza hivi hivi.
Mbona jazba mkuu🤣🤣Na wewe unganisha kama ni rahisi
Alafu mimi sina hata jengo linaloitwa kanisa
Jina la Yesu ni Jina lipitalo majina yote na ndio ufunguo wa mambo yote. Yesu asema: Mimi Ndimi Njia, Ukweli na Uzima…Ufahamu wako wa biblia ni mdogo sana
Jina la yesu liliachiliwa na damu ya Yesu na linatufanya tusitegemee damu za mahafali kwenye kufanya upatanisho
Haina maana kwamba verse nyingine 31,102 za bible hazina maana zina ujumbe
Asante sana mkuu,naendelea kusubiri na kukufuatiliaNtaziweka huku na ntaku-tag
ebu itumie biblia kutatua changamoto ya simba kuifunga al ahly keshoAlafu unavyosema mimi ni tapeli ebu nionyeshe sehemu niliyokutapeli huwezi tu mtuhumu tu hajakufanyia ubaya ni tanzania tu utakutana na hii hali
Mimi natumia biblia kutatua changamoto wala sio aibu au kuogopa chochote sababu hakuna baya nalofanaya