Natumia Biblia kutatua changamoto

Natumia Biblia kutatua changamoto

Bible code number 34:- MENE MENE SENE TEKELI
Kazi yake:- kulinda mali unazomiliki dhidi ya adui zako
(Mhubiri 10:8)
  • Nyumba
  • Gari na Magari
  • Biashara
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 36:- PERESI TEKELI PERESI TEKELI
Kazi yake;-Kuondoa roho ya mauti (suicide) inayosumbua eneo au mji flani
(2 Samweli 24:16-25)​
  • Kuondoa ujasiri wa watu kujiua kwa sababu yeyote katika jamii-husika
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka hayo mawazo na roho ya mauti itakapoondoka
(Majina yako matatu-unatakiwa utamke mara tatu tu kwa siku)unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumuombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka hayo mawazo na roho yatakapoondoka kwa huyo mtu
(Majina matatu unayemuombea-unatakiwa utamke mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Nchi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka roho ya mauti itakapoondoka kwenye eneo husika
(Jina la mahali-unatakiwa utamke mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 37:- TEKELI PERESI TEKELI PERESI
Kazi yake;- Kupambana na tatizo la watumiaji wa madawa ya kulevya na walevi chakari
(Mithali 7:25-27)​
  • Kuondoa kiu ya kutumia madawa ya kulevya baada ya kushindwa kuiondoa kwa njia za hospitalini
  • Waliojaribu kuacha ulevi na wameshindwa
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka tatizo la madawa ya kulevya litakapoondoka
(Majina yako matatu-unatakiwa utamke mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka atakapoacha kutumia madawa ya kulevya
(Majina yake matatu-unatakiwa utamke mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kuombea nchi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka litakapoondoka kwenye nchi au eneo
(Jina la eneo-unatakiwa utamke mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Naomba kuuliza mtumishi wa Mungu.
1.Ili kupata matokeo ktk kipengere husika natakiwa nilifanye zoezi hili kwa siku ngapi?
(a)je ni lazima iwe kwa mfululizo?
2.Je naruhusiwa kuchanganya vipengere tofauti tofauti kwa siku?
Natanguliza shukrani
Maswali yangu haya hujayajibu mtumishi
 
Bible code;- TEKE TEKE TEKELI PERESI
Kupata mbinu za kifikra (akili) za kupata kipato cha kila siku (Mathayo 6;9-13)
UNATUMIAJE

  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo kimoyo mda wowote ule unaweza acha mzigo ukiondoka au mpaka utakapoona mabadiliko
(Jina lako)(unatamka bible code)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code
(Jina la unayemuombea) (unatamka bible code)
Tekeli Peresi is a phrase that has its roots in the Bible, specifically in the Book of Daniel. It is written on a wall during the famous biblical story of the writing on the wall.

In the story, King Belshazzar of Babylon is hosting a great feast and using the sacred vessels from the temple in Jerusalem. Suddenly, a hand appears and begins writing on the wall of the palace. No one at the feast can understand the writing, and so the king calls for Daniel, a wise man, to interpret it.

When Daniel arrives, he reads the words "Mene, Mene, Tekel, Upharsin" which interpreted to mean "Numbered, Numbered, Weighed, Divided". Daniel then explains to the king that this writing is a message from God, foretelling the fall of the Babylonian Empire and the rise of the Medes and Persians.

"Tekeli Peresi" is the translation of the word "Tekel" in the story, which means "weighed." It is often used in contemporary context to convey the idea that someone's wrongdoing or actions have been examined or evaluated and judgment is imminent.
 
Bible code number 60:- MENE TENE MENE TENE
Kazi yake;- Kukupa idea mpya kwenye biashara yako na kuwa mbunifu kazini kwenye nyakati nzuri za uchumi na siasa
(Malaki 3:10-13)​
  • Kupata fikra za kibunifu kwenye biashara yako
  • Kupata fikra za kibunifu kwenye kazi uliyoajiriwa
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka idea mpya itakapokuja
(Majina yako matatu-unatakiwa utamke mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka idea mpya itakapokuja
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatakiwa utamke mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 66:- TEKELI TEKELI TEKELI TENE
Kazi yake;- Kuondoa tatizo la umaskini unaoutesa familia yako kwa Mungu kufanya ujue majira ya kujiliwa kwa familia yako.
(Luka 19:41-44, Mhubiri 9:11 )​
UNATUMIAJE
  1. Famili/ukoo-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapojua majira ya kujiliwa ya familia
(Jina la familia-unatakiwa utamke mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Hizo ni mantra zinafungua chakra mbalimbali , umeziunganisha tu na vifungu vya biblia ili ilete tu maana katika dini yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tueleze ni mantra kutoka wapi? Na umewahi kukutana nazo wapi?
Zimetengenezwa na adept guru au monk yupi?
 
Back
Top Bottom