MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Walifikiaje kwenye hayo mapendekezo? Waliota, walikisia au walipiga hesabu?Swali halieleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifikiaje kwenye hayo mapendekezo? Waliota, walikisia au walipiga hesabu?Swali halieleweki
Walicalculate hesabu zao kama kampuniWalifikiaje kwenye hayo mapendekezo? Waliota, walikisia au walipiga hesabu?
That is my point, hizi number sio za bahati mbaya. Ila ni bahati mbaya kwamba kwa hizi numbers, watafeli kabla ya kuanza. 29K Dar mpaka Moro ni anasa.Walicalculate hesabu zao kama kampuni
Sahihi lakini nadhani wametumia negotiation skills kwamba wameanza na dau la juu ili wanapojadiliana na walaji basi wapate bei reasonable kwa pande zote mbili.That is my point, hizi number sio za bahati mbaya. Ila ni bahati mbaya kwamba kwa hizi numbers, watafeli kabla ya kuanza. 29K Dar mpaka Moro ni anasa.
Ngoja tuone, lakini wakija na bei ambazo sio rafiki, Abood ataendelea kujaza mabasi ya Dar Moro, na Shabiby ataendelea kutawala Dar DomSahihi lakini nadhani wametumia negotiation skills kwamba wameanza na dau la juu ili wanapojadiliana na walaji basi wapate bei reasonable kwa pande zote mbili.
Mawazo yako ni sahihi Sana Mkuu. Anayekubishia Hana uelewa mpana wa unachoongelea. Kazi zinazoweza kufanywa Dar huku Mtu akiishi Morogoro ni nyingi kama Mtu atakuwa na uhakika wa usafiri na gharama nafuu Kwa mwezi. Kwa usafiri huu huu wa dala dala watu wanaishi Kibaha Kwa Mathias na wanafundisha Dar city centre.Ni kitu gani ambacho ni hindrance ya mtu kukaa point A na kufanya Kazi point B..., Kama kuna usafiri unadhani kuna shida gani ya mtu kukaa popote pale na hii inapunguza population density kubwa sehemu moja
Yani hata iyo elfu 60 ni kidogo. Inatakiwa ikaribie laki mbili au na zaidKama unafika mapema let say nusu saa au dk 45 upo moro ni sawa.
Kujiendesha kibiashara ndio bei inatakiwa iwe sawa na ya basi au chini kidogo which is possible. Hio bei ya elfu 24,000 ni ya kipigaji. Wameshindwa kabisa wangeiset kwenye 12,000 sababu umeme ni cheaper than diesel.TRC inatakiwa ijiendeshe kibiashara. Wakichaji nauli ya 6,000 hiyo faida itatoka wapi?! Labda serikali ikubali kufidia.
Kama ndege tu za bombadier zinakalishwa kumsubiria kiongozi flani afike hata kama kachelewa kucheck in Airport ndio itakuwa hayo matreni.Kama unafika mapema let say nusu saa au dk 45 upo moro ni sawa.
Tatizo tz gharama za umeme ni juu sanaYaani hadi nimemkumbuka jpm.Ukilinganisha nauli za sgr ya Kenya na naijeria unaona kabisa nauli za Tanzania ni Mara tatu ya zile za Kenya na nigeria na kwa umbali huo huo.Hii inchi imringiliwa na mafisadi
Weee, sio kwa tz, waulize uwanja wa jamhuri Dodoma watakupa majibu, pale kwa mechi moja ya usiku wakitumia umeme ni sh mil4 wakati wakitumia diesel ni mil2Kujiendesha kibiashara ndio bei inatakiwa iwe sawa na ya basi au chini kidogo which is possible. Hio bei ya elfu 24,000 ni ya kipigaji. Wameshindwa kabisa wangeiset kwenye 12,000 sababu umeme ni cheaper than diesel.
Kama ni hivi ni hatari kubwa.Weee, sio kwa tz, waulize uwanja wa jamhuri Dodoma watakupa majibu, pale kwa mechi moja ya usiku wakitumia umeme ni sh mil4 wakati wakitumia diesel ni mil2
Ndio hivyo mkuu, alihojiwa meneja uwanja akajibu hvyo nilimsikia mwenyeweKama ni hivi ni hatari kubwa.
Waweke 15k ntapanda ila 24, napanda kimbinyiko napitiliza DodomaHata kama ni mapendekezo sidhani kama mlifikiria au kuwaza kwa kinagaubaga, huko Anatorglo mnaenda kupaka mafuta ili kung'arisha hiyo nauli na si vinginevyo.
Ukute mmeshaandaa wazungumzaji wenu wa kutetea hiyo nauli na hapo ndiyo watakuwa wengi ukumbini.
--
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imepokea maombi kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhusu nauli za abiria kwa treni ya njia ya Reli ya Kisasa – ‘Standard Gauge Railway’ (SGR) zitakavyotumika kwa huduma ya usafiri wa treni za abiria.
Kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria Na. 3 ya LATRA, 2019 Mamlaka inapaswa kukusanya maoni ya wadau kabla ya kufikia uamuzi wa kuridhia viwango vya nauli kwa huduma zinazodhibitiwa na Mamlaka ikiwemo nauli za treni.
Katika kulitekeleza hilo, Mamlaka imeandaa mkutano wa kupokea maoni ya wadau wa usafirishaji, ikiwa ni pamoja na watoa huduma, watumiaji wa huduma na wananchi kwa ujumla. Mkutano utafanyika tarehe 19 Disemba 2022 jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa Anatorglo.
Nauli zinazopendekezwa na TRC ni Kama ifatavyo:
View attachment 2440636
View attachment 2440637
Kutokana na umuhimu wa mkutano huo, LATRA inawaalika wadau wa sekta ya reli na wananchi kwa ujumla kushiriki katika mkutano huo wa kukusanya maoni ya wadau.
Vilevile, wadau wanaweza kuwasilisha maoni yao kwa Mkurugenzi Mkuu kwa maandishi kupitia LATRA Makao Makuu, Mtaa wa Tambuka Reli, Dodoma au ofisi za LATRA zilizopo Makao Makuu ya kila mkoa Tanzania Bara kabla ya tarehe 3 Januari 2023.
Aidha, maoni ya wadau yanaweza kutumwa kwa barua pepe kupitia anuani hizi: info@latra.go.tz na dg@latra.go.tz
Imetolewa na:
Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano – LATRA
06 Disemba, 2022
Pumbavu kweli wewe nauli ndogo wakati kuna watu waliiba billion 3 wako segerea. Basi moja inabeba watu si chini ya 350 during rush hours. Nauli ndogo ni 750. Per trip ni 262,500 hio ya kuishia Kimara tu. Chukulia basi kumi zifanye mzunguko huo mara 6 kuanzia saa 10 jioni hadi saa 3 usiku.Hakuna sehem usafiri wa treni ni nafuu. Kifo cha mwendokasi ni matokeo ya nauli ndogo hivyo kushindwa kuleta magari mengi na huduma kuwa mbovu.
Hata wanaofanya biashara za daladala nauli ni ndogo ndio maana uwekezaji hafifu.
Tuanze kuishi kwenye uhalisia.