Yaani nikionaga haka kapicha huwa natukana kimoyo moyo. Kwanini kusiwe na board inayofuatilia utendaji wa hawa wakuu wa idara mbalimbali au ndio mwendo wa kulindana kwasababu wote wanatoka kwenye duka moja?
Sijuitii hata kidogo kupangiwa kazi upcountry na kuondokana na kadhia ya Dar. At first niliona kama kuna hujuma au kuonewa flani Ila baada ya kureport haha....huku sing'oki😄Upcountry chief.
Wapi huko
Sijuitii hata kidogo kupangiwa kazi upcountry na kuondokana na kadhia ya Dar. At first niliona kama kuna hujuma au kuonewa flani Ila baada ya kureport haha....huku sing'oki
Hakuna mwananchi aliyeshirikishwaMwananchi aliyeshirikishwa tafadhali ajitokeze hapa hadharani, tungefurahi kuona walau wananchi watano tu wanajitokeza hapa hadharani.
au achonge "ungo" wake wa kusafiriaAmbae hataki nauli mpya ahamie burundi
HapatakalikaDawa ni kuongeza tu, tunaouza nyanya, maembe, vitunguu n.k tuongeze beiiiiiiiiiii.
Kila siku tunalia unyonge unyonge.Tunaiomba mamlaka husika kulitizama hili kwani vigezo vilivyotumika havifahamiki ukizingatia mafuta yameshuka bei kwa shs 200/-
MAMLAKA HUSIKA USAIDIENI UMMA HUU WA WANYONGE,SHUSHENI NAULI NA ONGEZENI SHS 50/- KWA NAULI ZA MIJINI, INAUMIZA MNO.
#Based on town trips!
Na sio nauli / safari za mikoani.
Huko kwa Sasa ni full ubber ikumbukwe ni sehemu ya utalii Ile hasa mitaa ya PajeKizimkazi nako bei imepanda au huku tu?
Tutetee walio wengi, mbona kwenye sukari tulipiga kelele, shughuli nyingi za mnyonge ni za kuangaika huku na kule na pengine asirudi na chochote!Kila siku tunalia unyonge unyonge.
Si tuache kusafiri?
Hao wasafirishaji wako na mikopo mikubwa ya magari.
Vipuli kodi juu, wataendeshaje hizo biashara na kulipa mikopo?
Unyonge na uhalisia...unyonge hauna nafasi.
Tanzania ina watu legelege na kutska huruma mchana kutwa.
Ukiona wenye magari wanafaidi nawe pambana ununue bus uanze usafirishaji
Dunia haiko hivyo mkuu, tunazidi kuleta siasa kwenye masuala nyeti.Tutetee walio wengi, mbona kwenye sukari tulipiga kelele, shughuli nyingi za mnyonge ni za kuangaika huku na kule na pengine asirudi na chochote!