Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Polee sana kwa changamoto. Inauma sana kwa mtu uliyezoea kuwasiliana kila siku ghafla akate mawasiliano.
Inaweza kuwa ni hisia zako tu lkn kusiwe na kitu kibaya kati yenu. Wanaume wengi wakiwa na changamoto wanapenda kuwa kimya na kutowasiliana lkn wanawake tukiwa na changamoto tunapenda kuongea na wale tunaowapenda.

Ilishawahi kunitokea ktk mahusiano yangu ya kwanza ghafla mwenzangu kakata mawasiliano ikawa inapita wiki ndo anakutafuta. Hali ile ikanikera nikaanza kumtumia mistari ya biblia ya upendo. Akasema tu kwa hiyo unanifundisha kukupenda? Kama unaona sikupendi basi kila mtu aendelee na maisha yake. Basi nikakubali nikaendelea na maisha yangu.

Miaka mingi ilipita tukaja kuonana katika stori akasema alikuwa anapitia changamoto ya kifamilia ambapo wazazi walitengana na yeye ndo mkubwa akaanza kubeba majukumu ya kifamilia.

Kwa hiyo usijipe majibu kabla hujasikia upande wake. Kama kwake unakujua funga safari nenda.
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Kama hajakuzalisha na kukuachia majukumu ya kulea,, usihofu, anayeonewa mara zote hutetewa. Huyo sio wako, hukupangiwa.
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Ukamtumia sms ya kuachana.
Yeye afanyeje sasa wakati wewe umemwaçha?
 
Pole sana aise,

huenda anakupima imani na upendo wako dhidi yake,

Lakini pia huenda anataka kujua na kuthibitisha uwezo wako wa ustahimilivu na moyo wako wa subra.

Jambo la muhimu sana ni kuvumilia, Lakini zaidi sana ni kumuombea Mungu huko alipo, na akiwa mgonjwa basi apone haraka ili hatimae muendelee kua pamoja katika kutimiza mipango na azma yenu ya kua familia moja kupitia ndoa takatifu.

kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu.

Mungu akubariki sana sana wewe na huyo mchungaji wako, usivunjike moyo 🐒
 
Hapo kuna mawili,
1. anakutest kama alishafikia mpaka hatua ya kukuoa
2. Anakupa silent treatment ili ujiongeze mwenyewe maana hataki kukwambia hakutaki.
Hii ya silent treatment inaumiza vibaya na nikupe tu pole maana ulishazama.
Nikushauri tu, jijali zaidi jitoe out.. vaa pendeza, kula vyakula unavyovipenda, safiri kwenda sehemu uliyokua unatamani kwenda yan inshort hebu amua kujipa furaha ww mwenyewe.
Na baada ya muda utakaa sawa japo si rahisi.
Pole sana!
 
Kwahiyo
Pole sana aise,

huenda anakupima imani na upendo wako dhidi yake,

Lakini pia huenda anataka kujua na kuthibitisha uwezo wako wa ustahimilivu na moyo wako wa subra.

Jambo la muhimu sana ni kuvumilia, Lakini zaidi sana ni kumuombea Mungu huko alipo, na akiwa mgonjwa basi apone haraka ili hatimae muendelee kua pamoja katika kutimiza mipango na azma yenu ya kua familia moja kupitia ndoa takatifu.

kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu.

Mungu akubariki sana sana wewe na huyo mchungaji wako, usivunjike moyo 🐒
Gentleman kwenye moja na mbili.
 
Back
Top Bottom