Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
- #281
Amina Amina ahsanteUbalikiwe sana
Lakini inabidi ukae ujifunze nini maana ya neno FIX
Asante basi nakutakia jion njema
Na nina kuombea Amani ya BWANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina Amina ahsanteUbalikiwe sana
Lakini inabidi ukae ujifunze nini maana ya neno FIX
Asante basi nakutakia jion njema
Na nina kuombea Amani ya BWANA
Pole sana mkuu kama kweli hukumkosea chochote kibaya basi ipo siku atakutafuta kwa spidi ya ngiri mkia juu baada ya kutendwa aendako.Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Namshukuru Mungu nimeweza lkn ss mm na stabilise yeye ndo anatuma messge zaid ya 100 ku apologise. Aisee sijakubaliana na hilo na nimekataa katakata!!....nitakuja na mkasa mzima wait madam...lipo funzo kubwa!!Ulivukaje
Pole sana, huenda ulionyesha interest ya kutaka Ndoa zaidi kuliko yeye! MUNGU atakupa wa Kwako at the right time. Kama unahisi upweke, unataka kutoka, please DM! Huhitaji kujidhuru, wewe ni wa thamani Zaidi ya Ndoa!Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Sasa umejifunza next time be discreet.Aibu nishaipata sababu mahusiano yetu yalikua open Sana
Ndio hayupo tayari kuingia kwenye ndoa aache hayo maishaIla tu Ni mtu wa Bata sana
Tatizo liko kwako. Kwanini umtumie sms ya kuachana. Na kwanini unaeleza ru kuhusu ukimya wake na namna alivyopotea huelezi ulichomkosea? Tatizo wanawake mmekuwa mkiringa sana. Unaipata iliyo haki yako, face it.Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu.
Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake lakini bado alinikalia kimya. Mara ya mwisho kuwasiliana naye tulizungumza vizuri tu. Mipango yetu ilikuwa tufunge ndoa na alipanga mwezi huu aje nyumbani kujitambulisha. Lakini ghafla kimya chake kikatokea.
Baada ya kimya kirefu, siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu. Naumia sana. Sijawahi kumkosea chochote ila ameamua kunifanyia ukatili huu. Naumia na najiuliza maswali ambayo sipati majibu.
Ni ngumu sana hiyo, isikie kwa jirani, hiyo hali alitakiwa aitengeneze wakati yuko nayeKuumia umekutaka mwenyewe kwa kuwa kwenye FIKRA zako umeamua kutafsiri kitendo cha kukaa kimya kama tukio la kuachwa, siku zote tatizo haliwezi kuwa tatizo kama haujatafsiri kitendo fulani kuwa tatizo hapo mwenyewe umetengeneza tatizo alafu unaumia mwenyewe kwa tatizo ulilotengeneza kwenye FIKRA zako, badili FIKRA zako kama ameamua kukaa usimtafute acha heshimu maamuzi yake hapa unacheza na FIKRA zako utashangaa maumivu yatapotea kama upepo, ila kitendo cha kung'ang'aniza kumtafuta FIKRA zako zitakuletea kila haina ya hisia za maumivu yaani zitakunyoosha mpaka unaweza fikia maamuzi mabaya ya kujidhuru au unaweza pata magonjwa yasiyoambukiza, ipo hivi maumivu unayoyapata hayatokani na kitendo cha jamaa kukaa kimya bali maumivu unayoyapata yanatokana na FIKRA zako zinazotafsiri kitendo hicho kuwa umeachwa si umeona wewe mwenyewe FIKRA zako zimekwambia mwache au zimekwambia umeachwa alafu hizo hizo FIKRA zako zinakusaidia kukuletea hisia za maumivu ila kukusaidia ujisikie kuumia kuanzia sasa badili FIKRA zako uwone kama utaumia assume hata amekufa kila akija akilini tamka kuwa amekufa rudia kwa dakika tano amekufa amekufa amekufa amekufa danganya FIKRA zako mpaka zitakubali amekufa hauwezi sikia tena maumivu.
