Natumia Biblia kutatua changamoto

Natumia Biblia kutatua changamoto

UTANGULIZI
Daniel 5:25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Ukisoma huu mstari utaona ni mara moja kwenye biblia yote Mungu ametumia mfano wa code kufikisha ujumbe, japokua anaweza tumia njia nyingine sababu anazo nyingi kufikisha ujumbe. Mimi binafsi natumia bible code kuwa agano kwa watu na nuru ya mataifa; kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa.

SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE ASILIMIA 100 (DIGITAL) NA LENGO NI KUFIKIA WATU WENGI KIURAHISI
  • Kama kichwa cha habari kinavyosema sina kanisa na sina mpango wa kufungua kanisa ni asilimia 100 online
  • WhatsApp only 0713520180 ni kwa maelezo zaidi ya code nazozitoa kama una-maswali binafsi
  • Hii ni ibada ya sirini nikimaanisha kama ni mkristo dhehebu la roma unabaki huko, same kwa lutheran, wasabato, na hata kama ni muislamu unatumia code ukiendelea kubaki kuwa muislamu
AINA ZA CODE NTAKAZOZITOA
  1. Zinazohusiana na binadamu
  2. Zinazohusiana na viumbe tofauti na binadamu
  3. Zinahusiana na kutumia nguvu za Mungu (Yahweh) kupambana na ufalme wa giza kujua aina za shetani. Shetan aliyehasi ni mmoja ila baada ya kutupwa nje ya mbinguni walifaraka na kutokea mashetani wengi na falme zao na wenyewe kwa wenyewe wanapigana vita mpaka sahivi
  4. Zinahusiana na science
  5. Zinazohusiana na universe kwa ujumla maisha kabla ya uharibifu
MAMBO YA KUZINGATIA
  • Usifanye masihara na hiki nachofanya sikutishii ila kama unaona hakina msaada kwako achana nacho sababu una-haki hiyo ila usifanyie masihara na mizaha na hizi code
  • Kama huna iman juu ya hizi code ni ngumu sana kufanya kazi
  • Code zinatolewa bure hulipii gharama yeyote ntakua nazituma huku kwenye huu uzi na matumizi yake
  • Nia yako moyoni mwako ndo itakayoamua either code ifanye kazi au la nikimaanisha kama una nia ovu kama kisasi, kuwa kikwazo kwa wengine, kuwakera wengine, n.k hazifanyi kazi ili ifanye kazi inatakiwa uwe mnyenyekevu
  • Code hazina ishara yeyote ile sababu zimejikita kwenye ulimwengu wa roho na zinafanya kazi kimya kimya na ni mara chache sana zina miujiza
  • Code inachukua mda kufanya kazi means inafanya kazi pole pole ni kwa mda gani exactly mapenzi ya Mungu ndo yatakayoamua na ni mara chache sana inafanya kazi mara moja (instantly)
  • Kwenye suala zima la kipato inakupa unachostahili kama ni utajiri itakupa utajiri ila huwezi lazimisha kupata utajiri
  • Inabadilisha sheria za ulimwengu wa roho
  • Hakikisha unafanya kazi hizo code zisiwe tiketi ya wewe kusubiria miujiza
  • Code mda mwingine inaweza isiondoe tatizo linalokukabili ila ikalisitiri (kulifanya kuwa irrelevant) lisiwe ni kikwazo kwako lakin litaendelea kuwepo
Karibuni katika utukufu wa Mungu

"Don’t stop praying because you don’t see results immediately"

Unaongelea biblia ipi ?

Usisahau kushare hizi code na jirani yako ni bure gharama yake ni imani tu

"Don’t stop praying because you don’t see results immediately"
Urefu wa kamba
 
Sifanyi hiki kwa shinikizo lako au kukuprove au kufanya unachotaka wewe Sileti naamin umenielewa

Katika utangulizi wa toleo la Biblia linalotumika sana, la Revised Standard Version, mtunzi ameandika yafuatayo:

"Biblia ya Revised Standard Version, ni marekebisho yaliyoidhinishwa ya toleo la American Standard Version, lilochapwa
1901, na ambalo nalo pia lilikuwa ni marekebisho ya toleo la King James Version, lilochapwa 1611…

Toleo la King James Version lililazimika kushindana na Biblia ya Geneva Bible (1560) juu ya kutumiwa na watu wengi; lakini hatimaye lilienea, na kwa zaidi ya karne mbili na nusu hakuna tafsiri ya Biblia kwa Kingereza iliyoandikwa na kuidhinishwa.

