The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Si
Sijasema maisha yamenipiga,lakini kwa namna moja au nyingine yawezekana Uongozi mbaya umechangia kuhalibu maisha yangu
Ni kweli kabisa ccm hoyeeee na mwakani kura zetu watanzania ni Kwa ccm mama anaupiga mwingii sanaaaaMaisha yako umeyaharibu mwenyewe.
mlivyopata uhuru hao mwafrika gan alikuwa tajiri kihalali na akawa maskini kweny utawala wa Nyerere ?( achana na utajiri wa kuwa chawa kwa mkoloni dhidi ya waafrika wenzio )Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukali, Mafuta na hata nguo.
Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni inchi ikiwa vizuri.
Je, Uongozi ulimshinda?
Ccm oyeeemlivyopata uhuru hao mwafrika gan alikuwa tajiri kihalali na akawa maskini kweny utawala wa Nyerere ?( achana na utajiri wa kuwa chawa kwa mkoloni dhidi ya waafrika wenzio )
hv umeelewa nlichoandika ? au ndo akili za ukiona SO ...bas andika THATCcm oyeee
nina mashaka na akil zako .Siyo nchi tu hata familia yake iangalie ilivyo
Hizi dhana nyingine zinatengenezwa kwa lengo la kumuabudu mtu fulani tu lakini kiuhalisia hazina ukweli wowote,Hakuna taifa lolote katika dunia hii lililoanzishwa na Nyerere.
ulitaka Nyerere afanye nin kweny enzi zile za Giza ? au pesa za wahisani hz zinawafanya musahau kuwa mnauza nchi ?Kinachofanyika sasaiv ni kumtunzia heshima tu mzee wetu lakini dalili zote zilionyesha ivyo
kwan viongoz wa sasa wamefanya nn zaid ya kuuza nchi ?Wewe wasema. Shida vijana wa 2000 mnataka kujifanya wakuaji kuliko hata walikuwepo kipindi Cha Nyerere.
Kwani lilibka yingo kalisema?Miaka yote hii umekuwa mtu mzima; na sijui kama hata shule ulikwenda, bado hata akili ya kutafuta taarifa mwenyewe huna?
Unaeleza umezaliwa miaka ya 1970. Sasa wewe kama mtoto hayo mambo uliyajuaje?
Tueleze ulipata utapia mlo ndiyo maana akili yako ikadumaa kiasi hiki?
Ni waTanzania wangapi walikufa njaa wakati huo, unajuwa? Je, Ethiopia na hapo Kenya, nako Nyerere aliwanyima chakula watu wa huko waliokuwa wakifa kwa njaa?
Kwani lilibka yingo kalisema?Miaka yote hii umekuwa mtu mzima; na sijui kama hata shule ulikwenda, bado hata akili ya kutafuta taarifa mwenyewe huna?
Unaeleza umezaliwa miaka ya 1970. Sasa wewe kama mtoto hayo mambo uliyajuaje?
Tueleze ulipata utapia mlo ndiyo maana akili yako ikadumaa kiasi hiki?
Ni waTanzania wangapi walikufa njaa wakati huo, unajuwa? Je, Ethiopia na hapo Kenya, nako Nyerere aliwanyima chakula watu wa huko waliokuwa wakifa kwa njaa?
Wewe wasema. Shida vijana wa 2000 mnataka kujifanya wakuaji kuliko hata walikuwepo kipindi Cha
Acha shobo siongei na wewe au umedataUngesena sio Baba yangu wa Taifa ningekuelewa. Lakini huwezi kuondoa heshima ya Nyerere Kama Baba wa Taifa la Tanzania. Kasome kesi ya Uhaini ilitokuwa inamkabili wakati wa ukoloni na jinsi alivyoishinda. Msomeni kwanza Nyerere kabla ya kukurupuka.
It's very obvious Nchi Ilimshinda ikamlazimu kutoka tu madarakaniNimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukali, Mafuta na hata nguo.
Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni inchi ikiwa vizuri.
Je, Uongozi ulimshinda?
Alifeli sanaSiyo nchi tu hata familia yake iangalie ilivyo
Kulikuwa na sababu ya kuingia vitani? tufafanulieNyerere Nchi haikumshinda kivile alijitahidi sana isipokuwa nchi iliyumba sana alivyoamua kuingiza nchi vitani kumpiga na kumfurusha madarakani Iddi Amin ile vita iligharimu sana nchi hadi ikafilisika .
Pia sera za ubepari zilimbana sana kwa kuwa alikuwa na mtzamo wa sera kinzani za ujamaa .
Hakuna anayelialia tunajiribu kutafakali no kuchambua pale walipikosea Viongozi wetuIla nakazia hapa kwa umri wako huu ukisoma Bure shule ya msingi kwa kulipa ada ya kawaida kabisa huku ukipatiwa madaktari bure na sekondari ulilipa ada bila michango yoyote huku Ukipata huduma stahiki tofauti na sasa elimu ni Bure lakini michango ni mara 10 zaidi ya ada ya iliyofutwa
Pia ulipata huduma za afya bure na dawa zilikuwa zinapatikana huku sasa hivi pamoja na kichangia na uwepo wa NHIF lakini bado watu wanabaguliwa kwa baadhi ya magonjwa.
Huyo mwamba pamoja na kwamba inaonekana alifeli ila najiuliza kama kungekuwa na cost sharing ya huduma za kijamii kama sasa maana yake tungekuwa tumesogea zaidi maana kipindi kile mwamko wa wananchi kuchangia Maendeleo ulikuwa mkubwa. Makusanyo yote yalipelekwa kwenye kutoa huduma za kijamii pasipo kuboresha miundombinu
Ila mwisho wa siku pambana acha kulia lia, Nyerere ametoka madarakani miaka 40 iliyopita hivyo hakuna excuse maana miaka 40 ni mingi kuleta mabadiliko hata kama alichemsha