Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Pole sana Mjukuu

Imani yangu kwamba, Kila jambo hutokea Kwa sababu.

Huenda huyo mpenzi wako, angekusumbua mbele ya safari

Hivyo Mungu ameamua kukuepusha na mengi

Wito wangu kwako, ni kuendelea kuwa imara ukizidisha maombi. Yupo Mume sahihi ambaye Mungu amekuandalia.

Kama nafasi inapatikana, uje Kijijini utusalimie Mimi na Bibi yako.

Kuna Kijana hapa jirani wa Mzee Mkwizi hajaoa, unaweza ukaja tukawakutanisha mkawa marafiki 😜
😍😍😍😍Ahsante babu nitafunga safari
 
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Wewe ni bogus ,hujielewi nini unakitaka
 
Bora wewe mchumba, mimi nauona mwaka unaisha kwa divorce ambayo wifr ana force baada ya miaka 15 ya ndoa na watoto wa 4.
Nimeamua kumpa anachotaka.
Hapa kesho nimeitwa dawati la jinsia polisi.
fresh tu.
Wakati mwingine watu hudhani maisha yanazunguka kwenye dunia yao.
Kila akikaa tuachane tuachane, mi mtu alinitishia talaka ah weee mbona nilimfurahisha!
Ndo ikawa ntolee!
Unafanya ujinga af unanitishia kuniacha, mxxxxiiiiieee!
 
Andante me pia nliona ameamua kuniacha kimya kimya
Ukaona umalize kwa sauti!
Unajua kuwa wapenzi pia ni watu enh, na sio kila mtu akibadilika anamaanisha muachane.
Watu wanapitia vitu vigumu maishani.
Pengine ilikuwa ni nanmna yake ya kujitafuta, ikampasa kukaa mbali au kuwa mkali hata kwa awapendao!
Shida ni mnahitimishaga tu , kapata mwanamke/mwanaume.
Watu wana mengiiii! Hayahusiani hata na usaliti au kutaka kuachana, nyie mnakurupuka tu!
Tuachane!NDO haya sasa unaachwa kweli unaweweseka!
 
Kuna watu mapenzi yana watesa hadi hawajielewi? Seriously?
Aseeeh Poleeeee
 
Dm me nikupe dawa ili uvuke wakati huu mbaya. Nakupatia tu ushauri na maneno ama tiba utapona
 
Mara tatu unaandika tuachane ? Unaanzishaje ugomvi wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo ?
Anyway, mimi mwenyewe nimeachawa hapa! Kama vipi tupeane company, ukipata mtu sahihi u'move on.
 
Pole sana siyo yule anatuandikia thread kaachwa kisa kachora tattoo makalioni kuna watu hata staha hawana hata ku comment nilishindwa, unachora tattoo tena matakoni ili iweje alafu unakuja kulalamikia watu.
 
Back
Top Bottom