Natumia Biblia kutatua changamoto

Natumia Biblia kutatua changamoto

NJIA YA MUNGU NI MOJA TU KUOMBA

UKISEMA WATU WAFUATE CODE HAYA CODE ZIKIGOMA WATATAFUTA CODE NYINGINE [emoji23][emoji1]

NJIA ZA MUNGU SIO KAMA VPN ZA FREE INTERNET

MUHIMU NI KUWAFUNDISHA WATU KUOMBA BILA KUCHOKA MAANA MUNGU YEYE HAFIKIWI KWA CODE[emoji23]
Mfano NENO CODE ni nini tuanze hapo kwanza, au kwanini watu wakiomba wanasema wananena kwa lugha kwanini wanene kwa lugha tofauti ni nini? tujifunze tartibu Mungu ni wetu sote tuweke mihemko pembeni
 
Yeah upo sahihi lakini kinginge sadaka ni muhimu na sadaka iwe ya kukuumiza yani utoe sadaka ambayo imo ndani ya uwezo wako, pia matendo yako yani wanasema imani bila matendo ni kazi bure ni sahihi yani uwe na matendo mazuri ya kumpendeza Mungu ndiyo maombi hujibiwa kwa haraka...
NA SADAKA KUU INAYO MPENDEZA YESU KRISTO NI MSAADA KWA WASIO JIWEZA VIWETE, YATIMA,WAJANE NK.

MAANA YEYE ALIFANYIKA MSAADA KWETU KWA KUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA

NA AMRI YAKE KUU NI "UPENDO" UPENDO WAKE NDIO ULIFANYIKA MSAADA KWETU.
 
Mfano NENO CODE ni nini tuanze hapo kwanza, au kwanini watu wakiomba wanasema wananena kwa lugha kwanini wanene kwa lugha tofauti ni nini? tujifunze tartibu Mungu ni wetu sote tuweke mihemko pembeni
Neno Code Ni Neno Lenye Kificho lisilo Wazi mfano password (nywila)

Mimi kuhusu kunena kwa lugha sijui bado sifahamu kunena kwa lugha huanzaje mimi ninacho fahamu ni kumuomba Mungu Katika Hali Ya Utulivu Bila Hata Kunena Kwa Lugha Mungu Hujibu Maombi
 
Bible code number 53:- MEPE MEPE MEPE MENE
Kazi yake;- kufungua kizazi kilichofungwa kwenye nchi au eneo la nchi
(Hosea 4:10)
Kama tatizo la kupungua kwa watu ni kubwa sana na limeanza kuathiri hali ya uchumi
  • Inabadilisha sheria ya ulimwengu wa roho iliyofunga kizazi katika nchi au eneo husika
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakapofungua kizazi
(Jina la nchi au eneo-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 62:- PESI TEKELI PESI PESI
Kazi yake;- Bubu kuongea
(Luka 11:14, Marko 7:37)
  • Watoto wadogo waliofikia umri wa kuongea na hawaongei
  • Mtu mzima bubu kuongea
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka atakapoongea au kama haiwezekani Mungu atakupa sababu
(Majina matatu ya mtoto wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie)kwa imani na msisitizo mpaka atakapoongea na kama haiwezekani Mungu atakupa sababu
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Mungu hana njia moja huko ni kumshusha heshima
Mungu ana njia nyingi sana ndo maana kwwnye kanisa kuna huduma nyingi sana zote zinalengo moja la kufunuo utukufu wa Mungu

Mfano wazo la hospital limetoka kwa Mungu ila watu wengine atawaponya kwa miujiza wengine hospitalini sio sahii kwamba Mungu ana njia moja ni uongo
SAWA NITAJIE NJIA NYINGINE YA MUNGU ILIYO TOFAUTI NA KUOMBA
 
NA SADAKA KUU INAYO MPENDEZA YESU KRISTO NI MSAADA KWA WASIO JIWEZA VIWETE, YATIMA,WAJANE NK.

MAANA YEYE ALIFANYIKA MSAADA KWETU KWA KUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA

NA AMRI YAKE KUU NI "UPENDO" UPENDO WAKE NDIO ULIFANYIKA MSAADA KWETU.

