Nauli ya China - TZ ni 11M, Bei ya kwenda tu kwa ATCL

Nauli ya China - TZ ni 11M, Bei ya kwenda tu kwa ATCL

mack255

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
551
Reaction score
1,230
Nauli ya kwenda Ganzhou, China imefikia Million 11 . Hiyo Ni kwenda tu. Kuhusu malazi , matumizi na nauli ya kurudia bado ni juu yako. Naona Rais amefungua nchi kwa wageni tu , Ila si kwa wa-TZ .

Machinga wenzangu mtaji upo?
 
Uliza sababu ,wachina bado wanaogopa Covid sasa kwenye ndege mna keep distance unakuta ndege ya kubeba watu 200 mko watu 30 so mnafidia gharama za hawa 170 ambao hawajapanda.

Ovyo kabisa hawa wachina
 
Hapana haiwezekani ikawa hivyo.

Hata hivyo million 11 tu? Hela ndogo sana iyo. Mshahara wa rubani wangu wa private jet Gulfstream kwa saa ikiwa angani.
Usifikirie idadi ndongo wa marubani wa TZ ambao hawazidi 10.
Fikiria maelfu ya machinga wadogo wanaoenda China

Usifikirie idadi ndongo wa marubani wa TZ ambao hawazidi 10.
Fikiria maelfu ya machinga wadogo wanaoenda China

Vyovyote vile iyo hela bado ndogo sana. Yani million 11 madafu unaona nyingiii.

Ila kwa nauli hadi China m 11 haiwezekani nakupinga. Au uliwanukuu wambea wakisterehesha baraza kijiweni?
 
Nauli ya kwenda Ganzhou, China imefikia Million 11 . Hiyo Ni kwenda tu. Kuhusu malazi , matumizi na nauli ya kurudia bado ni juu yako. Naona Rais amefungua nchi kwa wageni tu , Ila si kwa wa-TZ .

Machinga wenzangu mtaji upo?
Machinga wamefungua hadi gazeti lao la kusifia serikali, wso wako poa kabisa.
 
Back
Top Bottom