Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Pole. Move on. Usilazimishe kupendwa usipopendwa. Ni tabia mbaya sana.
 
Pole sana,kama ni wa kwako atarudi lakini pia asiporudi mwache aende mwana kwenda.
Ni heri uchumba uvunjike kuliko ndoa,na itokee uachwe na watoto ndo utajua dunia si salama
Kama umeachwa salama shukuru Mungu,wa kwako atakuja.
 
Njoo private nikushauri,ishu ndogo sana hii,usinipuuze Tafadhali
 
jifunze kuwa na plani b. Huna haja ya kujidhuru majibu ya maswali yako yote yako katika wimbo wa ambwene mwasongwe uitwao "nimeachilia" utafte utanishukuru baadae
 
Labda aliona unalazimisha sana ndoa na yeye hayupo tayarii so akaona bora akupotezee kimya kimyaa kuliko kuendelea kuumiza kichwa mtu ambae huelewii na huna subra.
 
Inawezekana bt jambo jingine ambalo huwacost wanawake hasa ktk kipindi cha uchumba kuelekea ndoa ni MITONGOZO.

Wanaume hua tukinusa hili, hata kama hukua na nia ya kukubali hua tunakua disapponted vibaya mno.
Sijawahi kumcheat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…