Toleo la King James Version likawa ndilo "toleo lililoidhinishwa" kwa wanaoongea Kingereza…

Ndio, Toleo la King James Version lina dosari kubwa mno.

Kufikia katikati ya karne ya kumi na tisa, maendeleo ya tafiti za Kibiblia vilevile kugunduliwa kwa miswada mingi ambayo ni ya kale zaidi kuliko ile iliyotegemewa na Toleo la King James Version, yamefanya toleo hilo kuwa ni wazi kuwa lina dosari nyingi na mbaya mno na kusababisha kuitishwa kufanyika marekebisho ya tafsiri ya kingereza.

Kazi ikafanywa, kwa idhini ya Kanisa la Uingereza, mwaka 1870.

Toleo la Biblia la English Revised Version lilichapwa mwaka 1881 – 1885; na Toleo la American Standard Version, lahaja zake zimejiingiza katika upendeleo wa wanazuoni wa Kimarekani walioshiriki katika kazi hiyo, nalo lilichapishwa mwaka 1901."

Toleo la King James Version la Agano Jipya liliegemea matini za kigiriki zilizovurugwa kimakosa, ikiwemo kujilimbikizia makosa ya karne ya kumi na nne ya kunukuu miswada.

Nalo kimsingi, lilikuwa ni matini ya Kigiriki ya Agano Jipya kama lilivyoandikwa na Beza, 1589, ambaye kwa ukaribu zaidi alifuata chapa hiyo ya Erasmus, 1516 – 1535, iliyoegemea juu ya miswada ya zama za kati.

Mswada wa kwanza na ulio bora zaidi miongoni mwa miswada minane aliyoishirikisha ulikuwa ni wa karne ya kumi, naye akautumia kidogo mno mswada huo kwa sababu unatofautiana sana na matini za kawaida zilizopokelewa;

Beza alipata miswada miwili ya thamani kubwa mno, ikiwa ni ya karne ya tano na ya sita, lakini aliitumia kidogo mno kwa sababu inatofautiana na matini iliyochapwa ya Erasmus."

"… Toleo la American Standard Version lilipewa haki miliki ya kuzuia matini yake isibadilishwe bila idhini. Mnamo 1928 haki hiyo ilipatikana kutoka katika Baraza la Kimataifa la Elimu na Dini, na kwa hiyo likawekwa katika umiliki wa makanisa ya Marekani na Canada yaliyoshiriki katika baraza hilo kwa kupitia bodi zao za elimu na uchapaji.

Baraza hilo liliainisha kamati ya wasomi kusimamia matini ya ya Toleo la American Standard Version na kufanya uchunguzi na kujua kama marekebisho zaidi yanahitajika… [Baada ya miaka miwili] uamuzi ulifikiwa; nao ni kuwa; kunahitaji marekebisho kikamilifu katika toleo la 1901, ambalo litabakia kuwa lipo karibu na mapokeo ya Tyndale-King James kama itakavyokuwa… Mnamo 1937 na marekebisho yalipewa idhini kwa kura ya Baraza hilo."

"Wasomi therathini na wawili walitumika kama wanakamati wa kamati iliyotakiwa kufanya marekebisho hayo, nao waliyalinda mabadiliko na kuishauri Bodi ya Ushauri ya wawakilishi hamsini wa madhehebu ili kushirikiana kufanya kazi hiyo… Toleo la Agano Jipya la Revised Standard Version lilichapwa mwaka 1946."

Toleo la Biblia la Revised Standard Version, linajumuisha Agano la Kale na Jipya, nalo lilichapwa mnamo Septemba 30, 1952, na likakubalika sana."

Katika Toleo la Biblia la Revised Standard Version, idadi kubwa ya mistari muhimu kutoka katika Toleo la King James Version ya Agano la Kale na Jipya, ambayo wasomi waliiona kuwa imeongezwa katika karne za baadaye, iliondoshwa kutoka katika matini na kuwekwa katika tanbihi.

Kwa mfano, kifungu maarufu sana katika Injili ya Yohana 8:7 kinachohusu mzinzi aliyetakiwa kupigwa mawe.

