Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Aki ntawasindikizaMi nataka mwaka huu twende nimpeleke nyumbani

Aki ntawasindikizaMi nataka mwaka huu twende nimpeleke nyumbani

Kwanini mkuu?😅We muongo sana, we mwanamke. 😁
The only other voice we wanna hear is the radioAki ntawasindikiza![]()
Swali zuri sana! Maana sio siku moja wapange date, amuone kwa mbali amzimie simu dada wa watu. 😁
Hamtaki vigelegele😛The only other voice we wanna hear is the radio
View attachment 3569926
Shemeji tumesimama huku, huoni tumevaa nguo za pink na miwani myeusi😎
Tena kama mimi,😆 wacha nikae anonymous tu ni msiba🙆🏽♀️Utasikia we shuka kwenye basi, njoo upande wa kulia, nimevaa wigi kama la Mange Kimambi. 😁
Unakutana na Seran mwenyewe, unasema mtume roho yangu mie..😁
Alikimbia au ulikimbia😆Haya mambo ni hatari sana, nakumbuka nilipata Pen pal mmoja kupitia Darhotwire, stendi Ubungo enzi hizo. 😁
Yeye akawa na "big picture" juu yangu, akawa anajua mimi ni mwanaume chotara wa kiarabu, kisa tuu ka kiingereza kangu ka ugoko. Hakuna picha enzi hizo.
Kilichotokea baada ya kumpokea pale Ubungo sitaki kusema. 😁
Umenikumbusha fb bwana nilikuwa nachat na kijana, ile sauti yake ndio namvalisha uhusika tunaongea tunapendana na hatujawahi kuonana mpk tunaachana😆 siku ya siku nakuja kuona picha yake baada ya miaka mingi nilijilaumu sana😄Mi sikukimbia, lakini yeye picha aliyokuwa nayo juu yangu ni tofauti. Ni mambo ya mitandao haya. 😁
Facebook mwanzoni, mwanzoni pale watu walishalizwa sana. 😁
Umenikumbusha fb bwana nilikuwa nachat na kijana, ile sauti yake ndio namvalisha uhusika tunaongea tunapendana na hatujawahi kuonana mpk tunaachana😆 siku ya siku nakuja kuona picha yake baada ya miaka mingi nilijilaumu sana😄
Bora hiyo kuliko kukutana loji hamjuani😆Ukawa unapenda kwa "imagination" 😁
Mtu anaongea kama Prezzo, sasa uje ukutane au umuone. 😁
Bora hiyo kuliko kukutana loji hamjuani😆
Navyojua kutorokaHa ha ha, imewahi kutokea?
Kimya kimyaHamtaki vigelegele😛
ananipenda sana Mpaka anaishiwa Nguvu.Kwani huyo ephen_ mwenyewe anasemaje
Duh naongelea miaka mingi sana, I don’t do that shit anymore.. kwanza muda wa kukutana na watu natoa wapi!Achana na namna hii, haikufai, jisamehe na usiruhusu tena hali hiyo.
Sahihi kabisa! Tena kwa ulimwengu wa sasa, ukimpa mtu nafasi anaanza kukupigia hesabu!Vizuri, jipe standard za juu we ni mwanamke mzuri. 😎
1+1=1Hesabu gani? 😁
1+1=1