Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

Si
Tangu miaka ya 1970 hadi leo maisha yamekubonda unaanza kusingizia marehemu?Huu ni uvivu kamili.Hata dhambi zako utawasingizia wana TANU?Tuache uvivu wa kufanya kazi na akili mdebwedo.😂😂😂
Sijasema maisha yamenipiga,lakini kwa namna moja au nyingine yawezekana Uongozi mbaya umechangia kuhalibu maisha yangu
 
KKu
Kama ulizaliwa mwaka 1970 basi by 1985 Nyerere akitoka madarakani ulikuwa na miaka 15.

Hukuwa na akili ya kujua mambo. Endelea kujuzwa na waliokuwepo ili uelimike.

Hakuna Tanzania yenye utulivu huu tulionao bila mchango mkubwa wa baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere
Tofautisha Kati ya utulivu na ujinga,unaweza ukawa na utulivu wakati huna haki?tunaitaji haki kwanza kabla ya utulivu
 
Watu wenye roho mbaya ndivyo walivyo uwa wanajijali wenyewe tu na wanapenda sifa na kuabudiwa na ndivyo hali ilivyo hivi sasa nchini mwetu,
Nyerere anaabudiwa kuliko Mwenyezi Mungu aliyetuumba,kila kitu utasikia Mwalimu alisema!
Angalia hata Muungano tulionao ulistahili kabisa muundo wake kupitiwa upya lakini ni kama vile kila kiongozi anaogopa kuchokonoa jambo hilo kwani anaona atauudhi mzimu wa Nyerere sasa labda tusubiri hadi vile vizee vyote vinavyomuabudu huyo bwana mkubwa vife vyote.
naomba nikuunge mkono. haya yanayoendelea leo msingi wa matatizo ni yeye. upumbavu wa zidumu fikra za mwenyekiti..michezo ya kuteka wapinzani alianza yeye kwa kuwateka na kuwaweka vizuizini na kuwanyima haki ya kuonwa na ndugu wala familia zao. hawa wa sasa wanafata nyayo.
 
Nyerere ndiye mtume wa kweli wa Tanzania.

Ujamaa ndio mfumo bora wa maisha ya Mwanadam.

mfumo wa Kibepari hauwezi kuendelea bila dhulma na kuua watu kama wanavyofanya wazungu na waarabu.

Dunia imejaa makaburi ya watu waliouawa na Mabepari wa kizungu na kiarabu kutokana na ubinafsi.

Mfumo wa kijamaa wa Nyerere ndio uliowafanya leo hii akina Mwinyi ,Kikwete ,Samia na marafiki zao kujitwalia rasilimali za nchi na leo ni mabilionea bila kuwa na historia ya biashara hata ya mchicha halafu machawa wao na wezi wangine wanamtukana Nyerere.

Ni nchi gani maskini yenye uwezo wa kupigana vita kwa miaka miwili bila kuyumba kiuchumi wakati huo huo adui yake anasaidiwa na mataifa makubwa ya Marekani ,Libya na Saudi Arabia.

Au haujui kuwaI Iddi Amini alipandukizwa na Marekani kuipindua Uganda kwa sababu ya mafuta na baadae akapata sapoti ya nchi za kiarabu kuivamia Tanganyika. ?

Nchi gani ya Afrika yenye makabila mengi na dini tofauti ambayo ina maendeleo ya kitaifa zaidi ya majimbo na ukabila na vita huku sehemu kubwa ya wananchi wakiwa hawana ardhi.

Yaani hata muumkashfu Nyerere kuhalalisha wizi wenu na uporaji wa rasilimali za nchi lakini atatokea Mtu mwingine na atasimamia dira ya nchi yetu. Nchi haina dira kwa sasa.
Nchi zote za Ulaya ni nchi zenye mfumo wa kijamaa na wazungu ni wajamaa ila ni wabaguzi na hawana ujamaa na wanadamu wengine linapokukuja suala la maslahi yao.

Leo hii kila kitu ni tozo na kodi lakini mnashindwa kuleta maendeleo ya nchi mnamlaumu Nyerere.
Watawala ni matrilioneo kwa muda mfupi badala ya kuwahoji na kuwauliza kuwa sheria ya maadili ya utumidhi wamemtungia nani kama wao haiwahusu?

Nyerere aliacha mashirika ya umma 360 mkagawana na wahindi ,wazubgu na waarabu halafu mnamlaumu Nyerere.

Wakati wa mkoloni ni mkoloni yupi aliyekua anaiba fedha za umma ili akajenge nyumba yake binafsi ?
Mbona wakoloni na ubaya wao lakini waliwaweka watumishi wenye maadili na kujenga nyumba za watumishi kulingana na mahitaji?

Leo anaajiriwa Mwalimu,mwanajeshi,polisi, magereza kwa mshahara mdogo halafu hapewi nyumba wala usafiri halafu watu wanamlaumu Nyerere.

Nyerere ndiye Nabii na Mtume wa Watanganyika .

Kabla ya uhuru watu walikua maskini sana na shule,hospitali zilikua ni za dini . Nyerere amestaafu shule zipo kila kijiji nchi nzima pamoja na dispensari na madawa bure leo mnamtukana mtu aliyewanyanganya mashetani Wakoloni mali walizozipata kwa kuwaua na kuwauza babu zetu.

T?uendelee kuwasomesha hadi waelewe
 
Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukali, Mafuta na hata nguo.

Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni inchi ikiwa vizuri.

Je, Uongozi ulimshinda?
Nimeuliza wazee wakasema ndio hakukuwa na sukari ,nguo kwa baadhi ya watu , wala chakula chakutosha
 
Wewe itakua ulikua unalamba miguu ya nyerere
 
Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukali, Mafuta na hata nguo.

Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni inchi ikiwa vizuri.

Je, Uongozi ulimshinda?
Azidi ya 80% ya watanzania walizaliwa baada ya Nyerere kuondoka madarakani. Hivyo matatizo mengi ni ya watanzania na na viongozi waliopo
 
naomba nikuunge mkono. haya yanayoendelea leo msingi wa matatizo ni yeye. upumbavu wa zidumu fikra za mwenyekiti..michezo ya kuteka wapinzani alianza yeye kwa kuwateka na kuwaweka vizuizini na kuwanyima haki ya kuonwa na ndugu wala familia zao. hawa wa sasa wanafata nyayo.
Ongezea hili likatiba lenye kumpa absolute power president ni yy ndie alihusika
Mbaya zaidi hata baada ya kukiribkua katiba inampa madaraka makubwa rais hakufanya juhudi za maana kulekebisha, matokeo yake viongozi vichaa waliofuata wakaanza kutusulubu kupitia mwanya huo huo.
 
Nyerere ndiye mtume wa kweli wa Tanzania.

Ujamaa ndio mfumo bora wa maisha ya Mwanadam.

mfumo wa Kibepari hauwezi kuendelea bila dhulma na kuua watu kama wanavyofanya wazungu na waarabu.

Dunia imejaa makaburi ya watu waliouawa na Mabepari wa kizungu na kiarabu kutokana na ubinafsi.

Mfumo wa kijamaa wa Nyerere ndio uliowafanya leo hii akina Mwinyi ,Kikwete ,Samia na marafiki zao kujitwalia rasilimali za nchi na leo ni mabilionea bila kuwa na historia ya biashara hata ya mchicha halafu machawa wao na wezi wangine wanamtukana Nyerere.

Ni nchi gani maskini yenye uwezo wa kupigana vita kwa miaka miwili bila kuyumba kiuchumi wakati huo huo adui yake anasaidiwa na mataifa makubwa ya Marekani ,Libya na Saudi Arabia.

Au haujui kuwaI Iddi Amini alipandukizwa na Marekani kuipindua Uganda kwa sababu ya mafuta na baadae akapata sapoti ya nchi za kiarabu kuivamia Tanganyika. ?

Nchi gani ya Afrika yenye makabila mengi na dini tofauti ambayo ina maendeleo ya kitaifa zaidi ya majimbo na ukabila na vita huku sehemu kubwa ya wananchi wakiwa hawana ardhi.

Yaani hata muumkashfu Nyerere kuhalalisha wizi wenu na uporaji wa rasilimali za nchi lakini atatokea Mtu mwingine na atasimamia dira ya nchi yetu. Nchi haina dira kwa sasa.
Nchi zote za Ulaya ni nchi zenye mfumo wa kijamaa na wazungu ni wajamaa ila ni wabaguzi na hawana ujamaa na wanadamu wengine linapokukuja suala la maslahi yao.

Leo hii kila kitu ni tozo na kodi lakini mnashindwa kuleta maendeleo ya nchi mnamlaumu Nyerere.
Watawala ni matrilioneo kwa muda mfupi badala ya kuwahoji na kuwauliza kuwa sheria ya maadili ya utumidhi wamemtungia nani kama wao haiwahusu?

Nyerere aliacha mashirika ya umma 360 mkagawana na wahindi ,wazubgu na waarabu halafu mnamlaumu Nyerere.

Wakati wa mkoloni ni mkoloni yupi aliyekua anaiba fedha za umma ili akajenge nyumba yake binafsi ?
Mbona wakoloni na ubaya wao lakini waliwaweka watumishi wenye maadili na kujenga nyumba za watumishi kulingana na mahitaji?

Leo anaajiriwa Mwalimu,mwanajeshi,polisi, magereza kwa mshahara mdogo halafu hapewi nyumba wala usafiri halafu watu wanamlaumu Nyerere.

Nyerere ndiye Nabii na Mtume wa Watanganyika .

Kabla ya uhuru watu walikua maskini sana na shule,hospitali zilikua ni za dini . Nyerere amestaafu shule zipo kila kijiji nchi nzima pamoja na dispensari na madawa bure leo mnamtukana mtu aliyewanyanganya mashetani Wakoloni mali walizozipata kwa kuwaua na kuwauza babu zetu.
Pole sana kwa kukasirishwa na maoni yangu,ushauri wangu jifunze kuwa mvumilivu hata pale mtu mwingine anapokuwa na mtazamo tofauti na wako vinginevyo utaumia kichwa dunia ndivyo ilivyo.
 
w

Ndio maana Vita ipo kuanzia mbinguni .Mpaka mtoto mdogo anang'ata ziwa la mama yake anayemnyonyesha . Yote ni makasiriko yanayotokana na kukosa shukrani. Mtu asiye na shukrani sio tu anakera lakini pia ni mnafiki.
 
Shukrani Gani wewe Nyerere ni mjinga mmoja tu hajafanya lolote kwenye hii nchi
 
Back
Top Bottom