EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Mtu ukikuta anatoa mihadhara utafikiri amewahi kufa anavyojifanya anasimulia habari za jehanamu au habari za peponi watu Wenye akili wanaweza kuzitumia akili zao kuwamanipulate watu kwa ajili ya Manufaa yao kupitia namna mbalimbali vikiwemo vitabu.kuna baadhi ya mambo mlioamrishwa myafanye ambayo mtu mmoja anadai alishushiwa na yapo kwenye vitabu nimebaini hayo mambo yalikuwa ni tabia ya mtu huyu lakini akadai Ameshushiwa na hao anaodai walikuwa wanamshushia na hiyo tabia ni ya kupenda uke maana tunaambiwa alikuwa na wake wa kumwaga huku mmoja akiwa ametwaliwa akiwa ana umri wa mtoto wa STD 3