Natumia samsung ya mkopo mkiona sipo hewani mjue sina 1500 ya rejesho

Dogo anahisi atakua popular kama ataweka hint yako kwenye post zake...

Hajui humu JF kila mtu ni public figure
ana upublic upi, kipi cha ajabu? amuilize bibi yake
 
kuna watu ni watoto sana humu. Lakin wanavaa ulegend tunawazoom tu
 
usisahau kuna reborn humu. watu walijiunga 1980 na wanafungua ID mpya 2026 unalijua hilo
Pathetic!!! Mimi nimejiunga 2009 humu miaka 3 baada ya hii platfom kuanzaa...
Nina ID ya 2012 nayo ikapotea,hii ninayotumia ya 2016 lakn nan anajali?

mimi naamini kwenye mfumo mfumo ukisema umejoin jana me najua umeijua JF jana....
sijajua kama kuna page ya kujaza data za reborn wakati wa kujiunga?
 
1000353018.jpg
upathetic unakujaje hapo. Mama edina yuko sahihi . Nani anajali ulijiunga shule ya msingi 2016. who cares
 
Back
Top Bottom