Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
- #141
28Una umri gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
28Una umri gani
Ndio ushapigwa kitu kizito washa redio uwasukilize Miso na ReiMara YA 3
Kanikalia kimya tuuu kaondoka kimyakimyamme achanaje
Hapo titi lishakua mtindi huyo mtoto unataka anyonye maziwa yaliyochacha maana jamaa wamenyonya mpaka kitu kimekua malapa
Mtihani ananipima nn hapa week 3 MTU haongei Na wewe Kuna Upendo kweliHuo ni mtego na mtihani kakupa Sasa jichanganye uone maana utakuwa umefeli mazima na atakuja kukwambia. Huyo ni mmeo tulia tu
Na wewe kaa kimya au unataka bwana wa kukupooza upwiru usemeKanikalia kimya tuuu kaondoka kimyakimya
Oya mbona unarusha missiles hivyo, hyu Dada kakukosea nn.Hapo titi lishakua mtindi huyo mtoto unataka anyonye maziwa yaliyochacha maana jamaa wamenyonya mpaka kitu kimekua malapa
Kashakuondoa kwenye menu list hauna maajabu unatuma meseji hajibu unapiga hapokei kifupi lala mbele huelewi au?Mtihani ananipima nn hapa week 3 MTU haongei Na wewe Kuna Upendo kweli
Kama hajakuzalisha na kukuachia majukumu ya kulea,, usihofu, anayeonewa mara zote hutetewa. Huyo sio wako, hukupangiwa.Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Ukamtumia sms ya kuachana.Hello wakuu,

Pole sana aise,Hello wakuu,

Changia tu mkuu nitayapokea maoni yakoUkituliza akili,
Niite nije kuchangia uzi,
Kwasasa hivi huwezi kunielewa.
Gentleman kwenye moja na mbili.Pole sana aise,
huenda anakupima imani na upendo wako dhidi yake,
Lakini pia huenda anataka kujua na kuthibitisha uwezo wako wa ustahimilivu na moyo wako wa subra.
Jambo la muhimu sana ni kuvumilia, Lakini zaidi sana ni kumuombea Mungu huko alipo, na akiwa mgonjwa basi apone haraka ili hatimae muendelee kua pamoja katika kutimiza mipango na azma yenu ya kua familia moja kupitia ndoa takatifu.
kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu.
Mungu akubariki sana sana wewe na huyo mchungaji wako, usivunjike moyo 🐒
Wanahisi kupata relief wakiwa wa kwanza kuacha?niliwahi kusikia wao wanapenda kuwahi kuacha
wanahesabia kama ni ushindi