Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Sasa Wewe ndio Umeanza Kumtumia Sms za Kumuacha sasa Mbona Unahuzuni au ulikuwa Unamjalibu Na Kumbuka Sa hivi Maisha ya Sasa Wanaume Wenye Kujitambua Hawahangaiki Snaaaa na Mapenzi Ukianza Kumforce Sanaa Akuoe au akatoe Mahali ujue Una Nafasi kubwa Sanaa ya Kumpoteza Coz Unaweza Kuna huyo Mtu Uchumi haujakaa Vizur Bado anajitafuta Sas na Wewe badala Umtie Moyo na Uvute Subili unataka Umchnganye na Mambo ya Ndoa Ujue Unampteza Mtu Haraka Sanaaa
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Hii style yenu ya ku test mitambo itawaua!!

Huwa mnafikiri mmetushika ghafula eti"nakutakia maisha mema" na sisi tunajibu"kuachana sio kifo Wala hakuna tetemeko la ardhi litatokea na kuua watu,bas poa!matokeo yake mnahamaki labda tungeomba msamaha !!

Ujinga ni mzigo!
 
Pole sana

Inauma sana kuachwa na mpenz mwenye pesa yaan mwenye hela

Najua huyo jamaa alikuwa na hela kama angekuwa kapuku kama Mimi hapa wala hata usingehangaika naye
😂 😂 😂.... Mkuu umejua kunichekesha sana aisee!!

Mimi yupo mmoja nilimzingatia sana yaani naweza kusema ni moja ya mahusiano yangu yaliyotumia hela zangu nyingi kuanzia shopping, kula, bills kama zote...

Siku moja niliamua kukaa kimya hakuwahi kuamini mpka leo kumbe ndo nimemuacha hivyo! 😁😁😁
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Jamaa ashajua uchafu wako.
 
😂 😂 😂.... Mkuu umejua kunichekesha sana aisee!!

Mimi yupo mmoja nilimzingatia sana yaani naweza kusema ni moja ya mahusiano yangu yaliyotumia hela zangu nyingi kuanzia shopping, kula, bills kama zote...

Siku moja niliamua kukaa kimya hakuwahi kuamini mpka leo kumbe ndo nimemuacha hivyo! 😁😁😁
Why ulimuacha
 
Asilimia kubwa ya sisi wanaume hatuwi tested. Kitendo cha kuthubutu kuandika tuachane wanaume wengi hatuwezi jisumbua wala kujigusa inakuwa imeisha.

Pia kukaa kimya kwa muda fulani ni njia ya kuacha mambo yapite salama kama kulikuwa na tofauti. Na hii tunafanya kwa wanawake wanaongea sana kwa lugha mbovu na hawataki kujishusha.

Kuna hili lingine nikisema litakuumiza ukiona bado harespond kubali yaishe
Hilo ngoja nimalizie, kuna wanawake wana shoo mbovu yaani ukipiga hutamani hata kuendelea mapenzi...

Unaweza kusubiri labda atabadilika lakini wap... Mwisho wa siku unaamua kupiga kimya kama jamaa!
 
😂 😂 😂.... Mkuu umejua kunichekesha sana aisee!!

Mimi yupo mmoja nilimzingatia sana yaani naweza kusema ni moja ya mahusiano yangu yaliyotumia hela zangu nyingi kuanzia shopping, kula, bills kama zote...

Siku moja niliamua kukaa kimya hakuwahi kuamini mpka leo kumbe ndo nimemuacha hivyo! 😁😁😁
Na wanawake wake wakiwa wanapewa pesa wao wanaamin kuwa wanapendwa, kumbe wanapigwa

Pole zao sana

Mtukumbuke na sisi vijana wenzenu ambao hatuna mitaji bro hapa naomba nipate mtaji wowote ule hata laki tano tu inanitosha ndugu yangu
 
Je ni mara ya kwanza kuachwa au kuacha??

Kama ndio vumilia na utambue ndio jinsi inavyokuwa wakati mwingine na jipe matumaini kuwa atakuja mtu ambae hatakuacha na utaelewa kuwa mapenzi ni matamu sana ukimpata mtu sahihi

Na je sio mara ya kwanza?

Basi elewa what goes around comes around, piga moyo konde, oga kisha rudi sokoni

Maisha ni mafupi sana kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu ambao hawatambui umuhimu wako
 
Back
Top Bottom