Inasemakana Yesu amesema: "Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe."

Tanbihi za Toleo la King Jemes (1952) zinaeleza "Mamlaka za kale mno zinaondosha aya za 7:53 – 8:11"

Kwa kuwa mswada namba 1209 wa Vatikani na mswada wa Sinaitic ya tangu karne ya nne haina aya kumi na mbili hizo, wasomi wa Biblia wamefikia uamuzi wa kuwa maneno hayo hayatoki kwa Yesu.

Mfano mwingine ni kifungu kinachohusishwa na Yesu na kinachotumika kama ushahidi wa rejeo la Utatu katika Maandiko matakatifu.

Katika 1 Yohana 5:7, Inasemakana Yesu amesema: "Kuna watatu wanaoshuhudia huko mbinguni, Baba, Neno na Roho Mtakatifu: na watatu hawa ni mmoja"

Msomi maarufu sana wa Biblia, Benjamin Wilson, anaandika kuwa; maandiko haya yanayohusu "ushahidi wa mbinguni" hayamo katika mswada wowote wa Kigiriki ulioandikwa kabla ya karne ya kumi na tano!

Kwa hiyo, katika Toleo la Biblia la Revised Standard Version, mstari huu umefutwa na kutolewa katika matini tena bila ya kuwekewa tanbihi.

Hata hivyo, ili kuwe na idadi ya mistari iliyosawa baina ya Toleo la Biblia la Revised Standard Version, na ile ya Toleo la Biblia la King James Version, warejeaji wameugawa mstari wa sita na kuwa mistari miwili
 
Sifanyi hiki kwa shinikizo lako au kukuprove au kufanya unachotaka wewe Sileti naamin umenielewa

Toleo la pili la tafsiri ya Agano Jipya (1971) limefaidika kwa tafiti za matini na isimu tangu lilipotolewa toleo la The Rivised Standard Version, kwanza lilitolewa mwaka 1946.

Kwa hiyo, baadhi ya vifungu vilivyofutwa zamani viliandikwa upya, na baadhi ya vifungu vilivyokubaliwa vilifutwa.

"Vifungu viwili, vya mwisho mrefu wa Marko (16:9-20) na kifungu cha mwanamke aliyekamatwa kwa uzinzi (Yohana 7:53 – 8:11), vilirejeshwa katika matini, zikitenganishwa kwa nafasi wazi na zikiambatana na nukuu za kauli taarifa…

Kukiwa na kuungwa mkono na miswada miwili, vifungu viwili, Luka 22:19b-20 na 24:51b, vilirejeshwa katika matini, na kifungu kimoja, Luka 22:43-44, kiliwekwa katika tanbihi, kama ni ibara katika Luka 12:39.

Utunzi

Kwa mujibu wa wasomi wa Biblia, hata utunzi wa vitabu vya Agano la Kale na Injili zenyewe una mashaka.
Torati

Vitabu vitano vya kwanza katika Biblia (Vitabu vya Musa) kimapokeo vinahusishwa na Mtume Musa, hata hivyo, kuna mistari mingi ndani ya vitabu hivi inayoashiria kuwa Mtume Musa hana uwezekano wa kuandika kila kitu kilichomo katika vitabu hivyo.

Kwa mfano, Kumbukumbu la Torati 34:5-8 inasema: "Basi Musa, mtumishi wa BWANA, akafa huko, katika nchi ya Moabu, kwa neno la BWANA. Akamzika bondeni, katika nchi ya Moabu, kukabili Beth-peroi; lakini hapana mtu ajuaye kaburi lake hata leo. Musa alikuwa mtu wa miaka mia na ishirini alipokufa; jicho lake halikupofuka, wala nguvu zake hazikupunguka. Wana wa Israeli wakamwombolezea Musa katika uwanda wa Moabu siku therathini; basi siku za maombolezo ya matanga ya Musa zikaisha."

Ni wazi kuwa mtu mwingine ameandika mistari hii inayohusu kifo cha Musa.

Baadhi ya wasomi wa Kikristo wamezifafanua hitilafu hizi kwa kupendekeza kuwa Musa ndiye aliyeandika vitabu vyake, lakini mitume ya baadaye pamoja na waandishi waliofunuliwa, wameweka nyongeza iliyotajwa hapo mbele.

