St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Lete Codes baba.. Watu tunazifanyia kazi na matokeo tunayaona.. Barikiwa sana baba..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena mkuu.Anachofanya kinaweza kawa ni uongo lakin kwanini unatamtuhumu kwa tuhuma za uongo kama amekufanyia kitu kibaya sana mara tapeli, mvuta bangi yaani una-muattack binafsi kama unamjua sio ustaarabu,
attack content yake anayoituma sio personality unapoelekea unaenda kumtukania mpaka wazazi wake
hakuna hata mtu mmoja anayekussuport katika viewers elfu 19 huoni kama unashida; unatumia nguvu kubwa sana kumuondelea credibility alafu hakuna anayekusupport
Kama angekua ni mtu mbaya tungeona malalamiko huku kutoka kwa watu lakin hatuoni zaidi ya wewe ambayo kibinidamu wewe ndo unashida
Na unapataje uchungu kwa jambo ambalo umeshajidhihirisha ni uongo mtu kuleta uzi wa uongo sio tiketi ya kumdhalilisha na kumtukana kama unamjua huku humjui; huku jamiiforum nyuzi nyingi sana ni za uongo
Hata mimi nashangaa hizi code zimetoka wapiHizi Codes mkuu unazitoa wapi...?
MENE MENE TEKELI PERESIMkuu
Kuna nguvu gani hasa!!?mbona nikitaja jina na hiyo code mene mene tekeli na peresi ni kama Kuna heart beat crescendo fulani hivi!!
Bible code number 40:- PERESI PETELI PETELI PERESIMkuu tiba ya mtoto kukojoa kitandani
Unachofanya wewe ni upotoshaji biblia haitambui hizo code unazoziandika hapaBible code number 40:- PERESI PETELI PETELI PERESI
Kazi yake;- kugusa upindo wa vazi la Yesu ili kupona magonjwa sugu
(Luka 8:43-48, Luka 5:15)
Magonjwa sugu yaliyoshindikana hospitalini
UNATUMIAJE
- Aggresive cancer
- Kufeli kwa figo kunakotishia maisha ya mgonjwa
- Neurodegenerative diseases mfano motor neuron, alzheimers, parkinson n.k
- Magonjwa ya moyo
- Na mengine mengi
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Binafsi-unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ugonjwa utakapoondoka au kuwa irrelevant
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ugonjwa utakapoondoka au kuwa irrelevant
Inawezekana kumuombea mtu zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja..??Bible code number 40:- PERESI PETELI PETELI PERESI
Kazi yake;- kugusa upindo wa vazi la Yesu ili kupona magonjwa sugu
(Luka 8:43-48, Luka 5:15)
Magonjwa sugu yaliyoshindikana hospitalini
UNATUMIAJE
- Aggresive cancer
- Kufeli kwa figo kunakotishia maisha ya mgonjwa
- Neurodegenerative diseases mfano motor neuron, alzheimers, parkinson n.k
- Magonjwa ya moyo
- Na mengine mengi
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Binafsi-unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ugonjwa utakapoondoka au kuwa irrelevant
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka ugonjwa utakapoondoka au kuwa irrelevant
Utukufu wa Mungu ni mkubwa mwanadamu huwezi mpangia Mungu afanye kazi kama unavyotakaUnachofanya wewe ni upotoshaji biblia haitambui hizo code unazoziandika hapa