Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Wanawake bwana, sababu za kuandika "tuachane" wakati kiuhalisia haupo tayari kwa hilo ni nini?
Tatizo lao wengi wa wanawake huwa wanabadili jambo analohisi tu, hana uhakika nalo kuwa la kweli. Alihisi kaachwa kisha badala ya kuvuta subira atafiti ni nini tatizo la kukatika ghafla kwa mawasiliano baina yake na boyfriend wake, yeye katangulia mbele zaidi akaamua kumuandikia sms ya kuachana.
 
Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu Niko Katika Hali mbaya mawazo Mabaya YA kujidhuru yananijia kichwani....sijawahi kupenda kama nilivompenda yeye kila kitu kilikua vizuri gafla akakata mawasiliano week 3 nikimpigia hapokei sms hajibu nimehangaika nikaongea Na dada Na kaka yake lkn bado alinikalia kimya....mara ya mwisho kuwasiliana nae tuliwasiliana vizuri tu...mipango yetu ilikua tufunge ndoa Na alipanga mwezi Huu aje nyumbani kujitambulisha lkn gafla imrtokea Bada ya kimya kirefu siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu...naumia Na sijawahi kumkosea chochote Ila ameamua kunifanyia Huu ukatili
Naumia Sana najiuliza maswali ambayo sipati majibu
Kipenzi mpendwa
Mosi, elewa kwamba upendo mkubwa na mkuu sana una mstari mwembamba sana na eneo la chuki kubwa mno. Hivyo unachokipitia ni kiwa mmevuka mstafi mwembamba unaotenganisha upendo na chuki.
Pili, ni kwamba. Mwanaume yeyote usijirahisi kwake sana yaani kujinyenyekeza kulikopitiliza wakati wa uchumba. Mume ndo mnajenga kunyenyekeana
Tatu, mama Fatuma ana mabinti watatu na mmoja anaitwa Tatu. Siku zote mama yake anamuusia Tatu na dada zake kwamba KATU USIYACHUKULIE MAPENZI kama ndiyo hatima ya maisha yako. Hivyo ninakushauri kwamba, usiwaze kujidhuru maana Mungu atakuletea mchumba wa moyo wako atakayekuwa mkweli kwako na kujali hisia zako
 
Amen
 
Back
Top Bottom