Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #181
Bible code number 48:- MENE MENE TELE TELE
UNATUMIAJE
Kazi yake;- kukupa tafsiri unatapika chakula ndotoni
(1 wafalme 1:5-21)
- Utapata tafsiri binafsi ya kwanini unatapika chakula
- Utapata wazo la nini cha kufanya
- Binafsi-Unakua unatamka jina na bible code kimoyo-moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri na ujumbe
- Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri na ujumbe