Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

kwakweli kama binadam lazima uumie kwakuwa hujapewa sababu imekuwa ghafla tu
Mpe muda kama alikuwa wako atarudi,You Move on maisha yanaendelea
Sawa mkuu last time tuliongea vzr Na Kuna Jambo nilimuomba ushauri akanishauri vzr kabisa
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Bila shaka huo ni utoto bado unakusumbua..Siku ukikua utakuja kugundua kweli ulikua bado na utoto.
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
GHOSTING
 
Long distance Mimi nlikua Tanga kikazi yeye Dar...Alianza kunichunia tangu nkiwa tanga nimekuja Dar nlivofika nikamtaarifu lakin bado alikaa kimya
[/QUOTE
Naomba nisuingie sana huenda kuna shida pia unaweza kuja PM
 
Huyo siyo riziki yako, wa kwako yuko anakuja na utashangaa utakavyompenda zaidi na atakavyokupenda sana.

Usimpe Ibilisi nafasi ya kucheka kwa kujidhuru.

Mtangulize Mungu, muombe akupe aliyebora zaidi.

Na kamwe usije ukageuza shingo kurudiana naye pindi jamaa atakajifanya kujirudi, atakuumiza zaidi.
 
Mapenzi yanauma jamani msimkejeli mpeni ushauri mzuri hayo mambo yanaumiza sana kama hujawai kuyapitia usikie kwa mwenzio Cha muhimu kama upendo haupo tena jitaidi kumsahau kidogo kidogo ukiendelea kumuwaza utakuja kuchukuwa maamuzi magumu
 
Safi sana Brother popote ulipo umeni wakilisha vyema.. ukipata nafasi ya kuumiza hivi viumbe usi site kuitumia
 
Hello wakuu,

Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.

Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.

Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Pole sana. Kwanza tambua siyo wewe tu na wala hujawa wa kwanza wala hutakuwa wa mwisho.Kuna binti mmoja yeye hadi walipanga harusi ghafla bwana wake akabadilika na walianza kuchangisha michango. Lakini aliamua ku move on. Wakati mwingine inapaswa kusali maana maadui nao hupitia humo humo. Ushauri wangu. Jikaze na chukulia kama ni jambo la kawaida, jiepushe pia kukaa peke yako, zungumza na watu na ikiwezekana anza kufanya kitu unachokipenda zaidi ili kupotezea mawazo ya kumkumbuka. Unaweza pia kusikiliza muziki lakini jiepushe na nyimbo zenye maudhui ya usaliti na kuachwa. Jipe moyo pia acha kumuwaza sana. Japo siyo rahisi lakini ukiiambia nafsi kuwa basi tena utashinda. Mtangulize Mungu wako mbele lakini amini pia utampata mwingine bora zaidi yake. Kisha songa mbele.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom