Nauli kutoka Tanzania - Ufaransa 30,000/= Je upo tayari?

Kwa usalama wa ndege na abiria kitu hicho haiwezekani za jeshi tu wanakaa kwenye mabenchi ya kutazamana.
Imekuwa treni ya daladala hio
 
Uzururaji ulikuwa NI kipaji mkuu hakuna kitu napenda Kama kuzurura ovyo kuna siku nilipotea kigoma ebwanaee nilishukuru Mungu kwamba nilikuwa na ela za kutosha


Usafir huu ukianza Tu nitakuwa nazurura Marseille.
 
Kwenda kwetu mwanza laki 3 kwenda na kurudi hiyo si bora niende ufaransa......aaaah nipo tayari βœ‹
Bageshi. Laki tatu ukinunua tiketi kwa muda gani kabla ya safari? Nimetoka kugongwa malaki kibao majuzi tu hapa dah! πŸ€”
 
Mimi huwashangaa sana ATC wapo radhi waende na abiria nusu siti wazi badala ya kuweka nauli nafuu ili ndege ijae na wawe na ruti nyingi kwa siku mfano ukifanya laki mbili mwanza unaweza pata hata ruti nane kwa siku mara abiria elf 2 kwa siku kwa ruti moja.
Hizi hesabu wanaweza wachina
 
Uzururaji ulikuwa NI kipaji mkuu hakuna kitu napenda Kama kuzurura ovyo kuna siku nilipotea kigoma ebwanaee nilishukuru Mungu kwamba nilikuwa na ela za kutosha


Usafir huu ukianza Tu nitakuwa nazurura Marseille.
Sasa kigoma napo ni mahali pa kupotea mkuu?πŸ˜„πŸ˜„ Wewe ulivunja record
 
Kwa hyo bei hata kwa kubembea kwenye matairi ya ndege naenda, kikubwa iwe ni ufaransa kweli... naogopa nn kwani hapa Tanzania ni raha gani naipata.
 

FAKE NEWS!
1. Kwanza hilo shirika linaendesha budget safari fupi fupi tu za ndani ya Nchi
2. Suala la kuweka viti na kufunga mikanda SIO UAMUZI WA MTOA HUDUMA bali ni mashart ya leseni ya usafirishaji wa anga unaosimamiwa na shirika la Kimataifa.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…