Nimeipenda hiiKuumia umekutaka mwenyewe kwa kuwa kwenye FIKRA zako umeamua kutafsiri kitendo cha kukaa kimya kama tukio la kuachwa, siku zote tatizo haliwezi kuwa tatizo kama haujatafsiri kitendo fulani kuwa tatizo hapo mwenyewe umetengeneza tatizo alafu unaumia mwenyewe kwa tatizo ulilotengeneza kwenye FIKRA zako, badili FIKRA zako kama ameamua kukaa usimtafute acha heshimu maamuzi yake hapa unacheza na FIKRA zako utashangaa maumivu yatapotea kama upepo, ila kitendo cha kung'ang'aniza kumtafuta FIKRA zako zitakuletea kila haina ya hisia za maumivu yaani zitakunyoosha mpaka unaweza fikia maamuzi mabaya ya kujidhuru au unaweza pata magonjwa yasiyoambukiza, ipo hivi maumivu unayoyapata hayatokani na kitendo cha jamaa kukaa kimya bali maumivu unayoyapata yanatokana na FIKRA zako zinazotafsiri kitendo hicho kuwa umeachwa si umeona wewe mwenyewe FIKRA zako zimekwambia mwache au zimekwambia umeachwa alafu hizo hizo FIKRA zako zinakusaidia kukuletea hisia za maumivu ila kukusaidia ujisikie kuumia kuanzia sasa badili FIKRA zako uwone kama utaumia assume hata amekufa kila akija akilini tamka kuwa amekufa rudia kwa dakika tano amekufa amekufa amekufa amekufa danganya FIKRA zako mpaka zitakubali amekufa hauwezi sikia tena maumivu.
Nimeipenda hiiLazima kuna shida mahali, sio rahisi mtu kukupa mikausho mikali bila sababu na mnakaribia ndoa.
Labda kuna kitu kagundua juu yako, au yeye kapata mtu huko.
Kama kakausha mpe muda kama wiki/mwezi usimtafute, akikausha muda huo uliojiwekea basi anza process za kumove on.
Wewe ushamtafuta na bila shaka ushamtumia text nzito nzito kibao, mwisho wa siku wewe mwenyewe tena unamwambia muachane ilhali hujui sababu ni nini (hapa umekosea). Ungeendelea kumtafuta kikawaida na kumpa muda, muda uliompa ukiisha basi unamwambia muachane.
Sio hujatafutwa siku kadhaa tu unaanza kusema muachane.
Dah,Namnukuu Kiranga 👇🏻
Ukiachwa hilo ni kosa lako.
Ama umemkubali mtu ambaye si sahihi tangu mwanzo. Kosa lako.
Ama mtu alikuwa sahihi mwanzo akabadilika, ukashindwa kumuacha wewe kwanza. Kosa lako.
Ama mtu sahihi, ila kakuchoka tu. Kosa lako.
Vyovyote vile hutakiwi kuachwa.
Ukiachwa usilalamike. Tafuta mwingine tu.
Kwa sababu, kuachwa ni kosa lako.
Bila kujali wewe ni mwanamke au mwanamme. Bila kujali unahudumia au unahudumiwa.
Unatakiwa kuwa na mvuto mkali sana kiasi kwamba wewe tatizo lako liwe ukiingia kwenye mahusiano watu hawataki kuachana nawe.
Yani wao ndio wawe wanalazimisha mahusiano na wewe, sio wewe unalazimisha mahusiano na wao.
Ukiachwa ujue ushazembea sehemu hapo.
Jitafute ujiongeze mwenyewe bila kutaka kumdhuru mtu.
Pole sana, tulia fanya uchunguzi kimya kimya pengine umezungukwa na shost au ni maswala ya upande wa pili. Muombe Mungu akutie nguvu na afanye mlango wa kutokea katika hiliAibu nishaipata sababu mahusiano yetu yalikua open Sana
Mkuu wasaidie vijana una uwelewa mkubwa sana wa vitu vingiDah,
Hiki somo gumu kumeza kwa watu wengi naona.
Shukurani kwa kutukumbusha.
Pole nadhani kuna uwezekano mkubwa uliamua kumpa tunda mapema kabla ya ndoa ukiamini hiyo ndio njia ya kumkamata,kumbe hapo ndio ilikuwa chanzo cha kukutoa umaana wako na leo hii hana hata cha kujutia,kwani hana alichobakiza kwako ambacho ni kipya....Hello wakuu,