Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #21
Bible code number 10:- SESE SESE SESESI SESESI
Kazi yake;- Mungu kukusaidia kutafuta mke au mume
(Mithali 31:10-31, hesabu 27:4-11)
Kama hupati mtu sahihi na una-matamanio ya ndoa
Kuwa tayari kwa kumpata mtu ambaye ni chaguo la Mungu na sio chaguo lako
UNATUMIAJE
Kazi yake;- Mungu kukusaidia kutafuta mke au mume
(Mithali 31:10-31, hesabu 27:4-11)
Kama hupati mtu sahihi na una-matamanio ya ndoa
Kuwa tayari kwa kumpata mtu ambaye ni chaguo la Mungu na sio chaguo lako
UNATUMIAJE
- Mwanaume-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapompata mke
- Mwanamke-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapompata mme
- Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata mme au mke