Nauli ya Zanzibar kuwa Tsh 25,000 vigezo gani vimetumika?

Shida sio kuona shida ni hao Ewura

NB toka zenji hadi daslam ni 36Km ambapo kwa bas almost ni 2000 to 3000
Acha kudanganya umma wewe. Dar mpaka Unguja ni 120KM. Hata ingekuwa bus nauli isingepungua 5,000 Shs.
 
Boti inapakia mizigo inalipiwa faida ipo
 
Dar mbeya kwa bus ni 40,000 kutokana na Bus ulilopanda,,,, Dar mbeya kwa ndege ni 240,000+ Kutokana na class,,,, Dar mbeya kwa treni ni 20,000+ (kutokana na class uliyopanda).

Dodoma kampuni moja ya Shabibby ina magari yana nauli tofauti tofauti ilihali umbali ni uleule....

Mkuu Zanzibar nauli hio itakuwa imezingatia,, Gharama za chombo,, uendeshaji(wafanyakazi), gharama za kuendesha chombo ,, Fuel consumption n.k.
 
Hhm

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna sehemu nimelinganisha na nauli ya basi mimi!!ninacho jiuliza mbona kuna kipindi kulikuwa na boti mwanza kwenda bukoba, nilisafiri kwa tsh.30, 000 na ni safari ya zaidi ya masaa 3?!!kabla hazijafanyiwa zengwe?!!kule hakuna manahodha, mainjinia?!!
Pale kigoma kulikuwa na usafiri wa boti kwenda DRC, karibia masaa 5 majini lakini nauli ilikuwa tsh.40, 000!hapa iwe tsh.25, 000 hapana kuna sehemu sio sawa!!!
 

Ilikuwepo ya 18k usiku. Na hata Sasa zipo 23k. Kadri boat inavyotumia muda mdogo ndivyo gharama inaongezeka ( speed boat). Hiyo namba ndio mojawapo nimekwambia serikali unachukua SI chini ya 7000 Kwa tkt Moja.
 
Panastahili nauli ya zingiziwa - m/complex kilomita zipo sawa
 
Pale mtu anapo classify vyombo vya moto vyote sawa ndio maswali kama hayo. Hoja yako inakua mufilisi zaidi unapoweka factor ya umbali. Bora ungehoji kwa factor nyingine.
 
Kweli. Palifaa kuwa shs Alfu 15 tu1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…