Natumia Biblia kutatua changamoto

Natumia Biblia kutatua changamoto

Bible code number 13:- RESE MENE MENE PERESI
Kazi yake;- kukupa tafsiri ya ndoto ambayo imekua ikijirudia rudia
(Mwanzo 41:1-25, Daniel 2:1-45)
Kama ndoto haipo kwenye zile ambazo tumezitolea maelezo
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa msisitizo na imani mpaka Mungu atakapokupa tafsiri ya ndoto
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa iman na msisitizo mpaka Mungu atakapo kupa tafsiri ya ndoto aliyoiota mara nyingi
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 16:- MENE TEKELI TEKELI TEKELI
Kazi yake;- kuondoa kiburi na majivuno
(Yohana 3:30, 2 Mambo ya nyakati 33:11-12, 33:22-23)​
  • Baada ya mtu kupata mafanikio
  • Baada ya mtu kupata cheo cha uongozi

UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiburi kitakapoondoka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa iman na msisitizo mpaka kiburi kitakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Ufahamu wako wa biblia ni mdogo sana
Jina la yesu liliachiliwa na damu ya Yesu na linatufanya tusitegemee damu za mahafali kwenye kufanya upatanisho
Haina maana kwamba verse nyingine 31,102 za bible hazina maana zina ujumbe
Umepata wapi maelekezo hayo.

Jina la YESU linatosha kufungua codes zote.
 
Back
Top Bottom