Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hapana sema nikuambie this is personal issue ujueNaomba tuambie mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sema nikuambie this is personal issue ujueNaomba tuambie mkuu
Ni week 3 mkuuWewe sio mvumilivu yani amekupima kutokukujibu ndani ya siku 5 tu alafu wewe umemtumia sms ya kuachana Sasa unakuja kulalamika Nini? pita hivi
Pole sana. Tangaza watia nia waje sasa maana jimbo lipo waziMkuu nliona kimya kimezidi
Kuna mtu aliwahi kuni beep kwa staili hii nikapiga akabaki analia.😀😀Maybe help me to understand, umesema juzi kati ukamtumia sms ya kuachana na hakukujibu kitu.
Sasa kama wewe ndiye uliyemuacha nini kinakuumiza leo?
Wanaume aiseesee unampimaje mtu Kwa kumtesa ivoUvumilivu na mengine atakuchunga sana hapo usifanye ujingaa shauri yako utanishukuru baadae relax na ww keep calm amd distance
Yeye alimtumia sms ya kuachana sasa anataka nini ?Maybe help me to understand, umesema juzi kati ukamtumia sms ya kuachana na hakukujibu kitu.
Sasa kama wewe ndiye uliyemuacha nini kinakuumiza leo?
💯@% correct!! Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mwanadada mmoja ikafika wakati tukahitilafiana. Akawa anapiga simu kwa marafiki zake wakipiga stories ikifikia kipengele cha kunizungumzia mimi anatamka kauli moja kuwa yeye huwa haachwi badala yake yeye anaacha 😆😆😆😆 alikuja kukutana na surprise ya mwaka mamamamaaaaaamaaaeeeeeniliwahi kusikia wao wanapenda kuwahi kuacha
wanahesabia kama ni ushindi
Ulikua unataka umshikishe ndoa kakushtukia.Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu Niko Katika Hali mbaya mawazo Mabaya YA kujidhuru yananijia kichwani....sijawahi kupenda kama nilivompenda yeye kila kitu kilikua vizuri gafla akakata mawasiliano week 3 nikimpigia hapokei sms hajibu nimehangaika nikaongea Na dada Na kaka yake lkn bado alinikalia kimya....mara ya mwisho kuwasiliana nae tuliwasiliana vizuri tu...mipango yetu ilikua tufunge ndoa Na alipanga mwezi Huu aje nyumbani kujitambulisha lkn gafla imrtokea Bada ya kimya kirefu siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu...naumia Na sijawahi kumkosea chochote Ila ameamua kunifanyia Huu ukatili
Naumia Sana najiuliza maswali ambayo sipati majibu
bado maisha ya kupimana yapo siku hizi????Be strong.....jivute pembeni kwa muda kama ana kupima ......atarudi mwenyewe uwe stromg akirudi mpe conditions usimuonyeshe uko desparate..vumiliaa haijaisha hadi oiishe anakupima tu huyoooo.......usifanye ujinga wowote now tulizanaaa
Na unampimaje mtu Kwa ukatili hivibado maisha ya kupimana yapo siku hizi????
Yeye ndiye hamtaki jamaa we umeona amesema alimtumia sms ya kuachana.Wewe songa mbele hakutaki , ni afadhali kakaa kimya bila hata kukutukana wala kukudhuru huyo sio wako anaye wake mwingine, usihangaishwe na mapenzi jali mambo yako tu
No am 28 yearsMbona presha ama age gooo? Unaweza kujihisi huna kasoro ama hujawahi mkosea kumbe hujijui ,,,, Pole, kunywa maji mengi, fanya ibada, focus na mambo yako,,,, pengine hakuwa wako ,,, maisha lazima yaendelee !
Hapo ushazamia PM kudaka chozi za mtoto.pole, yatapita bwana
wanawake hawajiui kwasababu ya mapenzi sisi ndo tuna huo ujinga