The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Ukweli ambao watanzania wengi hawataki kuusikia, ni kwamba nyerere na sera zake za baada ya uhuru zilishindwa Kuiletea maendeleo nchi hii.
Atabaki na heshima zake, kwa sababu alipojua kua amefeli, aling'atuka na kuruhusu Mfumo na maono ya watu wengine yaingie kurudisha nchi kwenye mstari na kweli mambo yalibadirika.
Kuna mambo mengi alifanikiwa, Kama kuishikamanisha nchi, Kujenga uzalendo na umoja, kuondoa ukabira, Kuleta hoja za umoja wa Africa, Ukombozi wa nchi za Africa kutoka kwa mkoloni. Lakini suala la maendeleo kwa nchi hii lilimshinda na sio dhambi kushindwa muhimu niku kubaliana na matokeo.
💯