Nakubaliana nawe kabisa upo sahihi lakini mfano sadaka unayosema unajua ni sadaka ya huruma sadaka ya kuomba rehema ndiyo unasaidia hawa special group lakini kuna zaka kuna aina nyingi ya sadaka ambazo zina majibu tofuati sijui kama unalijua hilo **** sadaka ya toba yani unataka kufanya toba lazima utoe sadaka hiyo, kuna sadaka ya shukrani yani umshukuru Mungu kwa yale aliyoyajibu ni sadaka ya shukrani hiyo kwahiyo ndugu sadaka zipo na ni sehemu ya ibada kabisa na zima impact zake
 
Neno Code Ni Neno Lenye Kificho lisilo Wazi mfano password (nywila)

Mimi kuhusu kunena kwa lugha sijui bado sifahamu kunena kwa lugha huanzaje mimi ninacho fahamu ni kumuomba Mungu Katika Hali Ya Utulivu Bila Hata Kunena Kwa Lugha Mungu Hujibu Maombi

Kunena kwa lugha ni code pia ni password pia kama neno code, na hujipangi kuaanza kusali hivyo huwa inakuja automatically mpaka roho mtakatifu akushukie, so ungejua swala la kunena kwa lugha hizi code hazina shida, pia Mungu anajua shida zetu hata kabla hatujafungua midomo yetu
 
Bible code number 54:- PENE MENE MENE PENE
Kazi yake;- Kukupa mbinu za kifikra za kukabiliana na uongozi/kiongozi mbovu
(Waamuzi 17:6, Waamuzi 21:25)
Uongozi mbovu iwe ni kwenye familia, nchi, kampuni, n.k na usimchukie., mfano ni;-
  • Kiongozi mla rushwa
  • Kiongozi anayeonea walioko chini yake
  • Kiongozi mdini
  • Kiongozi mwenye upeo mdogo
  • Kiongozi dikteta na asiyefuata taratibi zake binafsi

UNATUMIAJE
  1. Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata mbinu za kuishi naye kiakili.
(Unataja majina ya kiongozi mbovu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Anna mama yake samweli aliomba mpaka eli akamwambia mbona umelewa sababu alikua ana nena kwa lugha

Paulo anasema Kuna mtu alienda mbingu ya tatu kule alikuta watu wanaongea lugha ya ajabu ambayo hakuwa kusikia huyo mtu
SIJAKATAA KWAMBA KUNENA KWA LUGHA HAKUPO KUPO ILA MIMI BADO HAKUJANIFIKIA [emoji120]

NDIO MAANA NINASEMA SIO KWAMBA UKISHINDWA KUNENA KWA LUGHA BASI MUNGU HATOWEZA KUJIBU MAOMBI NO
 
SAWA NITAJIE NJIA NYINGINE YA MUNGU ILIYO TOFAUTI NA KUOMBA
Namsidia hilo kujobu, njia nyingine ni matendo yako yani kuachana na dhambi, pia unyenyekevu mbele za bwana, pia sadaka ni ibada kabisa so kutoa ni njia pia, misaada pia umesema hapo ni njia pia nyingine, lakini mengine ni kama kuvunja madhabahu za mizimu ya ukoo wenu
 
SIJAKATAA KWAMBA KUNENA KWA LUGHA HAKUPO KUPO ILA MIMI BADO HAKUJANIFIKIA [emoji120]

NDIO MAANA NINASEMA SIO KWAMBA UKISHINDWA KUNENA KWA LUGHA BASI MUNGU HATOWEZA KUJIBU MAOMBI NO
Hata Yesu hawakumwamin wote wako waliokua wanampinga
Wewe kutokukubali sio jambo la ajabu kwa sababu sio lazima
 
Nakubaliana nawe kabisa upo sahihi lakini mfano sadaka unayosema unajua ni sadaka ya huruma sadaka ya kuomba rehema ndiyo unasaidia hawa special group lakini kuna zaka kuna aina nyingi ya sadaka ambazo zina majibu tofuati sijui kama unalijua hilo **** sadaka ya toba yani unataka kufanya toba lazima utoe sadaka hiyo, kuna sadaka ya shukrani yani umshukuru Mungu kwa yale aliyoyajibu ni sadaka ya shukrani hiyo kwahiyo ndugu sadaka zipo na ni sehemu ya ibada kabisa na zima impact zake
UNAELEWA KAZI YA DAMU YA YESU?

Mungu Haitaji fedha yako mfano mtu hana pesa je Toba anayo Omba itagomewa sababu hana fedha!
 
