Natumia samsung ya mkopo mkiona sipo hewani mjue sina 1500 ya rejesho

Natumia samsung ya mkopo mkiona sipo hewani mjue sina 1500 ya rejesho

Ndugu zangu. habarini

simu yangu inapitia wakati mgumu. Wakati namtafuta ephen_ kipenzi nahisi nayeye anatumia simu ya mkopo maana simuoni hata akichangia na kulike mada humu jukwaan. min -me ukimuona popote mwambie nimepokea posho atume namba nimlipie simu atumie aepuke ku kuzimiwa simu
We nani?
 
Wewe tena!!
ephen wanguu nakupendaaa sanaa lazizi wangu. Wewe ndiye umebeba moyo wangu wote na kuuteka . Kwako mimi ni mateka nisiyeweza kutoka wala kupokonyoka mikononi mwako. Naomba unyooshe mkono wako ili nikukabidhi moyo wangu ukaage nao tu.
 
Back
Top Bottom