Kwa hiyo, kwa mujibu wa wasomi hao, matini, kwa ukamilifu wake, inabakia kuwa ni Maandiko ya ufunuo wa Mungu.

Hata hivyo, ufafanuzi huu hauwezi kukubalika katika uchunguzi makini, kwa sababu mtindo na fasihi ya wahusika wa mistari iliyotomewa ni sawa sawa na ule wa matini iliyobakia.

Katika karne ya kumi na tisa, wasomi wa Biblia wa Kikristo wameanza kujadili maana ya “kujirudiarudia mara mbili mbili” kulikotokea katika Torati.

Hivi ni visa vilivyotokea mara mbili mbili, na kila mara kinakuwa na maelezo tofauti.

Miongoni mwa visa hivyo ni visa viwili vya agano la Mungu na Ibrahimu, linalohusu Mungu kubadilisha Jina la Yakobo na kuwa Israeli pia na kisa cha Musa kupata maji kutoka katika mwamba.

Watetezi wanaotetea utunzi wa Musa wamesema kuwa “kujirudiarudia mara mbili mbili” hakukuwa na kupingana, bali ni kuleta faida.

Dhamiara zao zilikuwa ni kutufundisha undani, na maana ndogo juu ya Torati.

Hata hivyo, madai haya yalifagiwa haraka haraka na wasomi walio na moyo wa uadilifu, walioona kuwa, sio tu baadhi ya vifungu vilikuwa vinapingana kwa uwazi kabisa, lakini pia wakati kule “kujirudiarudia mara mbili mbili” kulipotenganishwa na kuwa vifungu viwili, kila kifungu kwa uthabiti kilitumia jina la Mungu lilotofauti.

Siku zote mtu anaweza kumchukulia Mungu kuwa ni Yahweh au Jehovah, andiko hili liliitwa “J”. Na lingine, siku zote, linamchukulia Mungu kuwa ni Elohim, na liliitwa “

Kulikuwa na sifa za kifasihi zilizopatwa kuwa ni moja kwa waraka mmoja au mwingine.

Uchambuzi wa fasihi za kisasa, kwa mujibu wa Profesa Richard Friedman, unaashiria kuwa vile vitabu vitano vya Musa ni mchanganyiko wa Kiebrania wa kuanzia karne ya tisa, nane, saba na sita B.C. (Kabla ya kuzaliwa Kristo).

Kwa hiyo, Musa aliyeishi karne ya kumi na tatu B.C., alikuwa yu mbali mno na Kiebrania cha Biblia hata kuliko alivyokuwa mbali Shakespeare na Kingereza cha leo.

Utafiti zaidi juu ya vitabu vitano vya Musa umepelekea kugunduliwa kuwa vitabu hivyo havikuundwa kwa vyanzo viwili vikuu bali ni vine.

Imegunduliwa kuwa baadhi ya visa sio tu ni vya kujirudiarudia mara mbili mbili lakini pia ni mara tatu tatu.

Sifa za ziada za kuongezea zimetambuliwa katika nyaraka hizi. Chanzo cha tatu kiliitwa “P” (cha kuhani), na cha nne kinaitwa “D” (cha Kumbukumbu la Torati).

Upeo wa kujua ni kiasi gani kilichoongezwa waziwazi katika matini asilia ni vigumu sana kuamua. Kwa hiyo, kivuli kikuu cha mashaka kimegubika utunzi wa vitabu vyote kiujumla.

Katika kiambatisho cha toleo la Rivised Standard Version chenye anuani “Vitabu vya Biblia,” yafuatayo ndiyo yaliyoandikwa kuhusiana na mtunzi wa zaidi ya theruthi moja ya vitabu vilivyobakia katika Agan

