Nauli hizi za SGR nani atapanda? Kutoka Dar - Moro Tsh 24,000?

 
Mkuu
Kwanza shukrani kwa tusi.
Then, hesabu hazifanywi hivi.
This is exaggeration. Hujawaza hiyo miundombinu ambayo ni rented. Interest on loan kwa hayo mabasi. Fuel hujasema estimate zako zikoje.
Ingekuwa lucrative hivyo, ingekuwa tofauti sana.
Hiyo passengers 350 ni overestimate. Hiyo mizunguko 6 huipati kwa muda wa saa 10 mpaka saa 3.
 
Mkuu unaonekana unasafiri na gari yako binafsi. Hujawahi panda mwendo kasi wewe.,
 
Waweke 15k ntapanda ila 24, napanda kimbinyiko napitiliza Dodoma
15,000/- angalau sana tutaweza kulipa japo kitu kitachosababisha watu 50% wasipande ni garama, mfano mabasi yatatoza 10,000/-, yule mchumia juani mchumi, ambaye hajali kupoteza muda unadhani ataenda kupanda hilo dubwana?.

Hata mimi kama sina jambo la haraka sitapanda hilo dude, kuokoa 5000/- napanda bus.
 
Watashamgaa😅😅😅
 
Mwenye miradi yake asingekubali huu ujinga abadani.... na bado kuna chawa wanaona bibi yao ni genius. Yote hii ni shida ya kuwa na kichwa kinachotegemea kila kitu wawaze wengine.
 
Hivi natokaje Kibamba nikapande treni Posta halafu naenda Moro
 
Hivi natokaje Kibamba nikapande treni Posta halafu naenda Moro
Ndiyo maana ya ile comment yangu, kwamba watapanda wasio na haraka, kama sina jambo la haraka sitapanda hilo dude, kuokoa 5000+ napanda bus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…