Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Pole sana. Alikuwa na mpenzi wake wakati mko pamoja. Wewe ulikuwa mchepuko.Karbu PM tuliwazane mkuu. Mpenzi wangu ameniacha na kafanyiwa sendoff last week huko marangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana. Alikuwa na mpenzi wake wakati mko pamoja. Wewe ulikuwa mchepuko.Karbu PM tuliwazane mkuu. Mpenzi wangu ameniacha na kafanyiwa sendoff last week huko marangu
Bado unampenda huyo, akija na excuse yoyote unarudi kundini.Sawa nimeshafuta mawasiliano yake mpaka namba ZA ndugu zake
Siwezi kufanya Ivo mkuuBado unampenda huyo, akija na excuse yoyote unarudi kundini.
Iliamua ukiwa na hasira.
Kama umeamua kuachana nae ni sawa, ila ni vizuri ukawa na maamuzi yasiyoyumbishwa na unayoamini hutajilaumi au kujuta baadae.
Sio mwamba kaoa huko, unaanza kuleta vagi mara kupinga ndoa nakuleta fujo kwa mkewe. Wanawake wengi wanakuaga hivyo.
Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Kitendo cha yeye kupost tu ni dhahiri bado anampendaBado unampenda huyo, akija na excuse yoyote unarudi kundini.
Iliamua ukiwa na hasira.
Kama umeamua kuachana nae ni sawa, ila ni vizuri ukawa na maamuzi yasiyoyumbishwa na unayoamini hutajilaumi au kujuta baadae.
Sio mwamba kaoa huko, unaanza kuleta vagi mara kupinga ndoa nakuleta fujo kwa mkewe. Wanawake wengi wanakuaga hivyo.
Mwenzie anatumia akili kusogeza kete, yeye anatumia hisia.Kitendo cha yeye kupost tu ni dhahiri bado anampenda
Sawa, good for youSiwezi kufanya Ivo mkuu
Ulikuwa unampenda au ulikuwa na mapenzi na yeye? Why this question b'se mwanamke hajapewa kupenda, amepewa kutii
Ni wanawake wachache sana wanaweza kupenda, ni wale waliopata Neema ya kujenga logic ndani yao
Nlikua nampenda mkuuUlikuwa unampenda au ulikuwa na mapenzi na yeye? Why this question b'se mwanamke hajapewa kupenda, amepewa kutii
Ni wanawake wachache sana wanaweza kupenda, ni wale waliopata Neema ya kujenga logic ndani yao
Huyo jamaa amegundua nini juu yako, una tatoo za mtu wako wa zamani sehemu za siri au alifuma sms za mtu anayekudanganya?Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Unaonekana ni wife material, jaribu kumtafuta anapoishi, nenda kafanye ziara ya ghafla then mkae muongee vizuriMimi sijawahi muonesha kiburi Wala ujeuri always namuachaga yeye awe juu Mimi nakua chini hata kama akinikosea nabaki kwenye nafasi yangu
Endelea kuumia nyie ndio tumbili na visokolokwinyo mnaopaswa kuteseka mashetani wa bustani ya Eden ndio tuzo yenuHello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Nlikua nampenda mkuu
Hata ukifanya hatuwezi kujua na huwezi kutuambiaSiwezi kufanya Ivo mkuu
Ukiona Marangu tu basiiiiiKarbu PM tuliwazane mkuu. Mpenzi wangu ameniacha na kafanyiwa sendoff last week huko marangu
Pole dada, lakini jifunze, mwanamke hana uwezo wa kumpenda mtu labda mwanao wa kumzaa vinginevyo mnajioendaga nyinyi tuBaada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majiHili
Hili nalo litapita 😎Tutaaminije lakini samahani