Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Wewe acha unafiki hapa,

Ulikua unatuma picha za watu waliouawa Gaza,picha ambazo hazikua nzuri kiubinadamu,

Nikakuripoti kwa moderator,ila ukawa unazidi tu kutuma hizo picha kwa makusudi,

So,acha unafiki wako hapa na kujifanya eti una busara.
Kuuwawa kwa magaidi ni jambo la furaha kwa kila mpenda amani
 
Pole sana aise,

huenda anakupima imani na upendo wako dhidi yake,

Lakini pia huenda anataka kujua na kuthibitisha uwezo wako wa ustahimilivu na moyo wako wa subra.

Jambo la muhimu sana ni kuvumilia, Lakini zaidi sana ni kumuombea Mungu huko alipo, na akiwa mgonjaAwa basi apone haraka ili hatimae muendelee kua pamoja katika kutimiza mipango na azma yenu ya kua familia moja kupitia ndoa takatifu.

kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu.

Mungu akubariki sana sana wewe na huyo mchungaji wako, usivunjike moyo 🐒
Amina lkn hatakama kunipima ndo week 3 mkuu
 
Hapo kuna mawili,
1. anakutest kama alishafikia mpaka hatua ya kukuoa
2. Anakupa silent treatment ili ujiongeze mwenyewe maana hataki kukwambia hakutaki.
Hii ya silent treatment inaumiza vibaya na nikupe tu pole maana ulishazama.
Nikushauri tu, jijali zaidi jitoe out.. vaa pendeza, kula vyakula unavyovipenda, safiri kwenda sehemu uliyokua unatamani kwenda yan inshort hebu amua kujipa furaha ww mwenyewe.
Na baada ya muda utakaa sawa japo si rahisi.
Pole sana!
Andante me pia nliona ameamua kuniacha kimya kimya
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Make kwanza ni cheke 😂😂😂unakalibisha mahojiano!
 
Pole sana dada, tambua jamaa alikuwa anakupenda na pengine bado anakupenda ila kutokana sababu kadhaa ameamua kuvunja uhusiano.
Kwako wewe bora nusu shari kuliko shari kamili.
Mshukuru mwenyezi Mungu.
Ahsanteee mkuuu Yote yanawezekana
 
Pole kama ni mwanaume mwenye akili atajua humaanishi, ila kama nae anatumia hisia kama wewe, mtasuluhisha kwa tabu hilo suala, usipende kumwambia muachane mtu ambae humudu kuachana nae.

Kama ushatumia means zote kumtafuta na bado hajibu, na wewe utulie sasa, kumtafuta zaidi na huku anaona kabisa unamtafuta ni kuzidi kumsumbua tu na wewe kujitesa zaidi.
Sawa nimeshafuta mawasiliano yake mpaka namba ZA ndugu zake
 
Back
Top Bottom