Hmm sijawahi kuuona, inawezekana ila sijui mkuu..Last time kumsoma huyu mdau humu alikuwaga na uzi wake wenye page zaidi ya 91 akilalamika umri kumtupa mkono akiuona uzee akiwa single kumbe alikuja kuokota dodo chini ya mnazi?
Walichoacha ni matangazo ya waganga tu na promo za ushogaJf ya siku hizi bhana, watu wanajadili ujinga tu kila mara.
Ziko za kila namnaKwani we unajua mali zipi sasa?
Atakuwa kanielewa muhusikaHapo kifo kinahusikaje
Dah usha anza kuleta masuala ya class kijiweni, aisee upendo wangu ningempa yule, Sasa hivi tungesha kuwa na mali.Ziko za kila namna
Tangible na intangible
bwashee taratibu bwashwee, mwamba anasaka tu cheap attention kamandaDogo iwe mwisho na mwanzo kunitaja taja kwenye mambo yako ya kipumbavu
Mpe tu kwani kaukataa, mali alizonqzo sasa ni living things😅Dah usha anza kuleta masuala ya class kijiweni, aisee upendo wangu ningempa yule, Sasa hivi tungesha kuwa na mali.
Dogo anaforce mazingira😅Dogo iwe mwisho na mwanzo kunitaja taja kwenye mambo yako ya kipumbavu
Nitampa niki muona tena, intelli fvckin worldMpe tu kwani kaukataa, mali alizonqzo sasa ni living things😅
Dogo anahisi atakua popular kama ataweka hint yako kwenye post zake...Dogo iwe mwisho na mwanzo kunitaja taja kwenye mambo yako ya kipumbavu
Team hatushindwi kitu! Heshima yako boss wa jobless 🫡Nitampa niki muona tena, intelli fvckin world
Mimi sina ID Mbili . ephen_ Wangu Kipenzi Lazizi Wa ❤️ Wangu yupo sana. Mimi nampenda sana ephen_ hata akinitukana huwa nahisi ananinong'oneza kwa sauti ya Mahaba na Upendo wa Agape.Lucas Mwashambwa ndio alikua anapenda kumuita ephen_ ni kipenzi chake,
Nahisi mleta mada anaweza kua ni Lucas Mwashambwa kwa ID nyingine.
😀😀
Kwenye ubora wakoDogo iwe mwisho na mwanzo kunitaja taja kwenye mambo yako ya kipumbavu
Mimi na CCM ni damu damu. Hata ephen_ analijua hilo na kakubaliana naloPunguza Usisiemu na atakuelewa
Mkuu Lucas Mwashambwa inamaana unamendea mali zangu.