Hawakushirikishwa,USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa kati ya Watoa Huduma na Wadau wa Usafiri (Wananchi).
Ila mishahara inaongezwa 12000 kwa mwaka,wafanyakazi mtafika mmechoka sana,motivation speaker unategemeaje mshahara?Gharama za uendeshaji ziko juu sanaa.....mafuta yamepanda sana spare ndio usiguse....nauli ilitakiwa ipande mwaka sasa....mafuta yamepanda mwaka sasa
Sisi tunatumia STM , hivyo kwani mlikuwa mnalipa kiasi gani?USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa kati ya Watoa Huduma na Wadau wa Usafiri (Wananchi).
Mbona mafuta Huwa yanashuka kama yalivyoshuka sasa? Mbona Serikali imeboresha mambo mengi yenye kuleta nafuu ya Maisha?Cha muhimu mamlaka inayohusika iwe pia inashusha bei kunapokuwa na uwezekano. Sio kupandisha tu.
Kwani TZ maombi ya chuo ni bure?Naunga mkono hoja,Nchi hii watu wamezidi sana ulalamishi usio na msingi.
Laiti kama Watanzania wangekuwa hapo Kenya wangekoma maana Hadi maombi ya Chuo unalipia fee kwanza.
Gharama za maisha zinapanda na Huwa hazishuki ndio mfumo wa Maisha Duniani kote.Mafuta pamoja na gharama nyingine za uendeshaji zinapopanda basi huwa inakuwa rahisi sana kupandisha bei, ila pale mambo yanaporudi kuwa sawa huwa hatusikii habari za bei za awali kurudi.
Unalipia nini? Kufuga Ng'ombe unalipia leseni?Kwani TZ maombi ya chuo ni bure?
Hata huku application fees vyuoni ... Tatizo mnakua machawa tu huku vichwani hamna kituNaunga mkono hoja,Nchi hii watu wamezidi sana ulalamishi usio na msingi.
Laiti kama Watanzania wangekuwa hapo Kenya wangekoma maana Hadi maombi ya Chuo unalipia fee kwanza.
Aliyekudanganya nani?Gharama za maisha zinapanda na Huwa hazishuki ndio mfumo wa Maisha Duniani kote.