Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Maybe help me to understand, umesema juzi kati ukamtumia sms ya kuachana na hakukujibu kitu.
Sasa kama wewe ndiye uliyemuacha nini kinakuumiza leo?
Hapo zilikua zimeshapita week mbili mkuu nikimpigia hapokei sms hajibu nilimtumia break up text nione kama ata make effort kuokoa mahusiano ndo nikarealize kama alidhamiria tuachane
 
Huo ni mtego na mtihani kakupa Sasa jichanganye uone maana utakuwa umefeli mazima na atakuja kukwambia. Huyo ni mmeo tulia tu
 
Be strong.....jivute pembeni kwa muda kama ana kupima ......atarudi mwenyewe uwe stromg akirudi mpe conditions usimuonyeshe uko desparate..vumiliaa haijaisha hadi oiishe anakupima tu huyoooo.......usifanye ujinga wowote now tulizanaaa
Mkuui ananipimaje kunikalia kimya week 3 Na hatukugombana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…