mager6
Senior Member
- Jul 5, 2025
- 182
- 286
Huyu bibie alikuwaga last born wa jf, hata sijui kimkuta nn maana haonekani tena kabisa.Utakufa kifo kibya kujihangaisha na wake za watu
Maisha mengine lazima yaendelee, kuna maisha nje ya jfHuyu bibie alikuwaga last born wa jf, hata sijui kimkuta nn maana haonekani tena kabisa.
Mali gani?Upendo wangu ningempa yule, Sasa hivi tungesha kuwa na mali.
au wewe ndiye yeye?Maisha mengine lazima yaendelee, kuna maisha nje ya jf
Last time kumsoma huyu mdau humu alikuwaga na uzi wake wenye page zaidi ya 91 akilalamika umri kumtupa mkono huku akiuona uzee akiwa single kumbe alikuja kuokota dodo chini ya mnazi?Utakufa kifo kibaya kujihangaisha na wake za watu🫢
Umewaza kwa upana sana hahah!Lucas Mwashambwa ndio alikua anapenda kumuita ephen_ ni kipenzi chake,
Nahisi mleta mada anaweza kua ni Lucas Mwashambwa kwa ID nyingine.
😀😀
vip shemeji angu kajifungua?Jf ya siku hizi bhana, watu wanajadili ujinga tu kila mara.
Kwani we unajua mali zipi sasa?Mali gani?
Hapo kifo kinahusikajeUtakufa kifo kibaya kujihangaisha na wake za watu🫢
Kivipi mkuu? Kwamba id nyingine nakuwa nimefanyanini mpaka nitumie hiiau wewe ndiye yeye?