Kitabu ------------------------------ Mtunzi

Waamuzi ---------------------- Huenda ni Samweli

Ruthu ----------------- Huenda ni Samweli

Samweli wa Kwanza ---------------- Hajulikani

Samweli wa Pili ---------------- Hajulikani

Wafalme wa Kwanza ---------------- Hajulikani

Wafalme wa Pili -------------------------- Hajulikani

Mambo ya Nyakati wa Kwanza -------------- Hajulikani

Esta --------------- Hajulikani

Ayubu --------------- Hajulikani

Mhubiri ---------------- Kuna mashaka

Yona ---------------------- Hajulikani

Malaki ----------------- Hakuna kinachojulikana
 
Bible code number 38:- PESI PESI TEKELI PESI
Kazi yake;- kutibu moyo uliopondeka
(Mithali 17:22)​
  • Waliobakwa
  • Waliosalitiwa
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka moyo utakapopona
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka moyo utakapopona
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 37:- TEKELI PERESI TEKELI PERESI
Kazi yake;- Kupambana na tatizo la watumiaji wa madawa ya kulevya
(Mithali 7:25-27)
  • Kuondoa kiu ya kutumia madawa ya kulevya baada ya kushindwa kuiondoa kwa njia za hospitalini
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka tatizo la madawa ya kulevya litakapoondoka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka atakapoacha kutumia madawa ya kulevya
(Majina yake matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kuombea nchi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jiran yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka litakapoondoka kwenye nchi au eneo
(Jina la eneo-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code;- PERESI PERESI TEKELI TEKELI
Kuondoa roho ya umalaya inayolisumbua eneo/mtaa flani
Maombelezo 1:8-10
  • Kuondoa ujasiri wa watu kufanya umalaya kwenye mtaa/eneo flani
UNATUMIAJE
  1. Unakua unatamka kimoyo kimoyo mda wowote ule unaweza acha mzigo ukiondoka au mpaka utakapoona mabadiliko
(Jina la mahali)(unatamka bible code)

Aya gani kwenye biblia imesema hiyo ni Kodi , usipakazie please
 
Bible code number 39:- MENE MENE MENE TESE
Kazi yake; Mungu kukuonyesha fulsa zitakazokupatia fedha ambazo watu wengine hawazioni kwenye nyakati ngumu
(Mwanzo 26:18-24)​
  • Kwenye biashara yako
  • Kwenye kazi yako ya kuajiriwa
UNATUMIAJE
  1. Unakua unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mda wowote ule mpaka utakapoona fulsa
(Aina ya biashara unayofanya/aina kazi unayofanya-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
UTANGULIZI
Daniel 5:25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Ukisoma huu mstari utaona ni mara moja kwenye biblia yote Mungu ametumia mfano wa code kufikisha ujumbe, japokua anaweza tumia njia nyingine sababu anazo nyingi kufikisha ujumbe. Mimi binafsi natumia bible code kuwa agano kwa watu na nuru ya mataifa; kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa.

SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE ASILIMIA 100 (DIGITAL) NA LENGO NI KUFIKIA WATU WENGI KIURAHISI
  • Kama kichwa cha habari kinavyosema sina kanisa na sina mpango wa kufungua kanisa ni asilimia 100 online
  • WhatsApp only 0713520180 ni kwa maelezo zaidi ya code nazozitoa kama una-maswali binafsi
  • Hii ni ibada ya sirini nikimaanisha kama ni mkristo dhehebu la roma unabaki huko, same kwa lutheran, wasabato, na hata kama ni muislamu unatumia code ukiendelea kubaki kuwa muislamu
AINA ZA CODE NTAKAZOZITOA
  1. Zinazohusiana na binadamu
  2. Zinazohusiana na viumbe tofauti na binadamu
  3. Zinahusiana na kutumia nguvu za Mungu (Yahweh) kupambana na ufalme wa giza kujua aina za shetani. Shetan aliyehasi ni mmoja ila baada ya kutupwa nje ya mbinguni walifaraka na kutokea mashetani wengi na falme zao na wenyewe kwa wenyewe wanapigana vita mpaka sahivi
  4. Zinahusiana na science
  5. Zinazohusiana na universe kwa ujumla maisha kabla ya uharibifu
MAMBO YA KUZINGATIA
  • Usifanye masihara na hiki nachofanya sikutishii ila kama unaona hakina msaada kwako achana nacho sababu una-haki hiyo ila usifanyie masihara na mizaha na hizi code
  • Kama huna iman juu ya hizi code ni ngumu sana kufanya kazi
  • Code zinatolewa bure hulipii gharama yeyote ntakua nazituma huku kwenye huu uzi na matumizi yake
  • Nia yako moyoni mwako ndo itakayoamua either code ifanye kazi au la nikimaanisha kama una nia ovu kama kisasi, kuwa kikwazo kwa wengine, kuwakera wengine, n.k hazifanyi kazi ili ifanye kazi inatakiwa uwe mnyenyekevu
  • Code hazina ishara yeyote ile sababu zimejikita kwenye ulimwengu wa roho na zinafanya kazi kimya kimya na ni mara chache sana zina miujiza
  • Code inachukua mda kufanya kazi means inafanya kazi pole pole ni kwa mda gani exactly mapenzi ya Mungu ndo yatakayoamua na ni mara chache sana inafanya kazi mara moja (instantly)
  • Kwenye suala zima la kipato inakupa unachostahili kama ni utajiri itakupa utajiri ila huwezi lazimisha kupata utajiri
  • Inabadilisha sheria za ulimwengu wa roho
  • Hakikisha unafanya kazi hizo code zisiwe tiketi ya wewe kusubiria miujiza
  • Code mda mwingine inaweza isiondoe tatizo linalokukabili ila ikalisitiri (kulifanya kuwa irrelevant) lisiwe ni kikwazo kwako lakin litaendelea kuwepo
Karibuni katika utukufu wa Mungu

