Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Miss_Mariaah
Binti mrembo.
Ni jambo la kusikitika kuumiza moyo kwa mtu ambaye haoni thamani yako tena.
Haijalishi ni mzuri kiasi gani lakini kama amekuvunja moyo hupaswi kumpa nafasi ya kuomboleza na kumkumbuka.

Furabia maisha, ukweli ni kwamba hupendwi wewe kama wewe isipokuwa eidha your good looking, hekima/ busara zako, uli honacho...baaasi.

Jifunze kuishi wewe kama wewe.
Furaha yako ikimtegemea mwanadamu utalia kila siku.
 
Noma sana!
 
Ukilinganisha na wanaume, wanawake mnaongoza kuzingua kwenye mapenzi, unaweza kukuta kuna jamaa ulishamzingua kabla ya kumpata huyu..........jitahidi kuwa mvumilivu kujua kulikoni, na hao wanaokushauri kwamba mwanaume hafai kunyenyekewa wanakupoteza.

Katika mambo yanayojenga taswira imara ya mwanaume kwa mwanamke ni utii na unyenyekevu. Kimwonekano ameshakupenda, lakini utii wako na unyenyekevu kwake kunakufanya uwe bora zaidi ya hao wengine wazuri kama wewe au labda wamekuzidi kiasi, hii ni siri nawaibia wanawake.
 
Maybe help me to understand, umesema juzi kati ukamtumia sms ya kuachana na hakukujibu kitu.
Sasa kama wewe ndiye uliyemuacha nini kinakuumiza leo?
😂😂..alikuwa anapima mambo bhana
 
Angalia angalia mwingine chap azibe pengo, jitahidi ukiachika asubuhi jioni uwe kwenye new and happy relation.
 
Hapa ndo panaponishandaga mwenzio hii rukaruka siiwezagiii
Hakuna Kitu kibaya kama umeachana Na mtu alafu ukaanza mahusiano gafla hapo unakua unamtumia mwenzako kama kipoozeo unaweza ukaona hajafit standard zako ukajikuta unahamia kwingine Napo ukakosa unachotaka ukahamie Kwanza mwishowe unajikuta MTU wa kurukaruka Na kuumiza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…