Naufunga mjadala: Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Lady Jaydee

sinza pazuri huwa unaropoka na kuandika vitu kimuhemko, utakuwa na maisha magumu sana kwenye hii dunia. Zuchu umemjua lini ? Mida huu saa 15:22 nipo na Jamaa anaitwa Mzazizo ni moja ya watu wanaomuandikia Zuchu nyimbo.
Wewe ni Kijana wa hovyo na umejaa ushabiki maandazi tu hujui kitu. Nyerere aliikomboa Tanzania mikononi mwa Wakoloni halafu leo hii uje useme eti Jakaya Kikwete ni Tajiri kuliko Nyerere. Muache Jide kumfananisha na Zuchu kila kitabu kina zama zake.
Nakupa assignment mtafute Mzazizo ni nani ?
 
Huu huu uandishi wa kuosha pumbu au kuna mwingine??
Jide ngoma zake ni balaa mjomba usifanye masikhara...

Usipoisikiliza ngoma ya Zuchu wiki mbili baada ya kuachiwa hutaisikikiza tena itakuchosha na mitaa ishaikinai, ngoma za Jide ni moto wa kifuu hauzimi kindezi.
Enzi Jide anatoa mawe yeke yalikua ni balaa.

Kwasasa hamna mwanamuziki wa kike anaemfikia Zuchu.
 
Ni kichaa tu anayeanzisha mjadala na kuufunga bila kudadiliwa na mtu mwingine...mpigie tu debe ,shanga zake zikichakaa atakugawia
 
Kuna kitu kimoja kwa jina sitokitaja... Inaitwa 'kitu'
Wewe hio nyimbo unaweza kusikiliza sebuleni na wanao? Au mzazi kama yupo au watu wazima unao waheshimu?
Hawa madogo bado sana wataleta ubishi!

Chuma cha..
Understanding na Tid
Faraja
Machozi
Nakuota aliyoshirikishwa na Q chief
Pumziko
Si wema

Na live performance ni hatari...
 
Hawa madogo bado sana wataleta ubishi!

Chuma cha..
Understanding na Tid
Faraja
Machozi
Nakuota aliyoshirikishwa na Q chief
Pumziko
Si wema

Na live performance ni hatari...
Jay Dee nilimshuhudia anafanya live performance yule dada anaimba aisee...

Mziki unapigwa umetulia unapiga fundo za vinywaji taratiiiib...

Sio unaniimbia 'kuna kitu kimoja sijui kinasimama kinataka kinyama.... Ptuuu.. upuuzi tu..
 
Kwakuwa mnashea bwana?
 
Utakua umelewa wewe sio bure
 
Jay Dee nilimshuhudia anafanya live performance yule dada anaimba aisee...

Mziki unapigwa umetulia unapiga fundo za vinywaji taratiiiib...

Sio unaniimbia 'kuna kitu kimoja sijui kinasimama kinataka kinyama.... Ptuuu.. upuuzi tu..
Jide anajua bhana!

Labda hawa madogo hawajawahi kushuhudia show za Jide.

Zuchu akiimba live sauti ya ajabu anashindwa hata na Jux.
 
Jide mzuri kuandika kuliko zuchu na sio kuandika tu bali kwenye angle zote, sio sababu ya jide kuaanza zamani muziki bali yupo vizuri hata angeanza leo

Ume-base sana kwenye kuanza zamani, shishi kaanza muziki kabla ya zuchu lakini hatuwezi kusema shishi ni bora kuliko zuchu
 
Binafsi nilikuwa sidhani kama Zuchu ana andika mwenyewe nyimbo zake
Amezungukwa na waimba taarabu kuanzia mama yake na hawa watu kwenye uandishi ni balaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…