Usisahau kushare hizi code na jirani yako ni bure gharama yake ni imani tu

"Don’t stop praying because you don’t see results immediately"
Code ni nini?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
C mon bro, karne ya 21! Unataka kutatua shida za watu kwa kukalili biblia? Msongo wa mawazo,matatizo ya akili,hizi ni dalili za tatizo kubwa LA uchumi,
Kumuomba Mungu ni swala muhimu, hata tajiri kama bakhresa, au dangote, au diamond wote wanamuomba Mungu, na wametatua matatizo ya watu ya kiuchumi, nk, nyumba za ibada,na viongozi ww dini, wana tu fundisha na kutufafanulia Mambo ya kiroho, spirituality, vitu kama demons, spiritual staff, lakini Mambo ya kimwili kama cha kula, ajira hayatatuliwi na spiritual education,
We unafikri hii jamii forums, walioianzisha, waliomba Mungu ikatokea? walimuomba Mungu awape akili, ili ujuzi, wao watakachokifanya mtandaoni kifanikiwe,
Ukienda kanisani kuomba Mungu akupe kitanda na kabati,yeye atakupa miti, utumie bongo yako kutengeneza vitanda na makabati,
Chunguza Sana, "kadri maisha yanavyozidi kuwa magumu, ndivyo wachungaji na makanisa ya kilokole yanavyoongezeka, "
Zamani vijana walikimbilia "U motivation speaker ship" Sasa hv kila kijana, anashona suti ana kuwa pastor, ndipo kwenye maokoto"
Huko utaambiwa, leta kucha na nywele, ziombewe!
Ukristo unatumika Ku tafuta pesa za kuishi.
Upo utofauti kati ya kuomba Mungu na kuomba miungu. Katikati ya miungu, sijaona Mungu kama wewe wala matendo mfano wa matendo yako.
 
Bible code number 40:- PERESI PETELI PETELI PERESI
Kazi yake;- kugusa upindo wa vazi la Yesu ili kupona magonjwa sugu
(Luka 8:43-48, Luka 5:15)​
Magonjwa sugu yaliyoshindikana hospitalini​
  • Aggresive cancer
  • Kufeli kwa figo kunakotishia maisha ya mgonjwa
  • Neurodegenerative diseases mfano motor neuron, alzheimers, parkinson n.k
  • Magonjwa ya moyo
  • Na mengine mengi
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ugonjwa utakapoondoka au kuwa irrelevant
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ugonjwa utakapoondoka au kuwa irrelevant
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 02:- ELOI ELOI LAMA SABAKTHANI
Kazi yake;- kukupa nguvu ukiwa katika nyakati ngumu sana za kifamilia, kifedha au magonjwa
(Mathayo 27:46)
  • Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, unakua na uchungu wa moyo, pia unajikuta ukitaman kulia lakini machozi hayatoki kutoka..but we have to be strong; sababu ni mpaka kusudi la Mungu litimie ndo ugumu unaopitia utaondoka fanya jitihada za wewe kuondoa huo ugumu ila usitumie nguvu kubwa sana kuondoa huo ugumu sababu utaleta negative impact kubwa sana kwako.
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata nguvu
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata nguvu
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Back
Top Bottom