Hata Yesu hawakumwamin wote wako waliokua wanampinga
Wewe kutokukubali sio jambo la ajabu kwa sababu sio lazima
HAPANA MIMI NAAMINI KATIKA KUOMBA BILA KUCHOKA ILA MASUALA YA CODE NA KUNENA KWA LUGHA IT'S NOT A BIG ISSUE KWA MUNGU ANAYE TENDA KAZI KWA MWANAE YESU KRISTO

NYIE NDIO MNAO FANYA INJILI YA YESU IONEKANE INA MAMBO MENGI WEE WAKATI SIVYO MSIFANYE HIVYO.
 
Kuna sehemu nimewaambia watu wasiombe na unajua kuomba ni karama sio kila mtu anaweza kaa masaa wawili hadi kumi anaombea tu watu wengine
 
UNAELEWA KAZI YA DAMU YA YESU?

Mungu Haitaji fedha yako mfano mtu hana pesa je Toba anayo Omba itagomewa sababu hana fedha!

Hapo ndipo unapotea mkuu hivi unakumbuka yule mama alietoa sadaka ya coin yesu akasema tena yesu mwenyewe akasema kati yenu huyo mama ndiyo katoa sadaka kubwa kushinda wote ingawa wapo waliotoa mavitu ya thamani lakini Yesu akaonyesha amependezwa na sadaka ya yule masikini ,

Sadaka sio lazima utoa milioni au bilioni unatoa kadri umebarikiwa
 
Kuna sehemu nimewaambia watu wasiombe
HUJAELEWA NENO ULILO TUMIA LINA ATHARI GANI UNAPOSEMA WATU WATUMIE CODE KUNA WALE AMBAO MAOMBI YAO HAYAJAJIBIWA KWA MDA MREFU

WATAACHA KUOMBA NA KUANZA KUOMBA KWA KUFUATA CODE UNAZO ZITAJA WEWE WAKIWEKEZA NGUVU YAO SANA KWAMBA MUNGU ATAWAJIBU KWA CODE ZAKO

NA JE WAKISIPO JIBIWA SI NDIO WATAACHA KABISA KUOMBA

HAKUNAGA MAJIBU YANAYOPATIKANA BILA KUOMBA NA KUFUNGA BILA KUCHOKA NIPO PALEE [emoji117]

OMBA TU BILA KUCHOKA MASUALA YA CODE HAMNAGA MUNGU HAJIBU KWA WEWE KUFAHAMU ETI NIKIFANYA CODE FULANI ATANIJIBU [emoji23] ANAENDA TOFAUTI NA AKILI ZETU.

WEWE OMBA TU
 
Hapo ndipo unapotea mkuu hivi unakumbuka yule mama alietoa sadaka ya coin yesu akasema tena yesu mwenyewe akasema kati yenu huyo mama ndiyo katoa sadaka kubwa kushinda wote ingawa wapo waliotoa mavitu ya thamani lakini Yesu akaonyesha amependezwa na sadaka ya yule masikini ,

Sadaka sio lazima utoa milioni au bilioni unatoa kadri umebarikiwa
Huyo anaongea mambo asiyoyajua
Agano la kale Mungu alionekana sana sababu walikua wanatoa sadaka sana

Ukishakua na fikra potofu kwamba hawa naowapa sadaka wanaenda kula utapoteza kikubwa sana wakila watajuana na Mungu we haikuhusu

Na ufalme wa Mungu unakuja kwenye mambo matatu
Kutoa sadaka
Kuombea watu wengine na sio wewe mwenyewe
Kuhubiri
 
HUJAELEWA NENO ULILO TUMIA LINA ATHARI GANI UNAPOSEMA WATU WATUMIE CODE KUNA WALE AMBAO MAOMBI YAO HAYAJAJIBIWA KWA MDA MREFU

WATAACHA KUOMBA NA KUANZA KUOMBA KWA KUFUATA CODE UNAZO ZITAJA WEWE WAKIWEKEZA NGUVU YAO SANA KWAMBA MUNGU ATAWAJIBU KWA CODE ZAKO

NA JE WAKISIPO JIBIWA SI NDIO WATAACHA KABISA KUOMBA

HAKUNAGA MAJIBU YANAYOPATIKANA BILA KUOMBA NA KUFUNGA BILA KUCHOKA NIPO PALEE [emoji117]

OMBA TU BILA KUCHOKA MASUALA YA CODE HAMNAGA MUNGU HAJIBU KWA WEWE KUFAHAMU ETI NIKIFANYA CODE FULANI ATANIJIBU [emoji23] ANAENDA TOFAUTI NA AKILI ZETU.

WEWE OMBA TU
Athari zipi nawakati hizo code ni mistari ya biblia
 
Back
Top Bottom